Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Wanajukwaa za kwenu? Leo nimekuwa nikifikiria kuhusiana na historia yetu kama watanzania ambayo lazima ianze na mtu mmoja mmoja. Ukipitia biblia utaona katika kitabu cha Mathayo kuna historia ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Uzi huu hauna lengo la kutetea maharamia toka nchi za magharibi, Ila natambua watu wana uelewa wa vita za kiuchumi hasa nchi za kiafrica zinapo taka kujitawala kiuchumi kwa kutumia nguvu zao na...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Ishara zote zinaonyesho miaka 30 ijayo kabila maarufu la kichaga litafutika kabisa mkoani Kilimanjaro. Sababu kuu ni kama zifuatazo: Wachaga wengi wanaoa na kuolewa na makabila tofauti,wengi...
10 Reactions
41 Replies
6K Views
Mohamed Said May 12, 2017 0 Paul Sozigwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Leo asubuhi mapema kabisa rafiki yangu mmoja wa Kariakoo kanifikishia taarifa katika ‘’whatsapp,’’...
5 Reactions
3 Replies
4K Views
Haruna Taratibu Mubarak Ghulum Mtangazaji Radio Kheri Akiwa Katika Matayarisho ya Kipindi Maalum cha Miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika Kushoto Kwenda Kulia: Saleh Tambwe, Job...
4 Reactions
16 Replies
5K Views
kuna kile kitabu na movie ambayo mhusika wa story ni william shakespear kinaitwa merchant of venis na mwalim nyerere alikitafsiri akakiita mabeari kutoka venis nna full movie lakini siielewi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ukiachilia mbali kitabu chake cha THE PARTNERSHIP, Mzee Aboud Jumbe Mwinyi, aliyewahi kuwa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Wa Kwanza wa Rais wa Tanzania kabla ya...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
RAI YA MZEE ABOUD JUMBE Ukiachilia mbali kitabu chake cha THE PARTNERSHIP, Mzee Aboud Jumbe Mwinyi, aliyewahi kuwa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Wa Kwanza wa Rais...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Nimekuwa nikiwaza sana Kuhusu suala la dini na kusoma makala mbalimbali humu na sehemu nyingine. Nilichokuja kuambulia ni kuwa katika matabaka mengi yaliyopo duniani waafrika ndio tabaka...
0 Reactions
1 Replies
637 Views
LUMUMBA'S LAST STATEMENT FROM HIS CELL, SHORTLY BEFORE HIS DEATH, PATRICE LUMUMBA SENT THE FOLLOWING LETTER TO HIS WIFE PAULINE MY BELOVED COMPANION, I write you these words not knowing...
0 Reactions
36 Replies
23K Views
Said Abeid Mjukuu wa Mohamed Abeid Said Abeid nini uzawa wangu tumekutana miezi michache iliyopita Msikiti wa Maamur wakati wa Asr mimi nilikuwa napita njia na sala ikanikuta nikiwa maeneo hayo...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Lamu ni mji mkubwa katika kisiwa cha Lamu kwenye pwani ya Kenya. Ina wakaazi takribani 10,000. Mji pia ni makao makuu ya Wilaya ya Lamu na Jimbo gatuzi la Lamu. Mji upo upande wa...
4 Reactions
97 Replies
25K Views
Mohamed Said May 18, 2017 0 Thomas Soudt Plantan Utangulizi Siku zote nimekuwa nikimkera mama yangu Bi. Maunda Plantan kupitia mwanae Mzee Salum Khamis anipatie picha ya baba zake akina...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Mohamed Said May 10, 2017 0 Katika gazeti la Raia Mwema leo (Mei 10 - 16, 2017) Barazani Kwa Rajab, Ahmed Rajab kaka yangu na na mwalimu wangu katika uandishi kuna makala, ‘’Nyerere...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Nilipokumbuka ile hadithi ya kibanga kampiga mkoloni nikajiuliza kwa nini hakummaliza kabisa. Yapo mambo mengi katuletea au kuyafanya ambayo ukiyaangalia kwa nje ni mazuri kumbe yana ubaya sana...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Patrice Lumumba's Letter to Pauline Lumumba, 1960 My beloved companion, I write you these words not knowing whether you will receive them, when you will receive them, and whether I will still...
13 Reactions
64 Replies
13K Views
Johannesburg - Former African National Congress Youth League president Julius Malema joined the ANC at age 14 in 1990 and moved through the ranks of the Congress of South African Students where he...
0 Reactions
1 Replies
947 Views
Mi naona dua ile inamdhalilisha Rais hasa pale ina inaposomwa "umjalilie rais wetu hekima". Mi nadhani ingeindika hivi " umzidishie Rais wetu hekima" Ukisema umjalilie mtu hekima maana yake ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Maelfu ya wananchi kutoka sehemu mbalimbali wamejitokeza kwa wingi jijini Washington DC Siku ya Jumamosi Aug 24, katika maandamano ya kuunga mkono kumbukumbu ya historia Miaka 50 tangu kutoa...
1 Reactions
2 Replies
7K Views
Wakuu mnaopenda kuangalia movie ambazo zinatengenezwa kwa kufata historia au matukio ya kweli basi hii Movie ya Lone Survivor ni moja ya matukio ambayo yaliitingisha Marekani 2005. Huyu ndio...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…