NI KWAME NKHRUMAH NA DHANA YA UMAJUMUI WA AFRIKA.
NA Comred Mbwana Allyamtu.
Kwame Nkrumah (1909- Aprili 27, 1972) alikuwa ni kiongozi wa Ghana aliyepigania uhuru wa taifa lake kutoka Uingereza...
Mara yangu ya kwanza kufika Msumbiji ilikuwa mwaka wa 1990. Nilikwenda kuhudhuria mafunzo nikiwa mfanyakazi wa Shirika la Bandari Tanzania Makao Makuu nikifanya kazi latika Idara ya Biashara...
Utangulizi
Wapenzi wasomaji nimekuta ujumbe huu katika group moja katika Whatsapp na nimeupenda. Nimeona niuweke hapa kwa faida yetu sote. Ndani ya ujumbe huu kuna mengi ya kuzingatia na pia...
Habari wana Jamii.
Utaelewa wanaoitwa Sanga wanapatikana maeneo gani ndani ya Wilaya na wamekuwa kama ni Wenyeji lakini ni wageni walio ingia baadhi ya maeneo ya wilaya na kuonekana wao ndio...
George Washington ndie Rais wa kwanza wa Marekani, alizaliwa February 22 1732 huko Westmoreland county, Virginia.
George Washington alikuwa mwanasiasa na mwanajeshi wa Marekani ambae ndie...
Huu ni ulimbukeni wa hali ya juu. Kusambaza slogan ambayo hakika sio kweli. Mara nyingi najiuliza kwanini vita ile tuiite vita ya Dunia wakati direct ilikuwa inawausu wazungu. Na wao katika kuja...
Hamjambo marafiki! Mimi ni mwanasayansi kutoka Urusi. Zina langu ni Maria. Mnisaidie tafadhali kupeleleza swali hilo. Mniandikie fikra zenu kuhusu jadi na mila za Wabantu na maana ya jadi katika...
wadau kwa wale watu ambao wametembea sana katika nchi za uganda,congo,burundi na rwanda.
lakini pia kwa hapa tanzania style hii ya haya majina yapo upande wa...
Nilitegemea kuwa Sydney angepewa nafasi ya kusoma brief bio ya Ally Sykes leo lakini nashangaa kuwa hakuonekana japo ndiye aliyekuwa pewa nafasi na familia pamoja na Sykes mwenyewe kuandika...
Habar zenu wakuu,
Naombeni msaada nataka kujua historia ya utawala wa kifalme wa saudarabia ulianzia wapi ,siri zao ,mafanikio yao ,yaan kwa ufupi kila kitu kinachohusu utawala huu nataka kujua...
Baadhi ya viongozi wa Msumbiji waliolelewa na kukulia Tanzania:
1. #EdwardoMondlane
Kiongozi wa kwanza na muasisi wa chama cha FRELIMO. Alikiunda chama cha FRELIMO mwaka 1962 nchini Tanzania na...
Habari zenu wanajukwaa ninaomba kufahamishwa vizuri juu ya haya makabila makubwa mawili ya Tanzania wasukuma na wanyamwezi yanauhusiano gani kihistoria , nawasilisha .
Nipo naangalia azam two hapa naona namna historia inavyofichwa na nadala yake kutaja historia ya mwalim tu
maana tangia aanze anataja taasisi km AA,TAA lakini hataji viongozi wake na badala yake...
Kwa wale wanaoijua vizuli historia ya marekani hasa nyakati zile watu weusi walipokuwa katika ubaguzi mkubwa wa rangi je nani alikuwa kinara mkubwa wa kuendesha mikutano mizito ya kupinga ubaguzi...
Wabunge wa tanzania wamechachamaa baada ya kuambiwa kuwa huwa wanasinzia bungeni.
Maneno ya Makonda yameonekana ni ya dharau na yenye kuzalilisha bunge,
Sioni utofauti kati ya swala la Makonda...
Utangulizi:
Mnamo June 2, 1978, serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Julius Nyerere, uliamuru Umoja wa makampuni ya Kiingereza yaliyojulikana kama Lonrho Limited, kuondoka nchini. Sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.