APRIL 7 YA MAUAJI YA KIMBARI, NA MCHANGO WA VIONGOZI WA DINI KATIKA MAUAJI HAYO.
Waraka wa BASHIR YAKUB.
+255784482959.
Ifikapo tarehe 1/April ya pasaka zitakuwa zimebaki siku 6 ili dunia...
Avalon Cinema
Siku moja nilimtembelea Balozi Abbas Sykes nyumbani kwake Sea -View. Kwangu mimi saa moja au mbili za mazungumzo na Balozi Sykes huwa zinanirudisha nyuma sana katika maisha yangu...
Wanabodi, naweza kuonekana kama mtu niliye na ufahamu mdogo kwa kukosa uelewa wa jambo dogo sana kama hili.
Lakini, ni swali ambalo sijafanikiwa kupata majibu kwa kipindi kirefu sasa, maana...
Habari zenu wakuu,kama heading ilivo hapo juu,ni swali pana kidogo juu ya nani abebe lawama za vita hii kwa sababu nimejalibu kupitia pitia mitandaoni naona wengine wanadai amin alivamia tz kama...
Abdilatif Abdalla
Professional Centre
Nairobi, 24 Machi, 2018
Ndugu zangu na wanaharakati wenzangu.
Ni fahari kubwa kwangu kushirikishwa katika maadhimisho haya ya kumkumbuka Karimi Nduthu...
Jina kamili aliitwa Francois Duvalier. Alizaliwa 14 April 1907 na kufa 1971. Alikuwa rais wa Haiti 1957-1971
KABLA YA URAIS
Alipata degree ya madawa Chuo Kikuu cha Haiti 1934 na baadae kama...
LEO KATIKA HISTORIA- SEPTEMBA 9, 1990: KIFO CHA DIKTETA SAMUEL DOE WA LIBERIA
******************************************************************************************************
Samuel Kanyon...
JOHN KETO
HISTORIA YANGU KUHUSU ELIMU YANGU NA UZOEFU
KATIKA KAZI ZA KUJENGA TAIFA
(Kwa hisani ya Dr. Nzige)
Waliosimama wa nne kulia ni John Keto University of Edinburgh 1953
Nilizaliwa...
Buhaya kingdom ukisoma history ndo kingdom pekee ambayo kabla ya wakoroni ilikuwa imefikia hatua y'all feudalism pili nitaifa ambalo lilipigana vita ndo maana ikaitwa vita y'all kagera tatu no...
Sheikh Hamisi Mataka
Shule ya Msingi Mchikichini sikupata kushika zaidi ya nafasi tatu za juu muda wote wa miaka saba hapo shuleni. Kwa kuwa nilianza darasa la kwanza nikiwa na umri wa miaka 11...
MAMBO ADIMU KABISA KUWAHUSU MARAIS HAWA WA MAREKANI, HAKIKA YANASTAAJABISHA.
_______________________________________________
[emoji116][emoji116]
_________________________
1. GROVER CLEVELAND...
Mambo Niajee wakuu, sjawahi post kitu chochote Hapa JF Tangu nimeanza Kuifaham JF Tangu 2012. Turudi kwenye topic hapo Juu. Haya maandamano ya mange kimambi Je Yangekuwa ya kumuunga mkono raisi...
Nimeingia maktaba ili nai nichangie kitu katika mambo ambayo Waismailia, yaani Aga Khan walifanya katika kusaidia Waislam wa Tanganyika.
Al Jamiatul Islamiyya Muslim School
Katika miaka ya...
Ndugu Wanahistoria,
Salaam! Ningependa kujua historia na mchango ya hawa wachumi ambao hawatajwi sana siku hizi.
1. Jumanne Wagao
2. Salvatore Rugumisa
3. Ngila Mwase
4. Kighoma Malima
5. Mboya...
''Kurejea kwa Dk Kabourou nchini na kujiunga na siasa
kuliweza kuwa chachu kwa vijana si tu wa Kigoma bali nchini kote.''
(Manju Msambya).
Inna lillah wainna Illah rajiun.Poleni wana Ujiji...
Nimepata wasaa wa kutembelea Isimila kujionea malikale. Ni sehemu nzuri ya kuvutia na si mbali toka mjini Iringa, gharama ni nafuu kabisa na mapokezi yanaridhisha sana. Napendekeza upate wasaa pia...
Nimekuwa nikisikia sana hili jina Mwanamakuka anasifiwa sana na baadhi ya redia kama nembo ya wanawake wajasiriamali. Binafsi nimetafuta google sijapata hints zozote!
Naomba mwenye kujua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.