Kwa mujibu wa historia ya Wachaga, iliyoandikwa na Stanl Kathleem mwaka 1962, kabila hilo lilikuwa na viongozi wengi, ila wachache walipata umaarufu kutokana na aina ya uongozi wao.
Mwaka 1800...
Nilikua naskiliza hotuba ya Nyerere ITV kuhusu ubaguzi wa rangi, makabila, na udini, mzee alikua kichwa sana, haya ya udini alishayaona na ndo hayo yanayotokea, kuna watu (waislamu/wakristo)...
Shajara ya Mwana Mzizima:
Historia ya Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar-es Salaam
Sehemu ya Pili
Na Alhaji Abdallah Tambaza
JUMA lililopita katika safu hii, tulielezea historia ndefu ya eneo la...
Jana nikiwa matembezini nilikutana na baba mmoja raia wa Ghana. Amekuja kwa safari binafsi Tanzania. Yeye ni mwana historia lakini Alisoma pia na political economics mwanasiasa pia.
Alinieleza...
Haya ni matukio muhim yaliyotokea na kutikisa nchi
1962: Mwalimu Nyerere kujiuzuru uwaziri mkuu wakati ameijenga Tanganyika kwa heshima, wengi walishangaa kumbe alikuwa na malengo yake,
1962...
Many wars throughout human history dragged on for so many years, but not the Anglo-Zanzibar war that ended much sooner.
The shortest in recorded history, the war did not even last for a day or an...
Nipo naangalia Aljazeera kuna kipindi kinaitwa Face to Face wanawazungumzia na kuonesha mahojiano ya wanaharakati wawili maarufu wa Marekani, Martin Luther King Jr na Malcom X. Sasa...
Alizaliwa mwaka 1945 huko Gaza Province ambayo ndiyo Msumbiji ya sasa. Ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto sita. Baba yake ambae alikuwa mchungaji wa kanisa la Methodist, alifariki wiki...
Huu uhasama wa Waisrael na Wapalestina unaelezwa kwamba mnamo mwaka 1948 waisrael walivamia ardhi ya wapalestina na kuikalia kwa mabavu, inaelezwa pia waisrael walikuwa utumwani huko ulaya...
Alama ya jeshi la Warumi
Jeshi hilo lilianza c.500 BC
Katika kipindi cha c.500BC mpaka c. 300BC jeshi la Warumi liliongozwa kwa vita vya vidogo vilivyoambatana na maandamano ya askari. Mfumo...
Leopold II alitawala Congo na ilijulikana kama nchi ilikuwa mali yake binafsi, miaka ya 1835. Tofauti na ilivyokuwa South Afrika kama koloni la Uingereza Congo ilikuwa nchi huru chini ya Mfalime...
Habari zenu wana jamvi,
Kwa muda mrefu naisikia nchi ya Jamaica lakini sijawahi kuisikia wala kujua mfumo wake wa uongozi wa kiutawala, wala kimataifa siisikii kiuongozi. Naomba mwenye kuijua hii...
Habari wanajamvi wenzangu
Ni siku nyingine tena Alhamdulilah ninaendelea kupumua pumzi ya BURE ambayo bila shaka ni wajibu wangu kuitendea haki ili kesho akhera, nipate cha kujitetea mbele ya...
Katika pitapita zangu sehemu nilikuta watu wakizungumza habari za Wabantu na asili ya wabantu lakini pia nikasikia habari za Hamatics group, Nilotics group na Mang'ati group nimejaribu ku google...
Kwanini Hayati Sokoine,alipewa uwaziri mkuu kutoka 1977-1980 kabla ya Cleopa D.Msuya kuwa waziri mkuu na baadae Sokoine kurudishwa katika kiti hicho cha uwaziri mkuu?
Wakuu, sasa hivi naangalia mechi ya CAF champions league kati ya timu za ZESCO na Mbabane Swallows mjini Ndola, Zambia. Mara kaingia mchezaji wa ZESCO kipindi cha pili akiitwa Mwanza J.. Ikaniijia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.