Nilichokisema na ninachoendelea kukisema mpaka sasa ni kuwa, huruma yetu ya machoni au machozi yetu tunayoyaonyesha hayawezi kubadili uamuzi wa mahakama, kama tunadhani hilo linawezekana basi ni...
Mababu weusi wa kale huko misri walikuwa wanaamini kuwa Maisha na watu walikuwa na mwanzo, kivipi!!?
Elimu ya mababu hao inasema hapo mwanzo kulikuwa na maji yaliyokuwa yamejaa Dunia Nzima...
Nakusalimu maalim Mohamed Said
Hii picha niliikuta katika kumbukumbu zangu, lakini sikumbuki asili nilipoipata, napia mueleo wangu ni mdogo juu ya hili suala, kwaiyo naomba msaada kwa mujibu wa...
Anaitwa Mfalme Henry VIII
Alimuona mwanamke mrembo anayeitwa Catherine wa Wales. Ni mwanamke aliyempenda ila tatizo lilikuja pale ambapo mwanamke huyo kila alipokuwa akipata mimba, alizaa watoto...
Afrika ilipoteza wana mapambano wawili kwa mpigo, Afrika imeshudia kumpoteza Kofi Annan Katibu Mkuu wa kwanza mweusi kutoka Afrika hii ni pigo kwa wana mapambano wa haki duniani. Lakini mapema...
Wengi wetu tumekulia Dar es Salaam na tumeuona unazi wa Simba na Yanga ulivyokuwa.
Nakumbuka siku kama ya leo ambayo sasa tunaita Dar es Salaam Derby ukipenda Kariakoo Derby ilivyokuwa...
Historia ya Afrika ni historia[1] ya bara hilo lililo asili ya binadamu wote.
Kwa ujumla, historia ni kumbukumbu ya maisha ya mwanadamu duniani, hasa ile tarehe iliyosajiliwa na kuhifadhiwa...
PART 2 : tulipoishia....
Jina “WAYAHUDI” lilitumiwa kwa mara ya kwanza na Mordekai ndani ya Biblia katika kitabu cha Esther kuwatambulisha watu wa kabila la Yuda waliokuwa uhamishoni kwenye nchi...
Montaza Palace, Alexandria June 1988
Ndugu zangu nilikuwa napita Maktaba Idara ya Picha.
Nia yangu ni kuandika kitu kidogo kuhusu mji wa Alexandria.
Katika pekua pekua nikakuta picha hiyo...
Wadau wote wa humu na wale ambao wamebarikiwa kuwa na ujuzi wa masuala mbalimbali hasa kwenye mambo ya imani n.k ningependa kufahamu na si mimi peke yangu hata wengine pia wangependa kujua je, ni...
Written by Mohamed Said;
[/B][/COLOR]Islams role in Tanzanias freedom struggle
What is saddening about the history of Tanganyikas struggle for independence is the fact that, more than four...
Wanaukumbi,
Imekuwaje leo Uislam wa Zanzibar unakuwa neno miaka 50 baada ya muungano? Kuna kitu hapa hakisemwi kwa kuwa kinatisha. Dunia nzima hivi sasa Uislam unakuja juu na huu ni ukweli...
PART 1 : JEWISH DIASPORA
Ni matumaini yangu mwana JF mwenzangu kuwa u mzima wa afya. Nataka nikuletee kwa ufupi hii mada inayosumbua ulimwengu wa leo
Kwanza tutaanzia mwanzo kbs kwenye zama za...
Ndugu zangu hii clip ya Rais Magufuli akinywa madafu Odeon Cinema imenikumbusha mbali sana.
Kwanza imenikumbusha jengo la senema yenyewe ambayo sisi tumezaliwa tumeikuta na umaarufu wake kwa...
Abdulkarim Karimjee (kushoto) akiwa na afisa raia wa uimgereza
UKUMBI wa bunge uliokuwa unatumika jijini Dar es Salaam kabla ya kuhamia Dodoma unaitwa Karimjee Hall. Kwa kifupi, majina hayo...
NA
Sanamu ya Dr. David Livingstone
Hii picha ya kuchora hapo ni Ujiji inaonyesha Dr. David Livingstone alipokutana na Henry Morton Stanley tarehe 10 November, 1871.
Karibu ya Glasgow kuna...
Wao wanazungumza Maa, mojawapo ya familia ya lugha za Kinilo-Sahara inayohusiana na Kidinka na Kinuer. Kwa sababu ya uhamiaji, Wamasai ni wazungumzaji wa Kiniloti wa Kusini zaidi. Pia wameelimika...
Aliteuliwa na Ibn Malik kuwa Mtawala mwaka 694H kutoka ktka familia ya Ban Umayda.
Huyu alikuwa ni mtawala wa eneo la Iraq na Iran hususani katika miji ya Kuffah, Sham na Basra. Maajabu ya huyu...
Habari wanabodi,
Kwanza naomba nianze kwa kumuombea rais wetu umri mrefu na nguvu za kuweza kuchapa kazi bila kuyumbishwa na vibaraka wa mabeberu bila kusikiliza kauli za wanaotaka kutuingiza...