Ebu cheki baadhi ya michoro hiyo. Je sisi watu weusi ni sahihi kuitwa tulikuwa hatujui kusoma na kuandika?
Angalia picha ya tatu kuna helicopta ya kisasa na ya egyptian wanajf tuambizane...
Kama ndio kitu mission kuwa perfecf basi mission aliyofanyiwa jamaa huyu ilikuwa babu kubwa,
Neman Chilomo alisoma Bihawana sec.school miaka ya 70 na baadae Mzumbe A LEVEL. Alikuwa mwenyeji wa...
Yoweri Kaguta Museveni alizaliwa 19 September 1944, ni mwanasiasa wa Uganda ambae amekua rais wa Uganda tangia 29 January, 1986.
Museverni alijiunga na majeshi ya uasi ambayo yamtoa aliyekua rais...
Ndiye alieongoza vuguvugu la uhuru wa Congo na alikua kiongozi wa kwanza aliechaguliwa kwa demokrasia nchini humo, pia ni mwanzilishi wa chama cha Mouvement National Congolais (NMC).
Wajerumani walikuwa na mipango mikubwa sana na Dutch East Africa, mipango hiyo yote ilizimika baada ya kushindwa kwao katika vita kuu ya pili ya dunia (II WW). Makoloni ya Mjerumani Afrika ilikua...
Mohamed Said: MUFTI SHEIKH HASSAN BIN AMIR - MWINYI BARAKA FOUNDATION ZANZIBAR KONGAMANO LA RAMADHANI 1437/2016
Mwinyi Baraka
Kushoto: Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Julius Nyerere, Sheikh...
Hii nimeifuma kwenye maktaba moja London...Moja katika Archives za Afrika katika koloni la Tanganyika.Hawa Waingereza wana siri nyingi sana juu ya Tanzania na Utajili wake.
Nimejifunza pia "siri"...
JaJa Code-Africa
Discussing and revealing hidden truth about ancient African History.This blog is not inspired by Racism or radical Afrocentricism but by quest for Knowledge,recording of true...
Ifuatayo ni historia ya hospitali ya Mt. Francisco, hospitali teule ya wilayaambayo ilianzishwa mwaka 1921. Mwaka 1921 waliwasili masista wa kwanza wa “Baldegg” kutoka Uswiss(Switzerland) ambapo...
. NURU KUU YA AFRIKA ILIYO ZIMA GHAFRA.
Na Mbwana Allyamtu.
Tarehe 17/1/1961 Afrika na dunia nzima ilipata pigo kubwa sana kwa kumpoteza mtu muhimu na nguzo ya mapambano ya uhuru afrika...
Wanamajlis,
Mara nyingi nimekuwa kila nikieleza historia ya TANU na harakati za kudai uhuru nimekuwa nikimtaja Abdulwahid Sykes na Kariakoo Market ambako alikuwa akifanya kazi kama Market Master...
NINI HATMA YA UINGEREZA?
Na: Comred Mbwana Allyamtu
Duniani huwezi kuzungumzia kile kinachoitwa "ushawishi wa madola makuu duniani" ukaacha kuitaja Uingereza hii ni kutokana na heshima...
Kule China hii leo ndege yao ya kwanza ya abiria imefanyiwa majaribio ikiwa na abiria 70 je unadhani uthubutu wa China katika sekta ya anga itatingisha makampuni makubwa kama Boeing na Airbus...
THE LEGACY OF MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE: The Powerful Lesson for Africas New Generation.
ECKERNFORDE TANGA UNIVERSITY
P.O BOX 5079, TANGA.
Authors:
Jilala Simon N. (Assistant...
Wafuasi wa chadema sasa wanataka mabadiliko ndani ya chama chao. Fukuto la chini kwa chini zinadai kuwa wanazi wa chadema wasiyotoka mikoa ya kaskazini wamechoshwa na udikteta wa freeman mbowe...
Siku kama ya leo 03/04/2012 miaka 834 iliyopita sawa na tarehe 11 Jamadul Awwal mwaka 597 Hijiria ya mwaka wa kiislamu, alizaliwa Khoja Nasruddin Tusi, mwanafalsafa, mwanahisabati, mnajimu na...
Ukimsikiliza Msandawe, mkoa wa Dodoma, anavoongea hatofautiani sana na Mxhosa wa Afrika Kusini.
Kwa kuwa Wasandawe hapa kwetu ni wachache kulinganisha na Waxhosa wa Afrika Kusini, inawezekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.