From UPDP in Zambia
To our friends in the media, the diplomatic community and the election observers currently in our country.
Since the voting closed at 1800 on Thursday 11th August we have...
Badawi Qulatein
Utangulizi
Hapo chini ni aliyoandikia Salim Msoma kwa kichwa, ''Al Marhum Comrade Badawi Qulatein,'' na kuniletea kuhusu Badawi Qulatein. Nami nimeona niweke hapa ili jamii...
Mnamo mwaka 1982, mtu mmoja kwa jina la Michael Fagan, alifanikiwa kuingia kwenyekasri ya Malkia, Queen Elizabeth baada yakuvunja dirisha na kuingia chumbani humo.
Michael Fagan
Mtu huyo...
Great thanks to Mr Marcelin R Ndimbwa Mkurugenzi - Malinyi...
Mwanzo wa kuyathibitisha yaliyoandikwa na kuyajadiri juu ya mapinduzi ya kilimo Wilayani Malinyi umeanza Jana nikiwa na Comrade...
Utangulizi
Katika waandishi ambao siwezi kupita makala zao ni Salim Msoma. Utampenda akiandika au kuzungumza kwa Kiingereza au Kiswahili achilia mbali mantiki katika maudhui. Kaniletea habari hizi...
Greet thanks to Mr Marcelin R Ndimbwa Mkurugenzi - Malinyi...
Mwanzo wa kuyathibitisha yaliyoandikwa na kuyajadiri juu ya mapinduzi ya kilimo Wilayani Malinyi umeanza Jana nikiwa na Comrade...
Prof. Ibrahim Noor ana haya hapo chini ya kueleza kuhusu Badawi Qulatein:
Nimepokea makala hii kutoka kwa Prof. Ibrahim Noor na kwa ajili ya umuhimu wake nimeona niiweke hapa kwa faida ya wote...
Kenya, Tanzania na Uganda zilikuwa zikishirikiana tangu karne ya 20. Bandari ya Mombasa ilifanya Kenya na Uganda kuungana tangia 1917, ambapo nchi iliyokuwa Tanganyika kipind hicho ilijiunga na...
Malkia Anna Nzinga alizaliwa 1583 na alifariki December 17, 1663, pia alijulikana kwa jina la Njinga Mbande au Ana De Sousa Nzinga Mbande alikuwa malkia wa karne ya 17 wa Ufalme wa Ndongo na...
Kesi ya Lissu itaigia kwenye historia kwa polisi kwenda mahakama kuu kupinga dhamana ya mtu aliyeshitakiwa na jamuhuri. Kwa mjibu wa Uhuru la jana na Tanzania Daima la leo polisi wanajiandaa...
Masultani wa Zanzibar waliitawala Zanzibar iliyojulikana kama "Sultanate of Zanzibar" rasmi tangu mwaka 1856.
Sultani wa Oman, Said bin Sultan, aliitawala Zanzibar kutoka Oman, tangu 1804. Kabla...
Wasalaam waungwana!nawasalimu katika Upendo na Amani.
Ndugu zangu Mwl.Nyerere alitufundisha na kutuusia juu ya mstakabali wa taifa letu tukiwa kama nchi changa na maskini kuwa ilituendelee...
Ukitaka, Kunyonga Jamii, Kwamba wanawezaje Kuendeleza Maisha, Uvumbuzi na Elimu na Utamaduni wao? Basi Haribu historia yao. Bila Kujua Historia, Bila Kujua tulikuwa Kina nani, na tulifanya...
HISTORIA YA JOMO KENYATTA NA ABDULWAHID SYKES 1950
Utangulizi
Leo nilipokuwa nikipitia gazeti la Mwananchi (Jumanne Aprili 5, 2016) nilikuta kipande hicho hapo chini kuhusu Jomo Kenyatta:
Si...
Salaamu Wanabodi!
Sote tunawajua wakinga kwa kuwaona tu katika biashara zao! Hawa watu wanafanikiwa sana kibiashara kwa sasa,Ukienda kariakoo wamejaa wao,Mwanjelwa wamejaa wao na kwa sasa ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.