ushahidi wa jinsi samora alivyo lifanyia unyama kanisa katoliki nchini msumbiji. Soma hii attachment; je nyerere alipomsapoti kushinda vita dhidi ya renamo, je anstahili kuitwa mtakatifu.
MAASI YA KIJESHI 1964: MHUSIKA MKUU ALIKUWA NANI?
Na William Shao
NIA yake (Nyerere) iliyojaa busara ya kuendelea kulijenga taifa inaonekana inaanza kueleweka kwa watu wake (Watanganyika)...
Jamani kwa mliotaka kujua historia ya rwanda na haya yanayotokea someni hapa kwa ufupi japo kwa watakaokuwa wanajua zaidi nitaomba waboreshe thread.
Wahutu,watusi na jamii ndogo ya watwa ndio...
Kwa wapenda wa historia
Sote tunayakumbuka majina kama vile Filbert Bayi na Nyerere.
Isipokuwa tofauti zao kubwa ni hii
wakati Fibert Bayi anavunja rekodi za mbio na kuipatia sifa kem kem tz...
Paul Kagame (born October 23, 1957) is the current President of the Republic of Rwanda. He rose to prominence as the leader of the Rwandan Patriotic Front (RPF), whose victory over the incumbent...
Wana JF salam,kunakuwaga na tetesi Mwl JK Nyerere alipofika UK kutafuta kupewa uhuru wa Tanganyika alimkuta mmoja wa wafalme (mangi)wa kichaga nae akitafuta uhuru ila yeye alitaka wa Kilimanjaro...
Watanzania wote kwa ujumla,
Naomba tuandae orodha ya waliopigwa, waliofungwa, waliopoteza uhai na waliotendewa vibaya tangu Tanganyika na Zanzibar zipate uhuru. Nitatoa miafano:-
Watu wampoteza...
NGUZO TANO ZA UJAMAA - KWA MUJIBU WA Mwalimu Julius K. Nyerere
CLICK LINK IYO CHINI KUZISOMA
Hermes Power Inc: Tanzania: Kuelekea Ujamaa Mamboleo - Toward Neo-Socialism
Ndugu zangu kuna kijana wa BONGO FLEVA ameimba wimbo wake wa KIMAPINDUZI sana. Moja ya msitari wke unasungumzia Marekani kubadirisha na Tanzania YANDARUA KWA URANIUM. Bahati nzuri wimbo huu hata...
Salamu wakuu. Nilikua naomba kufahamu kama kuna mtu ana fahamu kidogo historia ya huyu raisi wetu mstaafu kuanzia udogoni mpaka kuja kuupata uraisi. Nimegundua najua kidogo sana kuhusu historia ya...
Jana katika taarifa ya habari ya Star TV, Meya wa Ilemela akizozana vikali na maneno mengi yasio staha wakati madiwani na mbunge wa ilemela walipogusia ukiukwaji wa kanuni, ameonyesha ujinga...
Akitokea Kwenye kikao Cha suluhu Za kivita kilichojumuisha mobutu sese seko wa Zaire(Congo), Kamuzu Banda wa Malawi na keneth Kaunda wa Zambia Mwaka 1986 huko Africa ya Kusini, Rais wa Msumbiji...
Haya ni maneno aliyo yatabiri baba wa taifa akiwa kama mtu mwenye maono ya mbali sana kwakindi kile ilikua kama vigumu sana kuyatambua maneno haya lakini leo tunashuhudia kwa macho na masikio yetu...
Waungwana katika JF
Kila siku kila sehemu katika lalamiko kubwa tunazozisikia ni biashara ya utumwa
lawama kem kem zinamuangukia Bwa Mohammed Murjib au kwa umaarufu wake Tip Tip kama ndie...
ktk muda mfupi tumeona cdm wakizika political carreer za viongozi wa ccm ktk serikali na wastaafu.
tumeona arumeru lowasa,wasira,mkapa,sendeka, ,tumeona ktk mazishi ya makani mukama alionekana...
Balozi Ami Mpungwe: Mandela niliyemfahamu
Ezekiel Kamwaga Toleo la 301
3 Jul 2013
NILIZALIWA mwanzoni mwa miaka ya 1950. Kama ilivyo kwa watu wengi wa kizazi changu, tulikulia katika kipindi...
BABA WA TAIFA alipinga suala la serikali tatu kwa uhai wake wote na aliwapinga g55 mpaka leo malecela alijiharibia sn kwani nyerere alisema likipita hilo ni bora asizikwe tanzania hoja ikafa kifo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.