ZANZIBAR inaumwa; tena inaumwa ugonjwa unaoua hima (terminal disease) isipopata tiba makini, tiba yenye nguvu na kwa dozi kubwa.
Vipimo vya kitaaluma vinaonesha inasumbuliwa na mashetani, mizuka...
Nasaha za Mihangwa
ABEID KARUME: Aliuawa kulipiza kisasi au kumpindua? II
Joseph Mihangwa
Toleo la 127
31 Mar 2010
KATIKA sehemu ya kwanza ya makala haya wiki iliyopita, tuliona juu ya utata...
Salaam wana jamvi wote!! Ninaomba mwenye data za uhakika juu ya nini hasa kilisababisha mwana wa afrika kwame nkurumah kupinduliwa hapo 1966,maana kuna uvumi kuwa alipinduliwa mara baada tu ya...
Polisi kuua raia hovyo
Mawaziri na viongozi kufanya na kusema watakacho
Jumuiya za kidini kugomea sensa bila kujali
Ufisadi wa kutisha nchini unaoendeshwa bila woga
Migongano ndani ya CCM kufikia...
Hili kundi ndio lilihusika na mauaji ya wanamichezo wa Israel mjini Munich wakati wa michuano ya Olympic 1972. Wanamichezo 11 waliuawa wakati hawa jamaa walipofanya ambush kwenye kambi ya Olymic...
J. F. Kennedy was a very close friend of Nyerere. They have been in touch for a little while before making this State Visit in the summer of 1963. Tanganyika was changing and so was US. The two...
Pull back from Tanzain Coat of Arms to platform of Victoria Station as train pulls in. MS The Queen & Duke of Edinburgh. President Nyerere from train shakes hands with Queen and Duke, then Prince...
Baada ya Marekani kusitisha msaada wake kwa Tanzania kupitia MCC, kumeibuka mijadala mikubwa sana, kuhusu uhalali wa Marekani kufanya hivyo, na ni kiasi gani Tanzania kama inchi inaweza kuathirika...
Nilipata kutizama sinema moja muda mrefu kidogo ambayo ili semwa(based on the true story) ikieleza jinsi ilivyo kuwa,kwanza tutambue wakati wa biashara ya utumwa watumwa wengi walio toka Afrika ya...
Kuna wimbi la kutaka kuandika upya historia ya Australia kwani iliyopo inapotosha. Wanafunzi wamekuwa wakihamasishwa kukwepa baadhi ya maneno yaliyopo kwenye historia ya sasa.
Wanatakiwa kusema...
Mgombea urais marekani Dornald Trump amekuwa akijadiliwa na baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kisiasa za kimataifa , kuwa ikiwa atashinda Africa na Dunia zi hatarini
Je, Trump n tishio kwa mambo...
Habari wanajamvi?
Mie shauku yangu kuuubwa naombeni kufahamu
1.Nani mjenzi wa sanamu lile?
2.Dhima yake ilikua ni nini?
3'Kwanini liliwekwa mahala pale na si kwengineko?
Nawasilisha naomba wajuzi...
Mohamed Abdallah Kaujore
Kaujore aliua watu msikitini katika hali ya kuwa alikuwa amelewa akitokea kwenya bar moja karibu na Marikiti.
Kaujore hakuhukumiwa na aliendelea kuwa Memba wa Baraza la...
Boko Haram ni jina ambalo hutumika kulitambulisha kundi lijulikanalo kama “watu waliojitolea kueneza mafundisho ya mtume na jihad” yaani Ahlisunnah Lidda’awati wa’l-Jihad’. Boko Haram ni neno la...
Wanamajlis,
Wakati tunajitayarisha kupiga kura huu ni wakati mzuri sana tukaangalia
nyuma wapi nchi yetu ilipotoka na iliweza kuvuka na kuruka viunzi vipi hadi
Tanganyika ikapata uhuru wake bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.