Kuna mambo yanafanyika leo ukiyafuatilia yalipoanzia utashangaa sana. Sisi tumekuwa tumewawakuta trafiki polisi barabarani na sare zao nyeupe hata wakati barabara zilipokuwa za vumbi na vumbi la...
SEHEMU YA KWANZA
Naomba nianze kwa kusema kuwa, kwa asilimia kubwa watu wanaamini kuwa Waafrika weusi walifika Amerika mara baada ya Christopher Colunbus kugundua bara la Amerika kwenye miaka ya...
HUWEZI kuilezea na kuikamilisha historia ya vita ya Majimaji na ukombozi wa nchi yetu bila kumtaja shujaa wa kabila la wangoni Nduna Songea Mbano ambaye jinalake lilipewa hadhi ya kuuita mji wa...
Chirau Ali Mwakwere na Rais Jakaya Kikwete nyuma ni Balozi Mohamed Maharage Juma Mdigo wa Gombero.
[9:45 PM, 2/13/2017] +255 687 500 699: Huyu Ali Mwakwere ni Mdigo wa Kwale.
Siku alipokutana...
Katika pitapita zangu nimesikia kuwa wachagga wa Tanzania na wakikuyu wa kikenya ni kabila MOJA.......
Lakini upande wa pili tunaambiwa mchagga akiwa Kenya anaitwa mkikuyu na mkikuyu akiaa uku...
Uzi huu ni maalum kwa ajiri/li ( Faiza Foxy nisaidie usahihi wa hilo neno) ya nyimbo, muziki,ngonjera,mashairi, filamu, hotuba zinazochangamsha wasikilizaji na kila jambo linalohusu burudani juu...
Uganda haikuwa imetawaliwa, ikiwa nchi huru ilipokea wa missionary wa ki-Katoliki wakitokea Congo Brazzaville kwenye himaya ya mfalme Leopard. Church of England na Waislamu waliotokea Songhai...
Msitu huu wa kimila (asili) wa iganjo unapatikana Uyole igawilo Mkoani Mbeya, ni moja kati ya misitu yenye uoto wa asili katika mkoa wa Mbeya, hapo awali msitu huu ulikuwa mkubwa sana kutokana na...
Muhammad Ali bingwa wa masumbwi aliandika kitabu cha maisha yake, ‘’The Greatest My Own Story,’’ ambamo ndani yake ameeleza pigano lake na George Foreman kwa kirefu sana. Huyu George Foreman...
Ndugu wapendwa naomba kujuzwa kuhusiana na imani ya uhindu
2 Timotheo:4.2
lihubiri neno, uwe tayari, wakati ukufaao na wakati usiokufaa, karipia, kemea, na kuonya kwa uvumilivu wote na mafundisho.
Historia ya dunia inasema kuwa binadamu wa kwanza aliishi barani Afrika na mifupa yake iligundulika Afrika tena katika nchi ya TANZANIA
.Na dunia nzima inajua kuwa mtu wa kwanza aliishi hapa...
SEHEMU YA KWANZA
KWA UFUPI TU:Katika taaluma ya theolojia duniani wanatambua uwepo wa dini ya hindu. Kihistoria dini hii ya hindu ilianzia kuchipuka mnamo kwenye miaka ya 500KK-300BK.
Dini...
Karibuni sana wana jukwaa pendwa la Historia,mimi MJUKUU WA CHIFU nitakuwa hapa kukupa historia ya kabila lolote kutoka A hadi Z.
Pia najibu maswali yoyote ya historia karibuni.
Naaanza na ndugu...
Mwenyezi Mungu amevipa visiwa hivi viwili yaani Unguja na Pemba bahati ya utukufu kwa kila jambo lake. Hayo yaliendelea tokea karne na karne mpaka pale ulipotendwa ufisadi wa taarikh 12 Januari...
Habarini wanajamvi.. Nipende kuwapongeza mashujaa wote wa jukwaa LA inteligence mnatupanua akili kwa nyuzi zilizojaa mambo mapya kila wakat.
Mwisho wa kushukuru niwakaribishe kwenye thread moja...
(born Aug. 3, 1934, Portuguese Angoladied Feb. 22, 2002, near Lucusse, Angola) Angolan guerrilla leader and politician. After obtaining a doctorate abroad, Savimbi returned to found the National...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.