Najaribu kupost picha yake lakini naona pana tatizo. Naambiwa pesa ya kwanza hapa nchini ilitengenezwa Tabora na pia hospitali ya mwanzo nchini ilijengwa Tabora hivo kumbe Tabora ina historia...
Jioni ya Agosti Mosi, 1999 vijana wawili, Yaguine Koita na Fodé Tounkara walifanikiwa kuingia katika Uwanja wa Ndege wa Conakry, Mji Mkuu wa Guinea, Nchi iliyo katika Pwani ya Afrika Magharibi...
Mwalimu Julius K.Nyerere alifanya makosa makubwa sana ambayo hadi sasa yanatugharimu kuhusu swali la Muhungano!
Nasema kitu kilichokosewa ni Kuwa na Mabunge mawili ndani ya nchi moja!.
Kuruhusu...
On December 3, 1983, a helicopter crash in central Uganda claimed the life of Obote's feared Commander, Maj. Gen. David Oyite Ojok.FRED GUWEDDEKO reports that after the crash, the Yoweri...
Tusiusikilize wimbo wa nchi kubwa duniani kuhusu demokrasia tukaja kabidhi nchi hii mafisi yakatukuta yanayowakuta misri tunisia libya iraq na kwingineko
Hawa watu wanapotea kabisa, waliobaki ni wazee wakiwa wanahesabu siku zao tu, lakini wamefanya makubwa mno hasa kwenye upande wa uandishi wenye kufikirisha na fasihi ya ndani mno, maandiko yao...
"Thrilla in Manilla" was a 1975 boxing match between two boxing legends: Mohammed Ali and Joe Frazier. To me, these men were great fighters of that time and remain great fighters of all times in...
NANI HAJAWAHI KUUIMBA WIMBO HUU?
Kiongozi: Chama chetu cha mapinduzi cha jenga nchi!
Waitikiaji: chama chetu cha mapinduzi chajenga nchi*2
Oho Chaaam - Ahaaaa
Ohoo Chaama- Chajenga nchiiii
Hotuba ndefu niliyowahi kuisikiliza Tanzania ni ile ya Raisi Samora Machel aliyohutubia mwaka 1975 uwanja wa Samora Machel pale Iringa mjini alipofika kutoa shukrani kwa Tanzania kuhifadhi na...
mh! tazama historia ya waafrika 2metoka wapi? na thamani yetu ni nini ikiwa 2! ukipigania haki yako au ya watu basi cha mbembe utakiona basi pitia kusoma kitabu cha j'na hilo hapo juu.
Watu wengi wanapenda ulaji wa kuku waliopikwa kwa staili hii pasi na kujua asili yake.
Mzee Robert Makange (1928-1999)
Mzee huyu wengi hawamfahamu ila wanafahamu chakula chake alichokiasisi...
Ni muda mrefu nimekuwa nikitakujua maisha ya baba yetu wa Taifa na familia yake kwa ujumla, na hii ni kutokana na nilivyotokea kumpenda!. Siku moja nikizungumza na mzee mmoja juu ya wanafamilia...
Mwalimu alisema yafuatayo, tukatae rushwa,umaskini,udini na ukabila.
Namuomba Rais Jakaya Kikwete atueleze udini katika uchaguzi wa 2010 ulikuwaje?
Kwani mwaka 2005 aliposhinda kwa zaidi ya 80%...
Chama cha maccm arusha mjini wameishindwa chadema kwa kila namna matokeo yake wamekuwa wakiigiza kama zekomed wamekuwa wakitumia kila namna kumchafua rais wetu wa arusha mjini mp godbless lema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.