Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

By Bernd Debusmann (Bernd Debusmann is a Reuters columnist. The opinions expressed are his own) Capitalism as we used to know it is on its deathbed. And those who predicted that the old brand...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tusibaguane JIFUNZE HAPA 1:WAISLAM WA SYRIA na WAALMENIA WA UTURUKI Chini ya utawala dhalimu wa OTTOMAN uturuki waliamua nchi nzima iwe ya waturuki na ya kiislamu na kufyeka makabila yote na...
10 Reactions
28 Replies
6K Views
Soweto umekuwa ni mji unaosikika masikioni mwangu kila mara. Naomba anayeijua historia ya mji huu anijuze kidogo. Ahsanteni.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nmesikia katika taarifa ya habari kwenye idhaa ya kiswahili ya Ujerumani (Deutsche welle ) kuwa ni leo rasmi ndio Ujerumani imekubali officially kuwa serikali yao ilifanya mauaji hayo ya kimbari...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Traveled and trade in America 1311 - 181 years before Columbus. He never claim to discover America. [Because] OVERTAKING & COLONIES IS NOT AFRICAN BUSINESS.
2 Reactions
23 Replies
8K Views
Mwaka 1977 raisi Samora alilivamia kanisa katoliki mjini maputo akingia ndani ya kanisa akishika nyundo na kuibomoa altare kwa mikono yake miwili mpaka ikapasuka pasuka nyang'a nyang'a huku...
2 Reactions
53 Replies
24K Views
Wadau kuelekea kuadhimisha miaka 17 ya kifo chake aliyekuwa Spika wa Bunge wa Kwanza wa Bunge la Jamuhuri Ya Muungano ya Tanzania tuna yapi ya kumuelezea ? na yapi ya kujifunza hasa kaatika siasa...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Nelson Mandela daima alitajwa kama 'kiongozi mkongwe wa dunia' ambaye alikuwa na ujuzi wa kutatua matatizo ya kidunia. Sifa yake ya madili mema ilimfanya kuonekama kama mrithi wa Mahatma Gandhi...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Zama zimepita wengi wetu hatufaham kua pemba ilikua na pesa yake ambayo ikiitwa Pemba rupes ambayo ilikua na nembo ya karafuu mbili na ilitumika kuanzia 1940 chini ya utawala wa sultan Sayyed...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Binafisi naamini hapa duniani kila mtu anajambo alilowahi kulifanya na kupelekea jamii yake kubaki ikimkumbuka daima. Jambo linaweza kuwa jema au baya,lakini bado atakumbukwa kwa hilo.binafsi kwa...
3 Reactions
205 Replies
56K Views
Published on 5 Sep 2013 Visit of Sir Richard Turnbull, Governor, to Lindi Town Council and to open the Government Indian Secondary School. Source: Adrian Roden
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kaskazini mwa nchi yetu upo mlima maarufu sana wa Kilimanjaro. Chini ya milki ya mlima huo aliishi Mangi maarufu sana aliyeitwa Mandara ambapo jina lake la pili ni Rindi. Mandara alianza kuwa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimeshinda Google mchana kutwa kutafatu ramani ya jamuhuri ya watu wanzazibar bila mafanakio.Naomba link wana JF, wajukuu hawanielewi wanafoka babu nchi gani hiyo haina ramani.
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Prof. Ibrahim Noor Shariff Mwanachuoni wa Chuo Kikuu Cha Rutgers, New Jersey, Marekani, Ibrahim ni msomi wa Sanaa, Tarikh (Historia) na Fasihi ya Kiswahili. Prof. Ibrahim Noor Sharif ameandika...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Sio mtahalamu sana ila najua wapo wenye uelewa mkubwa sana kwahili naomba watukumbushe vema ilikuwaje,nani katika hao alikuwa anaunga utumwa na nani alikuwa anapiga vita utumwa,karibu jamaa zangu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanamajlis, Naona kumekuwa na hamu mpya ya kusoma historia ya nchi yetu. Pamoja na kitabu cha Abdul Sykes kipo kitabu kingine kimeandikwa na Ali Muhsin Barwani aliyekuwa kiongozi wa Zanzibar...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Hii ndiyo maana (wikipedia) ya mauaji ya kimbari ni maangamizi ya mpango ya kundi zima la watu au ya sehemu yake kwa msingi wa taifa, kabila, rangi au dini! Sasa nijuavyo mimi Rwanda kuna watu wa...
1 Reactions
39 Replies
10K Views
Kaskazini mwa nchi yetu upo mlima maarufu sana wa Kilimanjaro.Chini ya milki ya mlima huo aliishi Mangi maarufu sana aliyeitwa Mandara ambapo jina lake la pili ni Rindi. Mandara alianza kuwa Mangi...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
“Does the white man understand our custom about land?” “How can he when he does not even speak our tongue? But he says that our customs are bad; and our own brothers who have taken up his religion...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Vita vya Uingereza na Zanzibar ndiyo vita fupi zaidi duniani. Ilidumu dak. 38 tu. Ilikuwa 27 Agosti 1896. kwenye vita hiyo majengo yaliharibiwa pamoja na vifo vya raia wengi vilitokea. je sababu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom