Wanasema katika watu duniani ambao wana Photogenic na wanayo encyclopaedic memory ya mambo ya soka Tanzania ni Alhajj Captain Malik.
Je ndugu yetu Mohammed Said unaweza kutufahamisha kuwa...
Shikamoo
“Shikamoo ….” Every time I use this word, it’s almost as if I can feel the pain of Africa. The reason lies in the meaning of the word, “I am beneath you” said to the thieving, slave...
Mto huu Wa magole uliopo mkoa wa morogoro ni mto wenye historia ndefu ambayo huongoza kuhama hama sana. Mto huu umetokea katka vijiji mbalimbali vikiwemo mkundi na vingine.
Mto huu wa Magole kwa...
Baba wa taifa mwaka 1995 wakati wa kampeni za kumnadi Mkapa alisema hawezi kuiacha nchi yake iongozwe na mbwa,wengi hawakumuelewa kipindi kile kwa kudhani alimaanisha wapinzani hasa Mrema ambaye...
JAMBAZI MWENYE AKILI ANAYEKARIBIA KUTOKA GEREZANI
Mwaka 2021 ulimwengu utashuhudia mmarekani aliyefanikiwa zaidi kutekeleza matukio ya ujambazi akitoka gerezani baada ya kutumikia kifungo cha...
TUNU YA UKEREWE
Na Omari Abdallah Makoo
Wilaya ya Ukerewe ni wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mwanza. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 261,944
Eneo la wilaya...
Ni miaka 50 sasa tangu kutangazwa kwa Azimio la Arusha. Siku kama ya leo 29/01/1967 Kamati Juu ya Chama cha TANU iliyoketi kwa siku tatu (26-29 Januari 1967) ilitoka na Azimio moja la kuasisiwa...
Alexander Graham Bell Using the First Telephone
Mawasiliano ni jambo ambalo sasa mtu akilikosa anapoteza mambo mengi sana, Upande wa simu sasa
tumefika mbali sana kimaendeleo kwani ndio...
Hivi mshawahi kujiuiza kwa nini sisi wadigo haturuhusiwi kuwa na chief wetu?
Adam Mkwawa(13), Chifu mpya wa Wahehe, akirithi nafasi ya baba yake, Abdul Sapi Mkwawa aliyefariki 14/02/15
Jamani ndugu zangu mimi nimekuwa na maswali mengi juu ya muumba wa mbingu mpaka sasa sijapata kujua kwa kina historia ya Mungu.
Nimeamua kuuliza kwa sababu naona kama namkosea Mungu kwa kukaa...
Watu wote wenye mafanikio makubwa katika maisha wamekua ni watu wenye PLAN B mfano Donald Trump alipoulizwa atafanya nini akishindwa kupata urais akajibu atajikita katika biashara zake, Lowassa...
Jack Ma ni mwanzilishi na mwenyekiti wa mtandao mkubwa wa Alibaba. Ningependa kujua historia fupi ya ALIBABA na jinsi alivyofanikiwa kuteka soko la mtandaoni.
Karibuni kwa michango zaidi juu ya...
Huo ni muhtasari wa kile ambacho Profesa Elias Jengo wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (Fine & Performing Arts) ambaye pia ni mchoraji mahiri, atakizungumzia wakati wa maonyesho ya kazi za sanaa...
MWAKA 1848, Mmishenari wa Kijerumani Dk Johan Ludwig Krapf, alitembelea kijiji cha Magila kilichopo Muheza mkoani Tanga akiwa katika safari zake za Afrika Mashariki.
Magila kuna mlima ulio katika...
Leo U.S.A ni siku ya Martin Luther King Jr, kwa heshima yake hapa mimi namkumbuka kwa kutafakari quote yake moja maarufu nayo ni:
“We must live together as brothers or perish together as fools.”...
Dhifa ni chakula kinachoandaliwa kutoka tangulizi, mlo mkuu na kufuatia mlo baada ya chakula. Mara nyingi mlo huu huandalaiwa kwa heshima ya mgeni au ugeni na unafuatiwa na hotuba fupi. Katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.