Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Nimatumaini yangu kua umesha wahi kulisikia neno Levant, au kama hujawahi kulisikia, basi kama ni mfuatiliaji wa habari basi ulisha wahisikia kifupi cha neno hilo, hasa pale linapotajwa kundi la...
3 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za asubuh wana Jamvi ,,,,ningependa mtu mwenye historia ya Che Guevara anijuze
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Fidel Castro aliitawala Cuba kama taifa lenye mfumo wa chama kimoja kwa takriban nusu karne Tawala za kijamaa zilianguka kote duniani , lakini Castro aliendelea kupeperusha bendera nyekundu...
5 Reactions
16 Replies
5K Views
Najiuliza nashindwa kupata jibu, kwanini President Juvenal Habyarimana alilazimisha kurudi i Kigali licha ya kupewa taarifa za ki intelijensia juu ya uwezekano wa kutokea hatari ? Taarifa...
3 Reactions
24 Replies
8K Views
MWEZI Novemba mwaka 1979, Rais wa Awamu ya Kwanza wa Tanzania, Julius Kambarage Nyerere, alivua shati na kuvaa glovu [kiswahili kizuri, glavu] na kuingia ulingoni kuzichapa na Shirika la Fedha la...
13 Reactions
24 Replies
5K Views
Huyu mbabe hapo juu anaitwa CHARLES D.B KING Katika uchaguzi unaoitwa wa kidemokrasia 1927 nchini LIBERIA jamaa alimshinda mpinzani wake THOMAS J FAULKNER kwa kura zilizokuwa nyingi kuliko idadi...
8 Reactions
21 Replies
5K Views
Tujifunze au kujikumbusha kwa hili kidogo kwa tusiojua kuhusu Dodoma.... ANZA... Wazo la kuhamia Dodoma liliasisiwa na Mwalimu Nyerere mwanzoni mwa miaka ya 1970. Mwalimu alitaka kuona Dodoma...
3 Reactions
5 Replies
13K Views
Habarini wakuu. Naomba kujuzwa majina ya viongozi waliokimbiza mwenge kitaifa tangu tupate uhuru. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kwa mujibu wa nadharia ya “Nje ya Afrika”, watu wamesambaa kutoka barani Africa kwenda kokote kuujaza ulimwengu. Waafrika hawa wa sasa wamewafuata wazee wao wa kale sehemu za mbali – lakini kuna...
1 Reactions
1 Replies
11K Views
Hati Nesta Bob Marley aliikumbusha jamii ya Leo kuwa kbla hujaongea na boss vyote tulivyo navyo tumeona vimepotea. (before we talk to the boss All that we got seem lost we must have real paid...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Taja nchi kumi za afrika na ueleze miaka zilizopata uhuru na kiongozi aliyeipatia uhuru, koloni lililowatawala na ueleze lilipata uhuru kwa njia ya amani au vita.
0 Reactions
6 Replies
9K Views
native Americans au red Indians hawa ndio inasemekana kuwa ni wenyeji halisi wa marekani,bado kuna maoni mengi ya wanahistoria na watafiti kuhusu watu hawa,na pia maswali mbali mbali maana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Arusha -Arusha -Babati -Monduli -Kiteto -Mbulu Dodoma-Dodoma -Mpwapwa -Kondoa Kilimanjaro- Moshi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwaka 1929 nje kidogo ya mji wa beijing kwenye mapango ya milima kuligunduliwa fuvu na mifupa ambayo inasadikika kuwa ya binadamu wa kwanza. Kila mwaka sehemu hii hutembelewa na watalii zaidi ya...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Mwanamke huyo kwa jina la marry surrat ndie mwanamke wa kwanza kuwahi kunyongwa hapa duniani akipata adhabu hiyo mnamo saa 1.22 mchana tarehe 7 july 1865 akituhumiwa kumuua aliekua raisi wa...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Ingia hapo chini bahati mbaya makala ni ya Kiingereza lakini mjadala tufanyeni kwa Kiswahili: file:///C:/Users/yemen/Downloads/Tanzania_-_A_Nation_Without_Heroes_abridged.pdf
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mehmet Ali Agca ni Raia mwenye Asili ya Uturuki Aliyefanya Jaribio la Kutaka Kumua Mtakatiku PAPA JOHN PAUL II tarehe 13/5/1981. Katika Jaribio hilo Mehmet alifyatua Risasi nne kutoka kwenye...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwana Mapinduzi Field Marshal John Okello alizaliwa wilaya ya Lango nchini uganda mwaka 1937.Okello akivaa ngozi ya mwana mapinduzi alijikusanya na genge la kukodiwa la wauwaji,akina,Eugen...
7 Reactions
112 Replies
13K Views
Back
Top Bottom