Habari za weekend wanajamvi. Kunako miaka ya 1990s kulikuwa na gazeti pendwa lililokuwa likijihusisha na masuala ya sayansi na saikolojia ya binadamu likifahamika kwa jina la JITAMBUE.
Hili...
> Mojawapo ya tamaduni ninayochukia katika kabila letu la wamasai ni kulazimishwa kuoa au kuolewa na mtu usiyempenda.
Kwa imani zao potofu wanaamini kuwa mkipendana kabla ya ndoa, mkioana...
Hope the Photographer saved his/her life
-----------------
Picha hii ilipigwa mwaka 1994 huko nchin Sudan. Alikuwa mtoto mdogo asiye jiweza baada ya kukukosa lishe bora. Alikuwa akijikokota...
Wadau mm naomba kuuliza hivi haya mashindano ya cecafa kwann tusitumie tanganyika na zanzibar kwa maana Tanzania ni nchi ya muungano au wenzetu tanganyika hawana nchi
Prof. Lipumba akizungumza katika mkutano wa kampeni ya urais Same Uchaguzi Mkuu 1995
Picha hiyo hapo juu ni Prof. Ibrahim Haruna Lipumba, msomi wa Chuo Kikuu Cha Stanford Marekani, akihutubia...
Kulia Abdulwahid Sykes na mdogo wake Ally Sykes
wakiwa katika kikosi cha Burma Infantry 1942
Utangulizi
Leo ni siku ya kumbukumbu ya walipoteza maisha yao katika Vita Kuu mbili za Dunia...
UHURU DAY: TUWAKUMBUKE MASHUJAA WA UHURU WA TANGANYIKA
Mohamed Said December 08, 2017 0
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
(1922 - 1999)
MASHUJAA WALIONYANYUA SILAHA
Bushiri Bin...
Kwanza kabisa nitanguize pongezi kwa Watanzania kwa kuadhimisha miaka 56 ya Uhuru.Ni jambo la kujivunia kwa Watanzania ,kwani katika kipini hiki nchi yetu imekuwa na amani,ushirikiano na maendeleo...
I salute those who actively participated in stopping slave trade in the later years of the nineteenth century. They made us proud. But a simple question is this: Where did money and wealth...
Buriani ‘Kaka Kleist’
Na Alhaji Abdallah Tambaza
Mwandishi wa makala Abdallah Tambaza ni huyo wa kwanza kushoto, Bubby Bokhari, Kleist Sykes, Yusuf Zialror, Mohamed Said, waliochutama kushoto...
Utangulizi
Zitto Kabwe Mbunge wa Kigoma Mjini na Mwenyekiti wa ACT Wazalendo ni kijana hodari mwenye kujua kuchagua maneno yake vyema. Hapo chini ameandika masikitiko yake kuhusu Tanzania kukataa...
Katika pitapita zangu nilikutana
Taarifa kumbe miaka ya nyuma
Mji wa manzese ulikuwa unaitwa
SOWETO.
KWA WALE WENYE KUMBUKUMBU HEBU MTUAMBIE ILIKUWA HUU
MJI ULIKUWA UNAITWA SOWETO
BADAE SERIKALI...
TAAZIA: BURIANI NDUGU NA RAFIKI YANGU MPENZI
MUUNGWANA KLEIST…
(27 June, 1950 – 24 November, 2017)
Usiku wa Jumanne tarehe 23 nimeona katika ukurasa wa FB wa kaka kaka yangu Prof. Charles Mgone...
Hivi karibuni nimekuwa nikifuatilia sana yanayotokea huko Africa ya Kazikazini. Watu weusi hasa weusi kutoka kusini mwa jangwa la sahara wamekuwa wakiuzwa kama nyugu bila kujali ubinadamu wao..nn...
Ulisema:".....African's can not rule themseleves.Give them guns and they will kill each other.They are good in nothing else but makingi noise, dancing,marrying many wives and indulging in...
Jiji la Dar es Salaam lilianza kama Kijiji kidogo cha wavuvi kilichojulikana kama
Mzizima. Kijiji hiki kilianzishwa na Wabalawa ambao walichanganyika na Wazaramo kuelekea kwenye maeneo ya Bara...
Watu wengi Sana wanamfahamu Adolph Hitler kadri vyombo habari mashuhuri vinavyo mbainisha...., Kwa kifupi Adolph Hitler ndiye mtu anayechukiwa kuliko wote Duniani.
Katika utafiti wangu wengi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.