Nianze kwa semi hizi za wahenga,
Heri nusu shari kuliko shari kamili"
Funika kombe mwanaharamu apite
Majuto ni mjukuu
.Siri ya mtungi aijuaye kata.
Kama kuna unayoijua tupia hapa tuwakumbuke...
KATIKA mwezi wa Machi hali ya hewa jijini Accra, Ghana, huwa inaudhi bila ya kiasi kwa joto linavyokuwa kali. Jioni ndipo huzidi kushtadi. Nadra mvua kunyesha.
Siku moja Machi 1958, saa za...
Na
Dr. Christopher Cyrilo
Utamaduni wa kuweka picha ya mtu kwenye pesa za noti au sarafu umekuwapo tangu kale. Historia inaonesha kuwa mtawala wa zamani wa dola la Rumi, aliyekuwa pia jemedari...
Wasafwa ni kabila toka jamii ya wabantu wanaozungumza lugha yenye uhusiano wa moja kwa moja na kibantu yaani lugha ya kisafwa.
Kwanza tuangalie nini au chanzo cha neno Safwa.
NENO "SAFWA"...
Taarifa: Dar/Iringa. Madiwani wawili wa Chadema katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wamejiuzulu nyadhifa zao na kuhamia CCM.
Wakati diwani wa Ruaha, Tandesy Sanga akitangaza uamuzi huo leo...
Alexander Alexandrovich Prokhorenko ni kijana mdogo aliyekuwa Komandoo katika Kikosi cha Kazi Maalum cha Jeshi la Urusi kiitwacho SPETSNAZ akiwa na cheo cha Luteni Mwandamizi (Senior Lieutenant)...
.
Kwa anaejua background ya huyu mbunge wa Kiteto naomba anijuze tafadhali, kuhusu taaluma, kazi, na eneo la kuzaliwa kwake "Emmanuel Papian John"
Nitashukuru kwa mchango wenu.
IDI AMIN
He killed as many as half a million people during his eight-year Ugandan dictatorship. Is it possible to distinguish the man from the monster?
Idi Amin Dada was born on 16 May 1925 in...
SIASA ZA UJERUMANI (ADOLF HITLER NA WANAZI)
Jina la Hitler limepata umaarufu mkubwa sana ulimwenguni kuliko majina ya madikteta wote waliopata kutokea ulimwenguni! Huyu alikuwa na uwezo wa juu...
Zanzibar kuna wenyeji wengi hasa Kaskazini Unguja, Tanga, angani, Mombasa nk. hujinasibu kuwa wao ni washirazi.Kuna wakati kule mombasa walikuwa wanaitwa wageni na wengi ilibidi wajichanganye...
Yameongewa mengi sana khs kuishambuliwa kwa Tundu Lisu na wengi wao wameelekeza lawama zao upande mmoja tu, yaani kwamba Tundu Lisu ni ,,innocent“ na watu walitaka kumdhuru!
Lkn wote wanaohukunu...
Vifuvu katika Shule ya Kiufundi ya Murambi, nchini Rwanda
Mauaji ya Kimbari ya Rwanda yalikuwa mauaji ya halaiki nchini Rwanda mnamo mwaka wa 1994 ambapo Watutsi , Watwa na baadhi ya watu wa...
"Wananchi bado wanaridhika na sisi kwa hiyo njia pekee watakayofanya labda watumie mabavu na kwa kutumia mabavu CCM Mbeya wanajua, Kikwete anajua, Magufuli anajua kwamba kwa mabavu kwa Mbeya uwezo...
MABILIONI ya shilingi ya umma yamechotwa kutoka hazina ya taifa kinyemela na kuelekezwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Hamisi Mguta.
Taarifa kutoka wizara ya fedha, Ikulu na ofisi kuu...
Mood naomba unipeleke kwenye jukwaa husika lkn usiutoe ili to jadili kabla hatujaufunga mwaka 2017
Humu leta tukio la aina yoyote ile iliyotikisa jamii ya kitanzania na kama itakuwa ya nje basi...
Mwalimu Mathew Douglas Ramadhani (1915-1961). Alizaliwa Zanzibar Septemba 1915. Mwalimu Mathew alikuwa Mtanganyika wa kwanza kuhitimu elimu ya chuo kikuu Uingereza, afisa elimu na mkuu wa shule...
Historia ya Krismasi
Wakati wa zama za kale, siku ya mwisho ya majira ya baridi huko sehemu za Kusini kulisherehekewa mfano wa usiku ambao mungu wa Mama Watakatifu alijifungua mtoto akijulikana...
SHEIKH PONDA ISSA KASHINDA RUFAA
Mohamed Said December 18, 2017 0
''Allah ni Mjuzi Allah na ni Mbora wa kulipa.
Sheikh Ponda utayakuta malipo yako kwa Allah yakiwa makubwa kwa subra na...
Huyu Askofu aliuawa na Idd Amin kwa kumkosoa na kupinga mateso aliyokuwa akiwapa waganda. Alifia mikononi mwa Id Amin kwa kum shoot mwenyewe.
Calm before the storm. Archbishop Luwum (left)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.