Wote wawili waliuliwa, Malcom X na Martin Luther King, je wakati umefika weusi waangalie upya tactical approach towards total liberation? Je tuende ng'ambo ya fikra dini kupata uwanja madhubuti...
msikilize vyema kuanzia dakika ya 7:45. Utajua kwanini vijana wengi wa kijeruman wakatiule waliingia choo cha kike. Je hapa TZ tunajifunza nini kupitia hutuba hii.
Mkutano wa TANU Mnazi Mmoja, mwaka wa 1954
(Picha ya Tanganyika Information Services)
Hiyo hapo juu ni picha ya Viwanja Vya Mnazi Mmoja kama ilivyokuwa katika miaka ya 1950.
Nimejaribu kutambua...
NINI KHASA TATIZO LA ZANZIBAR?
Na Harith Ghassany
Maridhiano ndio “Magna Carta”* ya Zanzibar. Maridhiano bado yamo ndani ya Katiba ya Zanzibar. Kinachokosekana ni viongozi WAPYA watakaoweza...
Heshima kwenu wadau!
Naomba kujua historia ya mwanamke aliyetekwa kipindi cha ukoloni kule kusini mwa afrika na kupelekwa nchini Ufaransa kutumikishwa ngono mpaka kupelekea kifo chake. Nimesahau...
Africa lazima iungane Kwanza ndipo itachukua nafasi yake katika taswira ya maamuzi yanayoindesha dunia iliyodanganywa...toa maoni yako. Wanyama Wana akili Sana, binadamu ni mnyama...
Mchezo wa mpira wa miguu (football) ulianza kuchezwa kwenye shule za watoto wa matajiri (Public Schools) nchini Uingereza. Mnamo karne ya 19. Mchezo huu ulienea na kupendwa sana kwenye makolini...
Lipstick ni urembo uliotumiwa na wanawake wa Misri ya zamani na utamaduni huu iliendekea Uajemi na India. Rangi hii ilipatikana kwa kuponda mawe.
Waislamu wa meanzo walifanikiwa kutengeneza...
DIWANI YA MZUKA
(Fantasma)
UKURASA WANGU
Uukumbuke ukurasa wangu
Eeh Bwana ukanirehemu
Kama mama na Baba yangu
Mwenye mamlaka chini na mbingu
Siijui kesho yangu
Huzuni nikimwangalia mwanangu...
Shajara ya Mwana Mzizima:
WAJUE WANA SAIGON CLUB WA MZIZIMA
Na Alhaji Abdallah Tambaza
Saigon Khitma Jumapili 13 May 2018
Raia Mwema 14 - 15 May 2018
JUMA hili, shajara imeonelea ichepuke...
Maisha mapya yanaanza mara tu roho inapouacha mwili, yule uliyekuwa ukimuita Dear huku akisema hawezi kupata usingizi bila kulaza kichwa chake kifuani mwako, siku hiyo hata hawezi kukushika. Yule...
Katika sehemu ambayo lugha ya asili zitapotea kwa kasi ni moshi
Yaani tofauti na jamii nyingine ni nadra sana kumkuta mzazi wa kichaga akibonga na mwanae kilugha hapa nazumgumzia wazazi wa sasa...
Ilikuwa mwaka 1976- 27- june ndege ya Ufaransa A300 Airbus iliyokuwa ikitokea Israel ikapitia ugiriki Athens ilitekwa na magaidi wa Kipalestina na Ujerumani, ikiwa na abiria 254 wengi wakiwa ni...
Ilikuwa kipindi cha karne ya tatu dola ya kirumi ilikuwa chini ya mtawala Claudius II mtawala huyu aliamuru vijana wote wasioe bali waajiriwe katika jeshi la warumi, kwa yeye aliamini kuwa vijana...
HOFU YA KUDHIBITI DEMOKRASIA NA WANASIASA ILIVYO MPONZA MADIBO KEITA, RAIS WA KWANZA WA MALI KUTOKA KUWA SHUJAA MPAKA KUWA MFUNGWA ALIYEFIA GEREZANI.
Na Comred Mbwana Allyamtu.
Thursday -...
Habari wana JF.
Leo nawaletea vijiji maarufu zaidi Tanzania bara.
1. Kolomije: Hiki kipo wilayani Misungwi mkoani Mwanza. Hiki kilijipatia umaarufu kuliko vijiji vyote tangu march 2017. Hiki ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.