Utangulizi
Barua hiyo hapo chini kutoka Ikulu inasema kuwa uhusiano wa Zambia na Tanzania ulianzishwa na Baba wa Taifa.
Ningependa kwa faida ya historia ya taifa letu lau kwa mukthasari...
1.Ntwadumela ni neno la kisavuti lenye maana ya "He who greets with fire".Katika msitu wa savuti uliojaa miti,wanyama na mto ukikaribia kufika utakutana na kibao kilichoandikwa " He who greets...
WAHADZABE au WATINDIGA
Ni kabila ambalo kwa kiasi fulani bado wanaishi maisha yale ya ujima . Wao bado wanategemea asali , matunda , mizizi na nyama kama chakula kikuu . Bado wanaishi mapangoni...
Katika kuelekea siku ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Mwl J.K.NYERERE nimeandaa historia fupi ya maisha ya Mwalimu!Tafadhali sikiliza sehemu hii ya kwanza,usisite kutoa maoni na ushauri pia...
JONAS MALHEIRO SAVIMBI, MWANAHARAKATI ALIYEBADILIKA KUTOKA MSOMI NA MWANAMAPINDUZI MPAKA KIBARAKA NA KIBAKA KWA WATU WAKE WA ANGOLA.
Na, Comred Mbwana Allyamtu.
Sunday - 01/10/2017.
JONAS...
Katika kusimulia historia ya Tanzania huwezi kuacha kusimulia historia ya vita vya Maji Maji ambavyo vilipata kutokea miaka ya 1900-1910. Vita hivi vilikuwa vinahusisha Watanganyika (watanzania)...
na Sabina Chrispine Nabigambo
Nchi ya Nigeria inaadhimisha miaka ya 57 ya uhuru wake,tangu kumalizika kwa utawala wa kikoloni mwaka 1960
Akihutubia taifa hilo hapo Jana Rais Mohammadu Buhari...
HISTORIA YA TOM MBOYA WA KENYA (1930-1969).
Moja ya matukio ya awali kabisa katika historia ya Afrika huru lilimpata aliyekuwa Waziri wa Mipango, Uchumi na Maendeleo wa Kenya Tom Mboya...
WAGOGO
Wagogo (mmojawao anaitwa Mgogo) ni kabila kubwa la Tanzania ya kati, wenyeji wa mikoa ya Dodoma na Singida . Wanakadiriwa kuwa zaidi ya 1,500,000. Lugha yao ni Cigogo (kwa Kiswahili...
Mohamed Said Asaria nakuwekea hii ili uone jinsi nilivyokutana na Dr. Mwanjisi katika Nyaraza za Sykes na In Shaa Allah nitakwenda hivi kwa wazalendo wengine ambao si wengi wanajua michango yao...
The Anglo-Zanzibar war, ilikuwa vita kati ya Zanzibar na Uingereza iliyotokea Ijumaa ya tarehe 27 August 1896.Hii ndio vita iliyodumu kwa muda mfupi zaidi hapa duniani, vita ilidumu kwa muda wa...
Mathew Fontaine Maury kwa wale waliosoma mambo ya history of marine Navigation Mnaweza mkawa mlimsoma , kwani ndiye Mtu wa kwanza akugundua " path of the sea current " yaani Mikondo ya bahari...
Kuna kila dalili zinazonionyesha kwamba Mabadiliko ya kweli kamwe hayawezi kutokea ndani ya CCM, hata kama wangelishuka kutoka mbinguni akina Dr. Magufuli milioni moja wakasaidiana kuliongoza...
Leo wakati naangalia tukio la kurudi ccm wanachama-madiwani wa chadema nikapata swali la kujiuliza... hivi wachaga na waarusha wamewahi kutoa watemi au machifu wenye nguvu?
Nawaona wadhaifu sana...
Hakuna...hakuna...hakuna mwarabu mwenye kujifaharisha kwa majina Yetu.
Mwarabu wa kuitwa Masanja, Chacha,Masawe au Mwakitabu hayupo. Hata wale waarabu ndugu zetu wa Puge kule Nzega, au wale...
IJUE HISTORIA YA "Vladimir Ilyich Lenin" MWASISI NA BABA WA TAIFA WA DOLA LA USSR.
•Makala hii ni sehemu ya maombi ya wadau wa Facebook.
First Edition.
NA Comred Mbwana Allyamtu
kwa ushilikiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.