Wakuu
Miaka ya nyuma(si zamani sana) nchi ya Ujerumani ilikua imejengwa ukuta uliokuwa ukiigawa katika pande mbili yaani Ujerumani Mashariki na Ujerumani Magharibi, na mara baada ya kujenga...
Mkurugenzi wa Mtendaji wa zamani wa Benki ya NBC Bw.Lawrence Mafuru ameshinda kwa kura nyingi nafasi ya kuwa mjumbe huru wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB. Pamoja nae Waziri Mkuu mstaafu...
What about the Lady Hope story? Did Darwin repent of his evolution views and become Christian on his deathbed?
"What shall I speak about?" I asked.
"Christ Jesus!" Charles Darwin replied in a...
jamani kwa wachagaa waliokuwepo moshi hebu mtukumbushe vita ya ukoo kati ya wachaga wa wamachame na wachaga kibosho.....kipindi hiko nasikia wachaga wa kibosho walikuwa wanajiita wayahudi na...
Kariu kwenye ukurasa wa maswali na majibu kuhusu Kitabu cha 'The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968): The Untold Story of the Muslim Struggles Against British Colonialism in...
Binafsi nilipata mshawasha wa kusoma kitabu hiki baada ya kuelezwa kwamba Mtei amezungumzia pia mgongano wake wa kifikra na Mwalim Nyerere uliosababisha kujiuzulu kwake nafasi ya Uwaziri wa...
Wana JF,
Katika kipindi cha uongozi wa Nyerere nilikuwa sijazaliwa kwa hio nimesikia kupita watu mbalimbali kuwa Mwalimu Nyerere alikuwa hampenid kabisa Malechela na ilifika kipindi cha uchaguzi...
Ndugu Msomaji,
Fuatilia hapa In Sha Allah tutajitahidi kuweka mambo yanayosibu nchi yetu toka tupate uhuru mwaka 1961...
Ninaandika kitabu kuhusu siasa za Tanzania na jinsi dini inavyotawala...
WAKATI Tanganyika inapata uhuru mwaka 1961 Mwalimu Nyerere alitangaza vita dhidi ya maadui watatu yaani Ujinga, Maradhi, na Umaskini. Hawa ni maadui ambao kwa wakati ule Mwalimu Nyerere aliwaita...
Kwa muda wa siku tatu kuanzia tarehe 9-11.04.2014 mijadala mbali mbali ilifanyika ukumbi wa Nkrumah Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Mijadala yote ilijikita katika kujadili umuhimu wa ukombozi wa...
Wana-JF, Naomba msaada kutambulisha ni tokeo gani katika picha hii. Naikadhiria kuwa 1964 lakini inaweza kuwa kabla au baada ya hapo. Nawatambua Oscar Kambona, Rashid Kawawa, na Mwalimu Nyerere...
Asalaam aleykum Al-Akh,
Sheikh Mohammed Said kwa muda mrefu tumekuwa tukijadiliana kwa marefu na mapana kuhusu historia ya Tanzania. Ukaleta kitabu cha life and times of Abdulwahid Sykes watu...
Hi Wanajamvi
Wakuu ninaomba kueleweshwa-Hiki kitu kinachoitwa historia ni kitu gani hasa?kwanini katika maisha ya mwanadamu au Taifa kuna kitu kinaitwa historia?Je katika uhalisia wake historia...
Takwimu kutoka kamisheni ya haki za binadamu Tanzania inaonesha kuwa kati ya watu 2,478 waliohukumiwa kunyongwa hadi kufa kufikia mwaka 2010, ni watu 232 waliotekelezewa hukumu hiyo ambayo ni sawa...
The government announced a contest for a new name for the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on 31st July 1964. It said the new name should give the sense of unity and be easy to...
Heshima kwenu wana Jf,
Kuna jambo linatatiza sana hapa kijiweni kuhusu muungano wetu.Kuna jamaa ka rise mada hapa kwamba sababu kubwa ya CCM na Serikali kung'ng'ania muungano ni kwamba kwa mujibu...
Pemba ni kisiwa mashuhuri kilicho katika bahari ya Hindi kihistoria Pemba haikua Afrika huko Karen za nyuma zilopita kwa mujibu ya tarehe kisiwa hichi kilianza kuishi with tokea wakati wa Nabii...
Nchini Tanzania kabila la wachaga kwa asilimia kubwa lina uhusiano na asili ya uyahudi.
kuna koo kubwa kama Nkya.,Mushi,kileo,Lema,Munisi,Munishi,kirenga., ambao ancestor wake au baba yao Mweri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.