Historia ya mkoa wa Mbeya imegawanyika katika vipindi tofauti tofauti kabla ya uhuru na baada ya uhuru, Mji wa Mbeya ulianzishwa na wakoloni waingereza mnamo mwaka 1927, Wakati huo dhahabu ilianza...
IFAKARA ni makao makuu ya Wilaya ya Kilombero katika Mkoa wa Morogoro,
Tanzania na kitovu cha eneo lenye mashamba makubwa ya miwa . Kuna kituo muhimu cha TAZARA.
Mji uko katika bonde la mto...
Papa Yohane Paulo II
Mtakatifu Yohane Paulo II.
Papa Yohane Paulo II.
Papa Yohane Paulo II (kwa Kilatini: Ioannes Paulus PP. II; kwa Kiitalia: Giovanni Paolo II; kwa Kipolandi: Jan Paweł II; kwa...
Lord Dalemera ni mtoto wa 2nd Lord Delemera. Alizaliwa Cheshire Uingereza 28 April 1870 na alifariki 13 November, 1931.
Lord Dalemera alisoma Eton na kumaliza shule akiwa na umri wa miaka 16...
Zura Karuhimbi hakuwa na silaha yeyote ya kujilinda wakati wanaume waliokuwa na silaha walipoizunguka nyumba yake na kumtaka awakabidhi watu aliokuwa amewahifadhi nyumbani mwake.
Mwanamke huyo...
Wanabodi si mbaya tukiangalia kwa makini hao mashujaa wetu na wapigania uhuru tunaoambiwa na historia ktk vitabu vyetu:
-Historia haisemi vyema sana hawa jamaa walifanya biashara gani ya...
UBAGUZI WA RANGI ULIVYOMKUMBA DR. AGGREY UKIWEMO WA NEW AFRICA HOTEL ENZI ZA UKOLONI
Dr. James Emman Kwegyir Aggrey ni jina ambalo takriban 98% ya Watanzania hawalijui wala hawajawahi kulisikia...
Usiku wa manani Jumapili, tarehe 19 Januari 1964, Bw. PETRO BWIMBO, aliyekuwa Mlinzi Mkuu wa Rais JK NYERERE, alionesha ushujaa na uzalendo wa hali ya juu baada ya wanajeshi wa Tanganyika Rifles...
Ukisoma historia ya kabila za tanzania kabla ya uhuru , kabla ya ujio wakoloni, kabla ujio wa wamishonari unaambiwa kabila hili asili yake limetokea ukuu hapa inaonekana kabla hakujawa na nchi...
Leo nimeona kidogo nilete historia japo kwa ufupi ya hii society ya kisiri ya Ku klux klan maarafu kama KKK
KKK ni society ya siri iliyoanzishwa na wazungu miaka ya 1860 huko Marekani.
Historia...
MLINZI mkuu zamani wa Baba wa Taifa, Julius Nyerere, Peter Bwimbo (87) ameandika kitabu kwa mara ya kwanza akiweka wazi jinsi Mwalimu alivyotoroshwa kutoka katika mikono ya wanajeshi walioasi...
FIRST KLAN 1865-1871
Kama nilivyoahidi nitachambua kiundani kuhusu hili kundi lenye historia mbaya sana ktk ainabinadamu. Leo nitaanza na hii First Klan
Abraham Lincoln, rais wa 16 wa Marekani...
Dola la Papa
Dola la Papa lilikuwa nchi huru chini ya himaya ya Papa kuanzia miaka ya 700 hadi 1870.
Chanzo chake ni uvamizi wa makabila ya Wagermanik uliobomoa Dola la Roma upande wa magharibi...
The use of gun salutes for military occasions is traced to early warriors who demonstrated their peaceful intentions by placing their weapons in a position that rendered them ineffective...
Biashara ya Benki ilianza mwaka 2000BC. Siria, Misri mpaka India. Hii ilikuwa enzi ya utawala wa Roma na biashara hii ilishamiri katika iliyokuwa himaya ya Alexandra the Great. Wafanyabiashara...
Makabila mengi ya hapa Tanzania yana historia inayowatofautisha na Makabila mengine. Kwa muda sasa (takribani miaka mitano) nimekuwa nikifanya kazi hapa Morogoro chimbuko halisi la Waluguru. Kuna...
​Hivi majuzi , mzee Kisumo alipokuwa anahojiwa na gazeti la mwananchi alisema kuwa Nyerere alipokwenda UN kati ya mwaka 1955, 1956 na 1957 alikutana na Cheaf Marealle akimpinga Tanganyika...
Nilikuwa naangalia video hii (ina ubora wa chini sana) lakini ujumbe unafika.
Video inaonyesha matukio yaliyotokea siku ya kukaribisha askari wa Tanzania waliokuwa wakirudi kutoka vitani Uganda...
Katika historia ya ulimwengu, hali ya mwafrika imekuwa ikidunishwa mno.
Ni kawaida Afrika kuhusishwa na magonjwa, vita, ujinga au mambo mengine mabaya.
Sio rahisi kuangalia vyombo vya magharibi...