Na Nova Kambota,
Jumatano, 26 June 2013
Unless not later than 11 a.m , British summer time , today September 3rd ,satisfactory assurances have been given by the German government and...
Wajukuu wa Mwalimu Nyerere wakiwa na baba yao mdogo, John Nyerere (katikati). Kulia ni Moringe Magige na kushoto ni Julius Makongoro. Picha na Julieth Kulangwa NyereNyerere(katikati) , Picha na...
Wakuu kama mnakumbuka vizuri mwaka 1984 kulikua na vuguvugu kubwa sana la Kenya kuivamia kijeshi Tanzania.
Sababu kubwa ilikua ni mnyukano wa kugombea mali za JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI...
Naomba Tuweke kumbukumbu sawa kidogo...... Picha hii ni ilipigwa miaka ya 90 kipindi Dr. Slaa anahamia Chadema akitokea CCM, Na huyo Mwenye Kaunda suti ndiye alikuwa mbunge wa kwanza Na pekee...
Kama picha inavyoonyesha hapo chini Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe na kundi lake wakitoka Mahakamani ambapo bado wanapambana na Serikali mpka leo hii kuhusu Mazisihi ya Bw.Mawazo, sijui ni siku ya...
Vijana wa zamani habu naomba mnijuze Abdul Omary Masood mtangazaji wa michezo wa redio Tanzania ENZI HIZO aliuwawa na nani? na kwa sababu gani, tunasikia wauwaji wake walimwua yeye tu mbele ya...
Leo ni siku ya kukumbuka jinsi Ma Legendary wetu Mwl. Julius K Nyerere na wanaharakati wengine walivyopigania uhuru wa Tanganyika kwa vitendo. Baada ya miaka 51 ya uhuru leo Tanganyika ni kichwa...
Wakuu,
Naomba mwenye ufahamu anijulishe Marehemu Abeid Amani Karume (04/08/1920 - 07/05/1972) alikuwa ana msimamo gani juu ya Muungano wa Tanganyika? Kuna maandiko yake yoyote juu ya mawazo...
Nimekuwa nikisikia miaka ya 1978 kulikuwa na njaa,je hiyo njaa kulikuwa hakuna mvua na ukame ulizidi
?au vita vya Uganda na Tanzania ndo sababu?au mfumo wa ujamaa wa Mwalimu Nyerere ulichangia...
Wadau habari humu!! embu nijuzeni hapa kwa sababu nimejaribu kufuatilia lakini sijapata jibu sahihi ambalo lina mantiki na halina utata. Hivi jina 'TANGANYIKA' lilitoka wapi na nini chanzo chake?
Wasalaam
Ndugu wana jamvi kwa maoni yangu
Imefikia wakati wabunge wa ukawa wapiganie muungano wa vyama utambulike kisheria na kupatikana kwa tume huru na matokeo ya uraisi yaweze kuhojiwa...
Kwa mujibu wa marejeo ya kihistoria (historical facts) tunaelezwa kuwa hadi kufikia karne ya 15 Africa na Ulaya walikua katika usawa wa kimaendeleo na kiteknolojia lakini walikuja kutuzidi maada...
Binafsi siamini kilichotokea Zanzibar, naona kama ndoto vile. Je, kuna wataalamu wa historia ambao wanaweza nambia nchi yeyote duniani ambayo imewahi kufuta matokeo ya uchaguzi mkuu tofauti na...
Nimejaribu kuwaza mimi na serikali ya kichwa changu kuwa itakuwa vipi kama Maalim Seif akitangazwa mshindi akaamua kuvunja muungano.
Je, Magufuli ataendelea kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
PROF. IBRAHIM HARUNA LIPUMBA NA JUMA DUNI HAJI UCHAGUZI WA 1995
Kushoto Mohamed Omari Mkwawa, Juma Duni na Prof. Ibrahim Lipumba
Prof. Ibrahim Lipumba na mlinzi wake
Juu...
Wakuu nimemsikia ndugu Dovutwa kapata ajali baada ya Dereva wake kujiaribu kumkwepa mwanabodaboda mmoja aliyekuwa anajilowassisha. Tuwaombee wagombea Urais.
OCT
22
KUMBUKUMBU ZA IDDI TOSIRI MWANACHAMA WA TANU KADI NO. 24
Mwaka wa 1954 wakati TANU inaasisiwa Iddi Tosiri na ndugu yake Iddi Faiz Mafongo walikuwa na umri wa miaka 40 na zaidi kidogo na...
Ukittafakari mfululizo wa kalenda na matukio, basi inawezekana kuna jambo ambalo hatulijui.
Mwalimu Nyerere aliachia uenyekiti wa CCM, Friday, August 17, 1990 huku Mkutano mkuu wa CCM ukiwa...
Wanamajlis,
Katika kumkumbuka Baba wa Taifa nilitembelewa nyumbani na East
African Radio, Radio One Stereo, Raia Tanzania na Sibuka TV kwa
mahojiano.
Kikubwa walitaka kujua historia ya Baba wa...