Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Mama Frolence Nightingale RIP amekuwa alama muhimu ya uuguzi duniani kutokana na yale aliyoyafanya kwenye hiyo sekta Tunapoadhimisha siku hii muhimu duniani je Tanzania tuna wauguzi kaliba ya...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Sheikh Ibrahim, Salim Msoma hajaelezea mambo yalivyokuwa kisawasawa. Kundi la vijana waliopata mafunzo Misri haikuwa makusudio ya Misri wala ya viongozi wa Hizbu kumuondoa mfalme. Makusudio...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BABA WA TAIFA ALIPOZUNGUMZA UNO KWA MARA YA KWANZA 1955 KUDAI UHURU WA TANGANYIKA MIAKA 61 IMEPITA... TUWAKUMBUKE WAZALENDO WALIOFANIKISHA HAYA Miaka 61 Tangu Nyerere Kwenda UNO New York Kudai...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Vita hivi vilipiganwa mwaka 1896 kati ya Utawala wa kifalme wa visiwa vya Uengereza na Utawala wa kifame wa visiwa vya Zanzibar. Sababu kuu ya vita hivi ni mgogoro wa madaraka uliotokea Zanzibar...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wana JF, habari ambazo zimeondolewa zuio la usiri (chini) toka kwenye makabrasha ya FBI zinaonyesha Taasisi hii kwa muda mrefu baada ya kumalizika vita ilighubikwa na haja ya kuelewa aliko Adolf...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Huyu ndiyo Konrad Zuse (*1910 - 1995 †) ndiye aliyegundua Computer kama tuijuavyo leo hii! Computer yake aliita Z3 ambayo ndiyo mwanzilishi wa Computer hapa Duniani, ingawaje kuna wengi...
0 Reactions
3 Replies
11K Views
Kubadilisha masomo ya taarikh iliyopotoshwa sana si kazi nyepesi kwani kuna wachache wenye nguvu ambao wanaing'ang'ania na kuilinda kwa nguvu zao, na za wakoloni wa leo wakiwa nyuma yao, kuwalinda...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
  • Closed
Utangulizi Masultani 11 waliotawala Zanzibar 1856 - 1964 Hawa masultani 11 waliotawala Zanzibar kuanzia mwaka wa 1856 hadi 1964 kesho kiama siku ya hesabu watamkabili Mola wao mikono yao ikiwa...
4 Reactions
140 Replies
17K Views
MAR 15 Siku Chief Adam Sapi Mkwawa alipopokea fuvu la babu yake Mtwa Mkwawa Kalenga ''Maisha ya Chifu Adam Sapi Mkwawa yalitokea katika Baragumu Aprili 12, 1956. Alisoma Tabora na Makerere...
3 Reactions
132 Replies
24K Views
Wamasai, watu wanaovutia na wanaofuga wanyama, wanaishi katika pori la Bonde Kuu la Ufa nchini Kenya na Tanzania huku Afrika Mashariki. Wao bado huishi kama vile mababu wao wa kale walivyoishi...
0 Reactions
33 Replies
11K Views
Iddi Faiz Mafongo TANU Card No. 24 Iddi Tosiri TANU Card No. 25 Ndugu Wawili Katika Kupigania Uhuru wa Tanganyika, 1954 ushoto Kwenda Kulia: Idd Faiz Mafongo, Sheikh Mohamed Ramia, Julius...
3 Reactions
11 Replies
8K Views
Hebu vuta picha! Mawaziri kibao kutoka nchi mbalimbali duniani pamoja na wadau wengine, wakiwa wamevalia suti zao na tai, wapo kwenye mkutano muhimu wakijadiliana kuhusu mambo muhimu ya...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kitabu hicho hapo juu ni Kumbukumbu za Ali Muhsin Barwani mmoja wa wapigania uhuru wa Zanzibar na kiongozi wa Zanzibar Nationalist Party (ZNP) Hizbu. Akiwa mmoja wa mawaziri wa serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Chukulia mfano, ni Jumapili wewe na familia yako mpo kanisani, mara mchungaji wenu mnayempenda na kumuamini anaanza kuwahubiria kwamba maisha ya hapa duniani hayafai kabisa kwa sababu dhambi...
1 Reactions
17 Replies
6K Views
SHIMIWI ni mashindano ya michezo ambayo hujumuisha Wafanyakazi wa Serikali Kuu,Idara na Mashirika mbalimbali ya Umma,mashindano haya hujumuisha michezo mingi kama mpira wa miguu,wa pete,mchezo wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwirobareee! Naaaaaaaaaaam! Kuanzia miaka hiyo ya RFA na radio One. Top Manyota, Top Manyota, Mwirobareee na wengine waliweza kuleta furaha maishani mwangu pamoja na wasanii wazuri wa Bongo fleva...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Kwa anaejua aniambie jaman...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Nilishaangaika kweli kutafuta hotuba za Hayati E.M.Sokoine bila mafanikio. Nilitembelea duka la RTD ya zamani pale Zanaki street nikakosa, niliwahi pia kuwa'pm' baadhi ya magwiji wa kutunza...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
WARENO 1500 – 1800Ukiristo uliletwa kwa mara ya mwanzo Zanzibar na Wareno. Wareno wakielekea juu kutoka kusini baada ya kufanikiwa kuizunguka Rasi ya matumaini mema – Cape of Good Hope katika...
1 Reactions
15 Replies
11K Views
SEHEMU YA KWANZA: KUTOKA UWANJA WA VITA – TEHRAN 1985 Mwezi Machi 1985, Tehran ulikuwa ni uwanja wa vita. Makombora ya Iraq yalikuwa yakidondoshwa kila usiku na kuwaweka wakazi wa jiji hilo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom