Nimatumaini yangu kua umesha wahi kulisikia neno Levant, au kama hujawahi kulisikia, basi kama ni mfuatiliaji wa habari basi ulisha wahisikia kifupi cha neno hilo, hasa pale linapotajwa kundi la...
Fidel Castro aliitawala Cuba kama taifa lenye mfumo wa chama kimoja kwa takriban nusu karne
Tawala za kijamaa zilianguka kote duniani , lakini Castro aliendelea kupeperusha bendera nyekundu...
Najiuliza nashindwa kupata jibu, kwanini President Juvenal Habyarimana alilazimisha kurudi i Kigali licha ya kupewa taarifa za ki intelijensia juu ya uwezekano wa kutokea hatari ? Taarifa...
MWEZI Novemba mwaka 1979, Rais wa Awamu ya Kwanza wa Tanzania, Julius Kambarage Nyerere, alivua shati na kuvaa glovu [kiswahili kizuri, glavu] na kuingia ulingoni kuzichapa na Shirika la Fedha la...
Huyu mbabe hapo juu anaitwa CHARLES D.B KING
Katika uchaguzi unaoitwa wa kidemokrasia 1927 nchini LIBERIA jamaa alimshinda mpinzani wake THOMAS J FAULKNER kwa kura zilizokuwa nyingi kuliko idadi...
Tujifunze au kujikumbusha kwa hili kidogo kwa tusiojua kuhusu Dodoma....
ANZA...
Wazo la kuhamia Dodoma liliasisiwa na Mwalimu Nyerere mwanzoni mwa miaka ya 1970. Mwalimu alitaka kuona Dodoma...
Kwa mujibu wa nadharia ya “Nje ya Afrika”, watu wamesambaa kutoka barani Africa kwenda kokote kuujaza ulimwengu. Waafrika hawa wa sasa wamewafuata wazee wao wa kale sehemu za mbali – lakini kuna...
Hati Nesta Bob Marley aliikumbusha jamii ya Leo kuwa kbla hujaongea na boss vyote tulivyo navyo tumeona vimepotea.
(before we talk to the boss
All that we got seem lost
we must have real paid...
Taja nchi kumi za afrika na ueleze miaka zilizopata uhuru na kiongozi aliyeipatia uhuru, koloni lililowatawala na ueleze lilipata uhuru kwa njia ya amani au vita.
native Americans au red Indians hawa ndio inasemekana kuwa ni wenyeji halisi wa marekani,bado kuna maoni mengi ya wanahistoria na watafiti kuhusu watu hawa,na pia maswali mbali mbali maana...
Mwaka 1929 nje kidogo ya mji wa beijing kwenye mapango ya milima kuligunduliwa fuvu na mifupa ambayo inasadikika kuwa ya binadamu wa kwanza. Kila mwaka sehemu hii hutembelewa na watalii zaidi ya...
Mwanamke huyo kwa jina la marry surrat ndie mwanamke wa kwanza kuwahi kunyongwa hapa duniani akipata adhabu hiyo mnamo saa 1.22 mchana tarehe 7 july 1865 akituhumiwa kumuua aliekua raisi wa...
Ingia hapo chini bahati mbaya makala ni ya Kiingereza lakini mjadala tufanyeni kwa Kiswahili:
file:///C:/Users/yemen/Downloads/Tanzania_-_A_Nation_Without_Heroes_abridged.pdf
Mehmet Ali Agca ni Raia mwenye Asili ya Uturuki Aliyefanya Jaribio la Kutaka Kumua Mtakatiku PAPA JOHN PAUL II tarehe 13/5/1981.
Katika Jaribio hilo Mehmet alifyatua Risasi nne kutoka kwenye...
Mwana Mapinduzi
Field Marshal John Okello alizaliwa wilaya ya Lango nchini uganda mwaka 1937.Okello akivaa ngozi ya mwana mapinduzi alijikusanya na genge la kukodiwa la wauwaji,akina,Eugen...