Muasisi wa klabu ya simba na Red star ambaye pia ni mmoja wa wadhamini wa klabu ya Saigon Mzee Issa Ausi amefariki atazikwa Jumatano kwenye makaburi ya Ndugumbi magomeni saa 7 mchana. Tar...
Habari Wakuu, lengo la uzi huu ni kukusanya taarifa nyingi kadri tunavyoweza zinazomhusu Baba wa Taifa letu na kuziweka mahala pamoja. Mnaruhusiwa kuongeza makala zake, vitabu na machapisho pia...
Kwa miaka 41nimezaliwa wa nimeishi Tanzania Kilimanjaro Ninaijua historia :
Ukiona jambo linapotoshwa na watu wanaojitekenya wenyewe na kucheka wenyewe ni lazima usahihishe vinginevyo wanaweza...
Jina la Abdulwahid Sykes (1924-1968) katika historia ya uhuru wa Tanganyika kwa sasa halihitaji kuelezwa sana.
Historia yake imekuwa ni historia ya kusisimua unapomsoma kuhusu yale aliyofanya...
Buriani SAMUEL JOHN SITTA (Disemba 12, 1942 - Novemba 7, 2016)
Taarifa rasmi ni kuwa Mzee wetu, Spika wa Bunge wa zamani wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ndugu Samuel John Sitta...
Tanzania ni Nchi ambayo husifika mno kwa ukombozi wa Nchi mbalimbali za Afrika, hasa zile zilizo Kusini mwa Bara hili Masikini zaidi Duniani. Uthibitisho juu ya Ukindakindaki wa Nchi yetu juu ya...
KATIKA moja ya ahadi kumi za mwana-TANU; kila mwana-TANU alilazimika kuapa kuwa atakuwa tayari kwa namna yoyote ile kupambana na hatimae kuwashinda adui umasikini, maradhi na ujinga. Mwalimu...
Wandugu.
Mwenye historia fupi ya huyu Hitler kwa nini aliwakamata Waisrael,na Kule walienda wakitokea wapi, na Hitler akawafanyia vibaya na huenda hii ndio sababu hata Mungu...
Wadau,
Naomba mnisaidie hili swala, Hivi Zanzibar kuna makabila kama ilivyo Bara? Na kama yapo ni mangapi.?
Kuhusu Lugha Ukanda wa Pwani.
Unaposema kabila katika uwanda wa mwambao wa pwani...
Jana ktk kongamano la muungano mchokoza mada ambaye ni makamo mwenyekiti wa Udasa alidai miaka 2000 iliyopita Zanzibar ilikuwa tupu bila wakaazi.Ndipo baadae wamakonde, wazaramo na wasukuma...
Ibn Battuta (1304-1377) kwa kiarabu inatamkwa (eebin bahtuta)
Katika kitabu chake Ibin Batuta anaandika kwamba kiswahili ni lugha ambayo inazungumzwa na wakazi asilia wa upwa wa pwani ya Afrika...
Ndugu, mwenye kujua historia anisaidie kujua mambo ya fuatayo kwa ufupi,
Hasa kama kuna causes, effects or archievements bila kusahau background za vitu vifuatavyo:-
I. Pan-Africanism movement...
[emoji182]Sarah Saartijie Baartiman:Ni mwanamke aliyezaliwa mwaka 1789 nchini afrika kusini.Kutokana na kujaaliwa umbo,kwa kuumbwa kuwa na umbo zuri(physical shape) wazungu waliamuwa kumtumia kama...
Habari wakuu,
Nmeweka LINK hapa chini ya maelezo juu ya hili.
NCHI SALAMA IKIWA VITA YA III YA DUNIA ITATOKEA
NCHI SALAMA IKIWA VITA YA III YA DUNIA ITATOKEA
Hii historia ina ukweli au iliwekewa chumvi?
Kwamba kipindi cha idd Amin watu waliokuwa na msimamo tofauti na yeye walikuwa wanatekwa/wanapotea na kama muhusika alikuwa ni adui yake basi alimkata...
JE DHANA YA RASTAFARI NI UTAMADUNI WA AFRICA?
Sehemu ya I
NA:Comred Mbwana Allyamtu.
Wengi wetu tunawaona vijana na watu wengi mitaani wakijinasibisha na utamaduni wa ufugaji wa nywele...
TUNAJIFUNZA NINI KUTOKA IVORY COAST??
Huyu anayevutwa na Askari sio kibaka, sio mwizi, sio mfuasi wa chama cha upinzani ambao wengi wamezoea kuonewa bila sababu. Huyo ni Rais wa nchi. Ni Rais...
Vladimir Vladimirovich Putin alizaliwa Saint Petersburg wakati huo ikijulikana kama Leningrad, October 7, 1952. Ni rais wa Urusi kwa sasa tangia May 7, 2012. Alikuwa waziri mkuu kuanzia 1999...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.