Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

"Katiba hii imenipa Madaraka makubwa sana, siku atakuja mtu ataitumia atakavyo na kuwa kama Mungu". - Mwl. Nyerere 1982. “Ni kazi bure kwetu, na kwa kweli ni ubatili mtupu, kuwa na Taifa lenye...
5 Reactions
10 Replies
3K Views
Agri Care, Substantially provides accurate measures in preserving natural soil nutrients that has lately faced fatal degradation through direct application of chemicalized fertilizer form...
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Wazawa wa Makete wakiwa nje ya Makete wanajitambulisha kuwa wote ni Wakinga. Ukweli ni kwamba kuna makabila manne ambayo ni Kinga,Wanji,Magoma na Mahanji. Wakinga ndio wengi kuliko makabila...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Hapa naomba nitawaletea historia fupi ikiambatana na Picha kwa aliekuwa Rais wa Afrika kusini, Nelson Mandela. Sorry najaribu kuweka Picha naona zinagoma
1 Reactions
0 Replies
944 Views
Wanaukumbi, Kuna mwenzetu mmoja kauliza swali. Wangapi wanamkumbuka muasisi wa TANU Lameck Makaranga Bugohe? Ninaweka hapa jamvini machache kuhusu shujaa huyu wa uhuru wa Tanganyika. Ijue...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Nadhani ni vema kuwaenzi na kuwakumbuka mashujaa wetu waliofariki kama alivyopendekeza PJ kwenye posti moja hivi. Mimi naanza: 1. Juma Kidogo 2. Baruti Mwesiga aka Kandambili 3. Profesa...
12 Reactions
183 Replies
32K Views
Kwa mtazamo wangu hawa ndio watu ambao wana ufahamu na uelewa mkubwa zaidi kuwahi kutokea Tanzania tangu tupate Uhuru! 1.Mwalimu J.K. Nyerere 2.Kambona 3.Mashilingi 4.Andrew Chenge 5.Daudi balali...
9 Reactions
175 Replies
20K Views
Mke wa Rais alipojua udhaifu wa mume wake, kwamba anampenda sana acha afanye vituko. Nchi ikasimama. Vurugu zote yeye. Nani wa kumzuia na ndiye usingizi wa Mkuu wa Nchi? Watu waliufahamu ukali wa...
15 Reactions
51 Replies
8K Views
Hv ni kweli udikteta ndo unaharakisha maendeleo Kwa taifa?? Kama ni kweli tusaidiane hata mifano mitano na kuelimishwa Kidogo juu ya hili, na ni udikteta wa aina gani huo ili viongozi...
0 Reactions
1 Replies
668 Views
Sun Wu au Sun Tzu (master Wu) alikuwa general wa jeshi miaka ya 500 BC. anafahamika zaidi kwa kuandika kitabu cha mbinu za kivita kiitacho The art of war. hii ni baadhi ya nukuu nzuri kutoka humo...
0 Reactions
21 Replies
10K Views
Jaws Corner Mji Mkongwe ngome kuu ya CUF Picha ilipigwa na mwandishi siku ya uchaguzi 22 Oktoba 1995 Sheikh Amar nilikuwa Zanzibar siku ile ya kupiga kura tarehe 22 siku ya Jumapili Oktoba mwaka...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa kuhusika kwake na kuimaliza iliyokua East African Muslim welfare society{EAMWS} na kuundwa kwa BAKWATA kama mbadala wa EAMWS . Baraza jipya lililorithi "majukumu" ya EAMWS lilihakikisha...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Wadau naombeni mnisaidie kuna vitu vinanisumbua.......JOHN OKELO ni mzawa wa wapi....na alihusikaje mapinduzi ya zanzibar....na je mwisho wake ulikuaje baada ya mapinduzi?
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Baada ya kusoma taazia ya Abdallah Tambaza sina nguvu ya kuandika chochote kuhusu rafiki yangu Mohamed Awadh maarufu kwa jina la Chico. Taazia ya Abdallah mimi imenitia simanzi kiasi ya machozi...
13 Reactions
83 Replies
13K Views
Hawa ni wadau wa soka wa mkoa wa Dar es Salaam enzi hizo . Mwaka 1986 walichangia kutuweka madarakani IDFA ya akina Mussa Shagow. Kutoka kushoto ni Margaret Bwana. Luke luhui. Afisa utamaduni...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa wale vijana wa zamani na wa zamani zaidi ambao bado tupo, ni vizuri kumshukuru Mungu kwa mambo mbali mbali. Hapa naomba tumshukuru Mungu kwa matukio yaliyotamba zamani zile katika kituo bora...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
kipindi nikiwa ninasoma nilifundishwa ya kwamba wakoloni walitunyanyasa sana africa, tulipigwa na kuteswa na wazungu lakini mbaya tulibaguliwa kutokana na rangi zetu . ukisoma...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wednesday, 25 December 2013 Obituary The Weeping and Whipping Pen of Ali Mohamed Nabwa 1936 -2007 Obituary The Weeping and Whipping Pen of Ali Mohamed Nabwa 1936 -2007 Mwandishi akishiriki...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Tukizungumzia mwanaharakati wa haki za watu weusi wengi wanajua bishop desmond tutu, Nelson Mandela, Winnie Mandela na wengine wengi ambao walishiriki katika harakati za ukombozi wa watu weusi...
3 Reactions
15 Replies
5K Views
Wednesday, 4 January 2017 Aziz Ali Kleist Sykes alikuwa na duka la vyakula Kipata Street sasa mtaa huo umepewa jina lake unaitwa Mtaa wa Kleist. Hizi zilikuwa juhudi za Kitwana Selemani Kondo...
35 Reactions
415 Replies
54K Views
Back
Top Bottom