Nimefikiria mbali wakati nimetulia zangu kitandani,miaka hiyo kwenye 90 kulikuwa na vitu vingi vya burudani mashuleni
Mara anakuja jamaa anaendesha baiskeli juu ya paa na kamba,mara anabadili vitu...
Kama una muda unaweza kuona jinsi wajerumani walivyopigana na waingereza hapa Afrika ya Mashariki wakati wa vita kuu ya kwanza ya dunia.
Waingereza walijaribu kuingia Tanga ili wafike Dsm chap...
Kisiwa cha Toten ni kisiwa kimojawapo cha Tanzania ambacho kinapatikana katika hori ya Tanga kwenye mwambao wa Bahari ya Hindi. Jina latokana katika Kijerumani "Toteninsel" na kumaanisha "Kisiwa...
Mwandishi katika video hii anaanza kuzungumza katika dakika ya 40:40
Hii ni simulizi ya mkasa wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ilipodhaniwa kalishwa chakula kilichotiwa sumu kwa nia ya...
Hamed bin Mohammed el Murjebi (1837 – 14 Juni 1905)
Alijulikana zaidi kwa jina la Tippu Tip.
Alikuwa mfanyabiashara mashuhuri katika Afrika ya Mashariki na Kati wakati wa karne ya 19.
HISTORIA...
Fela Olusegun Oludotun Ransome-Kuti alizaliwa 15-10-1938 katika mji wa Abeokuta, Mkoa wa Ogun, Nigeria. Fela alizaliwa katika famila ya kipato cha kawaida, mama yake Funmilayo Ronsome-Kuti...
Tanganyika ni jina la kihistoria
Kwa sababu za kisiasa, mara nyingi huitwa "Tanzania bara" ingawa ina visiwa pia, hasa Mafia na Kilwa.
Tanganyika ilikuwa eneo lindwa la Uingereza kuanzia 1919 na...
1. Ras Tafari Makonnen was crowned Haile Selassie the first (might of the holy trinity), king of kings, lord of lords, conquering lion of the tribe of Judah, elect of god, on November 2nd 1930 at...
Wagweno ni kabila la watu wenye asili ya Kenya wanaoishi Tanzania katika Mkoa wa Kilimanjaro, upande wa Kaskazini wa Milima ya Ugweno.
Lugha yao ni Kigweno.
ASILI
Kiasili Wagweno ni katika...
Kiukweli hakun alikuw pasi na kuwahi kutazam filamu za watoto(cartoon) haswa zile za DISNEY je wajua historia ya huyu jamaa??? Twende pamoja [emoji116][emoji116][emoji116]
han tan yun
#world_of_han
In Tanzania,
Especially at times like this people are wondering which which.
Let me start with some hints on moderates and the silent.Silent people,people who keep their opinions to themselves or...
In Tanzania,
Especially at times like this people are wondering which which.
Let me start with some hints on moderates and the silent.Silent people,people who keep their opinions to themselves or...
In Tanzania,
Especially at times like this people are wondering which which.
Let me start with some hints on moderates and the silent.Silent people,people who keep their opinions to themselves or...
Ni mwezi maalum kwa ajili ya kukumbuka watu na matukio muhimu katika historia ya mtu mweusi. Sherehe hizi husheherekewa nchini Amerika, Canada kwenye mwezi wa Februari, na nchini Uingereza au...
The Tanzania Peoples' Defence Force (TPDF) (swahili: Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) was created in September 1964. From its inception, it was ingrained in the troops that they were a...
Na. M. M. Mwanakijiji
Nilivyoandika jana kuna watu wanaona sikusema kwa ukali sana. Wapo wanaosema naogopa kumnyoshea kidole Rais Magufuli kwa sababu nilimuunga mkono kugombea kwake kuelekea...
Nimeiona hii video you tube ingawa haijanipa picha ya uelewa mpana ya kilichotokea lakini si vibaya kuileta hapa ili wachambuzi na waliokuwepo watiririke zaidi
UKWELI: AKINA BIBI TITI HAWAKUZUKA KATIKA UONGOZI TANU—II
Na Alhaji Abdallah Tambaza
KATIKA safu hii Jumatatu iliyopita tulimwangalia mwanasiasa mashuhuri wa kike hapa nchini na Afrika Mashariki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.