Nadharia nyingi za kisayansi zimejengwa katika misingi ya wanasayansi wa Kigiriki(Uyunani ya kale) Sasa mbona Ugiriki ya sasa haiwiki kama ya zamani?(wakumbukeni akina PLATO na ARISTOTLE)
Julius Kambarage Nyerere (April 13, 1922 - October 14, 1999) was President of Tanzania (previously Tanganyika), from the country's founding in 1964, until his retirement in 1985. Born in...
Msikikilize Mohamed Said akimzungumza Mwalimu Nyerere katika Azam TV kuhusu harakati za TANU 1954 hadi kupatikana kwa uhuru mwaka wa 1961:
Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere -Azam TV | Mohamed Said
Mataifa ya Ulaya mashariki yakiongozwa na Urusi kwa nini hayakujishughulisha kutafuta na kupata makoloni Duniani kama mataifa ya Ulaya magharibi yakiongozwa na Uingereza? Pia Marekani 1884-1885...
Wadau naomba anayejua anijuze kama ni kweli paliwahi kuwepo Rais wa wachaga. Je ni kweli pia chagaland walikuwa na sarafu yao? Habari hizi nimesimuliwa na mzee mmoja hapa Nachingwea nikiwa katika...
Wana JF Jina CHOGGA limekua likitajwa miongoni mwa wana Siasa nguli wa Taifa kuanzia 1960s-90s
Inasemwa Mwanasiasa huyu alikua Mbunge wa Iringa kusini(1963-65),Yeye Pamoja na wenzake 8...
Mohamed Siad Barre
Na Nova Kambota Mwanaharakati,
Ukitaja nchi za kisoshalisti za kiafrika za miaka 1970 hutaacha kuitaja Somalia ya jenerali Mohamed Siad Barre aliyewahi kuongoza Somalia...
Ahmed Seif
Naanza kwa kusema kuwa inawezekana kabisa kuwa Ahmed Seif ndiye muasisi wa TANU mdogo kupita wote katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika. Yeye alijiunga na harakati akiwa...
Nashangaa sana tunasema kwamba kasi ya serikali hii awamu ya tano ni kupambana vikali na Rushwa lakini hatujiulizi ni hatua gani juzi uchaguzi wa Meya jiji la Tanga zilichukuliwa? Hapa rushwa...
Wanamajlis,
Kiasi cha kama miaka miwili iliyopita palikuwa na mjadala mkali sana
hapa ukumbini kuhusu hotuba ya Mwalimu Nyerere alipomtaja Abdul
Sykes.
Yericko Nyerere, Maalim Faiza Foxy na...
Ni hivi, haitajwi aliondokaje nchini, lakini alikimbilia Uingereza kupitia uwanja wa ndege nchini Kenya na serikali ya Tanzania ikatangaza baadaye sana.
Kuthibitisha hilo, Jumanne ya Januari 23...
''Mheshimiwa Dk. Harrison Mwakyembe ni mwanasheria, alikuwa anafundisha wanafunzi Chuo Kikuu. Moja ya vitu alivyokuwa anafundisha ni 'NATURAL JUSTICE'.
Mheshimiwa Spika,
Wewe pia ni...
_wengi husema kuwa kiswahili ni:
_KIBANTU
_KICONGO
_KIARABU
*KIBANTU: wengi husema kuwa chimbuko ya lugha kiswahili ni kibantu
kwa sababu maneno na misamiati yatokanayo na lugha ya...
Siku Nyerere alipotishia kunichapa
KIZA kilikuwa kimekwishaanza kutanda nilipoikaribia hoteli ya St. Ermins jijini London. Hoteli hiyo ni ya nyota 4 lakini ina haiba ya aina yake na ipo mahala...
Kwa wale wenye umri kama wangu watakumbuka vita Tanzania iliyopigana na Idd Amin baada ya majeshi ya Uganda kuvamia sehemu za kaskazini magharibi ya Tanzania. Ikumbukwe kuwa, Ghaddafi alituma...
Je ulifaham kuwa Ziwa Victoria linebinafsishwa kwa Wazungu kwa muda wa takribani miaka 77 basi kama hukufaham hyo ndo historia fupi sasa je una maoni gani kuhusu jambo hili ambalo lingefanyika...