Asili ya neno Morogoro ni Mluguru ili kujua zaidi twende pamoja.
KAMA utairejea historia ya Morogoro ya miaka ya kati ya 1870 hadi 1888, kipindi ambacho Sultan wa Zanzibar alikuwa Sayyed...
Papa John Paul II Mwaka 1990 alitembelea Tanzania na kukaribishwa na Rais Ali Hassan Mwinyi
Kumualika Papa aketiye Kitini pake Mtume Petro ni jambo moja lakini Mwaliko wako kukubaliwa ni jambo...
NINAVYOMKUMBUKA RAIS ALI HASSAN MWINYI (1925 - 2024)
Toleo hili la March 1993 linalomwonyesha Rais Mwinyi yuko kwenye meli inayopigwa mabomu ilikuwa ni ''lead story'' yangu katika jarida la...
Hebu tafakari kama German East Africa ingepata uhuru pamoja bila Rwanda Na Burundi kumegwa na Belgium baada ya ujerumani kushindwa vita vya kwanza vya Dunia;
Ingewezekana kama tungepata uhuru...
GUNDU LA ADDIS ABABA
Nina bahati mbaya na Ethiopia.
Hili la sanamu halinishangazi
Mara ya kwanza kufika Addis Ababa ilikuwa mwaka wa 1989 mwezi December kuelekea Christmas.
Mwaliko wangu...
"MAALIM SEIF, MAALIM SEIF, MAALIM SEIF"
Naangalia matangazo haya mubashara kutoka Bungeni, Dodoma. Hakika lilikuwa jambo la fedheha kwani kibwagizo kile cha jina la Maalim kilikuwa kinasema mengi...
Moja kwa moja kwenye mada.
Wakosoaji wameng'ang'ania 'oh watu walilazimishwa kuhama'
wengine wanadai
'oh Walikufa raia wengi sana wakati wa vijiji vya ujamaa'
"Vijiji vya ujamaa lilikuwa...
SANAMU YA ABRAHAM LINCOLN, LINCOLN MEMORIAL WASHINGTON DC NA SANAMU YA JULIUS NYERERE DODOMA
Abraham Lincoln sijapatapo kumuona hata siku moja ila katika picha.
Lakini huwezi kuniwekea sanamu...
NAMKUMBUKA RAFIKI YANGU ALI ABDALLAH KAZUA
Mwaka wa 2021.
Utasema jana.
Nilikuwa nikikaa na Kazua tunakumbushana mengi sana ya zamani.
Kazua siku moja kanipa kisa cha Mzee Mangara Tabu na Ayubu...
SHAJARA YANGU UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR MPAMBANO WA MAALIM NA KOMANDO 1995
Miaka 29 sasa imetimu toka uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 baada ya mapinduzi na muungano mwaka wa 1964.
Niko...
MAALIM SEIF SHARIFF NA VIJANA WA TANZANIA BARA UCHAGUZI MKUU 1995 SEHEMU YA PILI
Katika mazungumzo yetu Starlight Hotel, Maalim Seif ni kama vile hakuweza kujiaminisha kuwa kweli Tanzania Bara...
MAALIM SEIF SHARIFF NA VIJANA WA TANZANIA BARA UCHAGUZI MKUU 1995 SEHEMU YA KWANZA
Miongo mitatu imepita, yaani miaka 30. Huwa napita Barabara ya Titi Mohamed nikitokea Mnazi Mmoja nakwenda...
Hage Geingob (Full interview) (Namibia Documentary Series)
https://m.youtube.com/watch?v=zfNQ1MqEBVc
We had the pleasure to sit down with Namibian Prime Minister and former anti-apartheid...
Wasalaam wadau wa jukwaa,Naomba kutajiwa majina mazuri ya asili ya Wakinga ili niweze kumpa mtoto. Napenda majina ya kiasili kama njia mojawapo kuenzi utamaduni wetu Thank you in advance for your help
Wakati huo radio zilizotumika alimaarufu kama redio za phillps, national, panasonic naNationalpanasonic au maarufu kwa jina la dudu proof
Orodha ya Majina haya hapa:
Abdallah Iddrissa...
INAKUWAJE MWANAHISTORIA ANAPOKUTANA NJIANI NA KIZAZI CHA CHIEF MAREALLE NA CHIEF MARUMA WOTE KWA WAKATI MMOJA?
Kuna mengi yasiyofahamika katika historia ya uhusiano waliokuwanao machifu wa...
Ukisoma kitabu Desturi za Wachagga utaelewa kwa nini Wachagga wako mbele kuliko makabila mengi ya Tz. Kwanza kitu kikubwa sana kilichowatoa ni kupanda kahawa na kuwa na hiki chama Kilimanjaro...
WANYATURU ambao awali walijulikana kwa jina la Warimi ni watu wanaoishi karibu wilaya zote za mkoa wa Singida yenye tarafa saba.
Kwa Mujibu wa Patrick Mdachi katika kitabu cha Wanyaturu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.