Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Wana JF, Tusome kwa Makini ! Gen David Sejusa, who is now perhaps the harshest critic of President Museveni in London, told the BBC in an interview yesterday that he would resist the Museveni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Itakuaje kama Tanzania ikaondolewa katika muungano huo? Je no nini kilicho sababisha kuvunja muungano Wa Africa mashariki.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waganda wako nyuma sana katika kukipenda au kujifunza lugha ya Kiswahili. Ukimsikiliza Mwanamuziki Jose Camelleon anapoimba nyimbo za Kiswahili utadhani ndio lugha ya kwao Uganda, la hasha...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
MY STORY: How Nyerere embarrassed President Lule in Tanzania News MONDAY, 10 AUGUST 2009 11:26 WRITTEN BY SSEMUJJU IBRAHIM NGANDA12 COMMENTS ‘Kenyans nearly handed me to Amin’, Obote was to...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
watanzania tupunguze kufuata mikumbo!na kamwe katika maisha yako usiombee hata siki moja vita itokee katika nchi yako.unaye umia ni wewe na familia yako.tuamke tushabikie vitu vya maana
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu mzee ni LuLu naangalia jinsi gani alikua na busara,ITV wanaonyesha matukio mbalimbali CC@Ritz FaizaFoxy
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Napenda kutoa pongezi za kutosha kwa Mwl. Nyerere kwa kazi kubwa aliofanya ya kufumba taifa zima kufuata kama anavyotaka na anavyohitaji liwe kwa hilo pongezi nyingi sana kwako teacher. Teacher...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sanamu ya Bikira Maria na Rozali vilivyokuwa vikitumiwa na Mwalimu Nyerere wakati wa sala. picha na Maktaba KWA UFUPI "Tangu atimize miaka 51 babu amekuwa akifanya ibada za asubuhi na jioni...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nyumba ya Mwalimu Nyerere iliyopo eneo la Magomeni ambayo kwa sasa ni makumbusho ya Taifa KWA UFUPI Enzi hizo Magomeni ndiyo ilikuwa kama Masaki. Mwalimu Nyerere alimwomba rafiki yake Mustafa...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Mwaka 1995 ndiyo mwaka ambapo vyama vingi vilianza nchini Tanzania, lakini ni mwaka huu ambapo mwanachama wa CCM na aliyekuwa waziri katika serikali ya awamu ya Pili alipoamua kujiondoa CCM...
1 Reactions
44 Replies
14K Views
Serikali inatia aibu. Mizani moja kibaha ni mbovu. Malori yameziba njia toka asubuhi hakuna kuingia wala kutoka dar. Kichekesho ni kwamba kuna askari wa usalama barabarani wengi lakini wote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"TUMERUHUSU Walanguzi na Wahujumu Uchumi kuongoza nchi. Wananchi wamefika mahali ambapo wanashindwa kutofautisha kati ya viongozi wa chama (CCM) na Serikali na Walanguzi na Wahujumu uchumi wa...
2 Reactions
14 Replies
6K Views
binafsi napenda sana kufuatilia historia lakini sijajua bado ni eneo gani huyu mwanaharakati alizikwa, na kama aliacha watoto na kama hao watoto bado wako hai
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Niliwahi sema kwa kuuliza swali; kwamba tutegemee Bunge gani kama 90% ya wabunge wa CCM walipatikani kwa mizengwe na Rushwa? Kwamba wataenda kumlipia nani fadhila za kuwa mbunge, mwananchi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa mara nyingine tena wana Jamii forum, Ingawa tupo katika karne ya 21, ninaridhia kabisa kusonga mbele kimaendeleo kama taifa. Hatutegemei tena kukutana na matatizo ya kunyanyasana kimawazo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Rais wa Tanzania Julius Kambarage Nyerere "MSHAHARA wangu ni Shilingi elfu tano kwa mwezi. Shilingi elfu tano katika nchi masikini. Masikini anayepata shilingi 200 kwa mwezi...
9 Reactions
81 Replies
13K Views
MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE 1922 - 1999 I AM QUITTING FROM ACTIVE POLITICS “I am not resigning but, I am quitting, and I have decided to do so because, I feel time is in hand for...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Salamu kwa kwa wana JF wa jukwaa la historia. Napenda kujua historia ya mji huu ulioko mpakani mwa nchi ya Malawi katika mkoa wa Mbeya ambao ni maarufu sana kwa kilimo cha mpunga na kakao. Jina...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Case Study from Tanzania presented at the Pan Africa Land Grab Hearing. - YouTube
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Please note how the migration of People takes place in this World, Sasa kama Wazigua, Wamakua, Wanyasa, Wangindo, Wayao, Wasambaa, Wapokomo, Mijikenda and other Bantu clans, Walitoka Somalia...
0 Reactions
5 Replies
7K Views
Back
Top Bottom