Moyo unaniuma niwakumbukapo babuzetu tunaumia tunasikitika wasaka tonge wanatudhalilisha wametuuza Tanganyika Leo inatukanwa dini yetu asili yeti ivi kuwa waarabu imekua kosa mbona wao wamakonde...
Pemba ni kisiwa kinachojulikana kwa umaarufu kama "al'jazeera al'khadra", yaani "kisiwa cha kijani" kwa lugha ya Kiarabu; ni kisiwa kinachoelea mashariki ya pwani ya Afrika kwenye Bahari ya Hindi...
Elizabeth I wa Uingereza
Malkia Elizabeth mnamo 1585
Elizabeth I wa Uingereza (7 Septemba 1533 - 24 Machi 1603) alikuwa malkia wa Uingereza kuanzia 1558 hadi 1603. Alikuwa mwanamke wa tatu...
Najua leo umepanga mengi ya kufanya ili kuwadanganya ndugu, jamaa na marafiki ili uifurahie Siku ya Wajinga duniani.
Si wewe tu, hata kampuni, taasisi na vyombo vya habari vya kimataifa...
Huo hapo juu nii ukurasa mmoja kutoka shajara yangu ya mwaka wa 1995. In Shaa Allah tutarejea katika niliyoandika katika ukurusa huo miaka 22 iliyopita. Kwa sasa hebu tuangalia haiba ya siasa ya...
Wana Jf swala ka Roma kupotea unaweza ukahisi na kupata jibu la haraka haraka maana huhitaji kuambiwa.
Tanzania ni nchi ya watanzania wote sio ya matabaka au watanzania wachache.
Nina maswali...
Wana JF
Naomba niwasilishe ombi kwa serikali yangu kuwa kuanzia leo wahakikishe kila askari ana kitambulisho ili amridhishe mwananchi kuwa yupo kazini na aje na mjumbe wa eneo husika vinginevyo...
Ndugu zangu,
Siku kama ya leo, jioni ya April 7, 1972, wakati akicheza bao na wenzake kwenye afisi za Afro Shiraz Party, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano na Mwenyekiti wa Baraza la...
Nilipokua mdogo kati ya miaka 10na kuendelea niliishi na Tamaduni mbalimbali katika maeneo nnayo ishi.
Tamaduni hizo nilizoea kuziona katika maonesho mbalimbali ikiwemo ktk zifa za kitaifa na...
Leo mrema ameamua kutupa ukweli, ifahamike kwamba kuna watu walijitokeza kuwalipia wafungwa waliotakiwa kulipa faini wakashindwa na hivyo kupelekwa mahabusu kutumikia kifungo, lakini...
Canaan Sodindo Banana (Machi 5, 1936 - 10 Novemba 2003) alikuwa Rais wa kwanza wa Zimbabwe kutoka Aprili 18, 1980 hadi Desemba 31, 1987
Wakati wa uhai wake, Banana ndiye aliyeviunganisha vyama...
Nilizaliwa Tanga ni mda mrefu nimemaliza miaka yangu katika jiji hili la mapenzi yalipozaliwa lakini pia nimepata bahati ya kutembea miji mingi Tanzania bara lakini sijawahi kuona mji ambao una...
Home
Monday, 2 January 2017
DR. RAWYA SAUD AL BUSAID KITUKUU CHA TIP TIP
Utangulizi
Kila unapoitafiti historia ya Zanzibar ndipo inapozidi kukushangaza na kukustaajabisha khasa katika...
Ilikuwa Julius Nyerere akiwa rais wa TANU ndiye aliyemshawishi Zuberi Mtemvu kuacha kazi na kuwa mtumishi wa kuajiriwa wa TANU.
Mtemvu akaacha kazi kama Assistant Wlefare Officer na kuwa mtumishi...
--------------IN FACT-------------------
NCHI AMBAZO PENGINE HATIZA SURVIVE VITA YA III YA DUNIA.
Wengi wetu tuna shauku ya kujua ni kitu hasa kitatokea endapo vita ya III ya dunia...
Historia ya hili linaloitwa Kabila la wagogo halipo na kwamba lilibuniwa tu na Wakoloni" Habari kamaili ipo hapo chini, kwa hiyo kwa kifupi hakuna kitu kama Kabila la Wagogo kama ilivyo hakuna...
Jamani eti binadamu wa kwanza aliishi Tanzania, ninavyo fahamu Binadamu wa kwanza ni Adamu je, Adamu aliishi hapa Tanzania? tusaidiane jamani hizi history pasua kichwa. TTB yaitangaza Tanzania...
Mhariri wa Raia Mwema katika toleo lake la 15 - 21, Machi 2007 katika tahariri yake kwa kumuadhimisha marehemu George Kahama aliyezikwa jana ameeleza masikitiko yake kwa Tanzania kutokuwa na...
"UPINZANI UMEPOTEA TOEN HOJA ZA KUWAHUDUMIA WANANCH WALIO WACHAGUA" nashangaa sana kusikia wabunge wa chadema wamejiandaa kuwasha moto katika bunge linalo anza 04 april , kuhusu mh; paul...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.