Nina rafiki yangu mzungu ktk project fulani huko nchi jirani na Tz lkn anadai yeye ni jamii ya Wanguu na eti ni kabila lipatikanalo huko kwetu Tz.
Ni mkoa upi Wanguu hupatikana huko kwetu?
Zimbabwe na Zanzibar kihistoria sote tumepata uhuru kutoka kwa wakoloni miaka tofauti,sisi tulipata mezani kwanza tarehe 10 december 1963,halafu tukatumia mapanga kufanya mapinduzi 1964 january...
Vita ya Korea ya karne ya
20 ilitokea kati ya 1950 hadi
1953.
Ilianzishwa na Korea ya
Kaskazini iliyovamia Korea ya
Kusini. Korea ya Kaskazini
ilisaidiwa na Jamhuri ya Watu
wa China na Umoja wa...
Mwanzomwanzo mwa miaka ya sabini -1971-1973, mwalimu mmoja wa chuo kikuu dar-es-salaam mwenyeji wa zimbabwe kwa jina la Bwana Michongwe kwa kushirikiana na idara ya sanaa za maonesho...
TAAZIA: KITWANA KONDO NIMJUAYE
NA ALHAJ ABDALLAH TAMBAZA
Mohamed Said June 03, 2017 0
Mayor wa Jiji la Dar es Salaam Kitwana Selemani Kondo
ILIKUWA siku ya Jumanne, Mei 24, mwaka huu, baada...
Habari ndugu zangu wana jf.Kutokana na maendeleo ya binadamu Katika nyanja za sayansi na teknolojia kumekuwa na juhudi mbalimbali Katika kutafuta asli ya binadamu na hatima yake hapa...
Bila shaka kesho(12/1/2017) ndio ile siku ambayo serikali halali ya Zanzibar ilipinduliwa na kuingia mikononi mwa wanyang'anyi na hiyo shughuli ambayo inasadikiwa uligharimu maisha ya watu...
Ihis is the proof that Israel Belong to God,
Isaiah 54:17 New King James Version (NKJV)
17 No weapon formed against you shall prosper,
And every tongue which rises against you in judgment
You...
Katika ile kesi inayomkabili sheikh ponda ambayo kwa sasa inaendelea kwa kutoa utetezi kwa upande wa washitakiwa,juzi alisimama mzee mmoja aitwae bilal waikela ktk kutoa ushahidi kwa upande wa...
Wamebarikiwa
Ukarimu, upendo uchapakazi, utii, adabu , ukweli, msimamo na kujithamini.
Karibu mbeya.
Pia wanapatikana kwa wingi meru Arusha, Mang'ola karatu, Arusha chini, USA, West...
Jumatano Mei 24, 2017 ni siku ambayo itakumbukwa na Watanzania wengi na hasa Waislamu, kwa kuondokewa na mzee wetu, Alhaj Kitwana Selemani Kondo, maarufu KK au mzee wa mjini.
Siku nne kabla ya...
Unaweza kudhani ni hadithi ya kutunga lakini hii kweli ilitokea! Vita ya Karansebes, ni miongoni mwa matukio yaliyoushangaza sana ulimwengu baada ya wanajeshi wa jeshi moja la Austria...
Balozi mzee Job Lusinde ni waziri pekee wa baraza la kwanza la mawaziri la Mwalimu Julius Nyerere mara baada ya kupata uhuru kwa sasa baada ya Sir George Kahama kufariki dunia.
Wakati Jeshi...
USIA WA MAREHEMU KITWANA SELEMANI KONDO KWA WATANZANIA
Mohamed Said May 24, 2017 0
Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma, 1999
Mohamed Said February 17, 2015 0
Annur...