Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

NI DOLA YA GALLIA (GALLIC) UFARANSA, AMBAYO KWA ZAIDI YA MIAKA “900” NDOTO YAKE YA KUITAWALA DUNIA ILIVYOSHINDWA; NA NI MAPINDUZI (Révolution française) YA 1789 YALIYO ZAA FALSAFA YA MWANGAZA WA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi historia ya nchi yetu inatusaidia kitu gani kwenye maisha yetu ya kila siku nimejaribu kuwaza kwa mfano historia ya mambo ya kina living stone yanasaidiaje kuimarisha ubongo wa kijana wa sasa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Karibia namaliza kitabu chake kuhusu Abdulwahidi Sykes - nipo ukurasa wa 206 sasa. Kwa kweli kinastahili kumpa Shahada ya Uzamivu ya Historia. Kama bado hajapewa nashauri vyuo vyetu vifanye hivyo...
7 Reactions
28 Replies
6K Views
"kiongozi wako wa kazi anayo mamlaka na madaraka makubwa kuliko yaliyoandikwa, sio kila jambo lazima iwe kanuni" — Job Ndugai, Spika wa bunge Hii ni kauli ya Spika la Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
1 Replies
866 Views
Mwalimu JK Nyerere na Bw. Patwas kualia kwake unapoitazama picha. Kulia mwenye koti na kofia Mzee Rashid Makoko Babu na wa pili yake ni mwanae Mamboleo Makoko na kushoto mwenye koti na kofia mzee...
3 Reactions
31 Replies
7K Views
MOHANDAS KARAMCHAND MAHATMA GANDHI BABA WA TAIFA LA INDIA AMBAYE ALIKUWA NI KIONGOZI WA DINI YA KIHINDU, MWANAHARAKATI NA MKOMBOZI ALIYEFANIKIWA KULIPATIA TAIFA LAKE UHURU. Na, Comred Mbwana...
4 Reactions
6 Replies
3K Views
Tarehe 12/9/1977, kijana Steve Biko aliyekuwa akipingana na sera za kibaguzi wa rangi aliuawa nchini Afrika Kusini. Biko aliuawa akiwa kijana mdogo tu wa miaka 30 na ushee ingawa alikuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
1. Tarehe kama ya leo tarehe 11/9/2001 ndio siku ambayo kituo cha biashara cha Marekani WTO majengo pacha yaligongwa na ndege mbili ambazo tukio zima liliratibiwa na kikundi cha Alqaeda chini ya...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
KUMBUKUMBU: Tarehe kama ya leo yaani 11 mwezi September, 2001 watu wanaohusishwa na Kikundi cha Kigaidi cha Al-Qaeda kwa kutumia Ndege NNE walifanya shambulio katika Majengo pacha ya World Trade...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
SAID MAREHAN DAROD BARRE RAISI WA TATU WA SOMALIA NDOTO ZAKE ZA KUIJENGA NCHI YAKE ZILIVYO YEYEKUA NA KUIFANYA TAIFA LA SOMALIA KUWA KAA LA MOTO LISILOTAWALIKA: Vol. I - SEHEMU YA II [Toleo la...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habar zenu wakuu nimatumaini yangu hamjambo.Inavyofahamika sasa jimbo la Texas lipo marekani hili jimbo ni moja ya majimbo yanayopatikana kusini mwa nchi ya Marekani limepakana na nchi ya...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Watu wengi tumekua tusikia watu wakisimulia juu ya kuwa, kulikuwa na wafalme ambao walikuwa wakizikwa na watu waliokuwa hai, kama sehemu ya mila na tamaduni. Jamii ambayo ilifanya sana tamaduni...
3 Reactions
18 Replies
6K Views
MADA: UGAIDI NA MATAIFA MAKUBWA "Katika dunia ya leo ambayo silaha za Kinyuklia zimeyafanya majeshi yasiwe na umaana wowote ule, ugaidi pekee ndiyo silaha yetu kuu" - Jenerali Aleksandr...
9 Reactions
10 Replies
10K Views
IN FACT MJUE MWANAJESHI ALIEIBA NDEGE YA USOVIETI NA KUIPELEKA JAPAN Tarehe 6 mwezi Septemba mwaka 1976 ndege ilionekana ghafla kutoka kwenye mawingu karibu na mji wa Hakodate katika kisiwa...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Nyerere katika hotuba na waandishi wa habari kazungumzia kuwa kiongozi bora hapaswi kuongoza kwa kufuata dini wala kabila, pia hapaswi kupuuza dini na kabila za watu, kazungumzia kuwa kama watu...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Tanzania na Propaganda za Udini "Watu wema ni watu wema wawe wa dini yoyote na watu waovu ni waovu; wawe wa dini yoyote ile. Kama watu wema wenye kupendelea viumbe wenzao mema hawashikamani, basi...
8 Reactions
284 Replies
40K Views
SOMALIA NA HISTORIA YAKE KUNTU Na: Comred Mbwana Allyamtu. Somalia ni moja ya nchi inayopatikana katika bara la Afrika. Katika bara la Afrika Somalia inapatikana upande wa kaskazini-mashariki...
7 Reactions
42 Replies
18K Views
ROBERT GABRIEL MUGABE BABA WA AFRIKA PEKEE ALIOBAKI MADARAKANI. "Tokea kuwa Mwalimu mpaka mpigania Uhuru, sasa rais wa nyakati mpya Afrika" Na Comred Mbwana Allyamtu. 20/8/2017 MAKALA hii ni...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
WADIGO ni kabila linalopatikana katika mikoa ya Tanga na Pwani nchini Tanzania. Wao ni sehemuya jamii ya wabantu na lugha yao inaitwa Kidigo. Lugha hiyo, Kidigo, ina uhusiano wa karibu na lugha...
6 Reactions
29 Replies
30K Views
Naomba mwenye kujua historia ya watu niliowasoma kwenye maandiko ya kale kama wafilisti, je ndio wa palestina wa leo au? Pia ningependa kujua wale wafarisayo na wasadukayo ndio watu gani katika...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…