Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Heshima sana wanajamvi, Gazeti la Raia mwema limekuwa likichapisha makala ya Kachero wa jeshi la wananchi (JWTZ) aliyetekwa Uganda pamoja na wanajeshi wengine wawili ambao waliuwawa na majasusi...
5 Reactions
58 Replies
8K Views
NAKUSAHURI USOME KWA MAKINI SANA UJUMBE HUU UNA MAANA KUBWA SANA.... SIKU FERDINAND MARCOS ALIPOKUFA ILIKUWA SHEREHE YA KIHISTORIA NCHINI UFILIPINO. Na Luqman Mloto. Enzi nikisoma shule ya...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Shambulizi moja la bomu nchini Uturuki limewaua wanajeshi 13 waliokuwa ndani ya basi na kuwajeruhi wengine 48. Mlipuko huo uliharibu basi hilo ambalo lilikuwa na wanajeshi waliokuwa wameruhusiwa...
0 Reactions
1 Replies
812 Views
Barua ya Mohammad Ali kwa Mandela Yauzwa Milioni 19.58 Barua ya Mohammad Ali kwa Mandela Yauzwa Milioni 19.58 - MUUNGWANA BLOG
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amedokeza kuwa huenda akawania urais nchini mwake, Korea Kusini. Muhula wake Ban kama katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa unakamilika mwisho wa mwezi huu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwenye kujua atujuze historia ya sudani na sababu ya kuendelea kwa migogoro nchi hiyo mpaka kugawika
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Attention attention kama una calenda ya mwaka 1995 basi haina haja ya kununua ya mwaka 2017 kwani zimefanana... Hii ni kwenda sambamba na bajeti ya uongozi wa awamu ya 5...chukua mark pen...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
hivi pan Africanism i hai,?
0 Reactions
1 Replies
778 Views
''And Julius Nyerere is the man who is going to lead us to independence...'' ''Has any one of you ever heard of Nyerere?'' He asked. No one answered. ''Black stand for the people, green...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Moja ya ahadi za Mwana-TANU ilikuwa; " Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko." Tatizo la fitina na majungu miongoni mwa viongozi wa TANU enzi hizo na sasa CCM ni moja ya mambo...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimesikia kuwa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mh.Ally Hassan Mwinyi aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.Nasikia Mzee Mwinyi alijiuzulu uwaziri Kwa kuwajibika.Nauliza in tukio gani lilisababisha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA NCHI YA ZANZIBAR. Maajabu ya serikali na chama cha mapinduzi CCM, ni kawaida kwao kuyatukuza mapinduzi ya Zanzibar na kuupuuza Uhuru wa nchi hiyo...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Nimegundua kitu kimoja katika tabia za watu wanaoishi kwa hofu ya kusema kweli wakiogopa labda wenye mamlaka wanaweza wakawadhuru. Wataujua ukweli lakini hawatausema hadi wasikie mtu mwingine...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
kichwa cha habari chahusika hawa warwa/ wameru asili yao ni wapi?
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Kilichofuata baada ya kupatikana uhuru ilikuwa ni kukamatwa, kuwekwa kizuizini na kuhamishwa kwa masheikh na Waislamu wengine waliodhaniwa kuwa wanapinga utawala wa Nyerere. Mashuhuri miongoni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuweka kumbukumbu sahihi.. Hakuna nchi inaoitwa Tanzania iliyopata Uhuru tarehe 9/12/1961, na hakuna Taifa huru duniani linaloitwa Tanzania-bara. Nchi iliyopata Uhuru tarehe 9/12/1961 ni...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wabembe ni kabila la watu ambao wanaishi katika nchi zote za Maziwa Makuu ya Afrika. Wanapatikana kwa wingi Fizi, Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia na wanaishi katika nchi tofauti kama: Kongo...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
JE UMEWAHI KUJIULIZA HAYA KUHUSU MWALIMU NYERERE? NA Comred Mbwana Allyamtu. 1-1955 mwalimu Nyerere alienda UNO kudai Uhuru kupitia article no 76 ya UN[emoji117]self determination na hii ilikuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hapa ni moja ya majengo ambayo wapigania ukombozi barani Afrika walikuwa wakiishi akiwamo Marais Mugabe wa Zimbabwe na hayati Samora Machel wa Msumbiji kama ilivyokuwa makazi ya wapigania haki...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Back
Top Bottom