"MWAMBA ALIYEIBA NDEGE KWA UBISHANI"
Mwaka 1956 mwanaume mmoja aitwae Thomas Fitzpatrick au "Tommy Vitz" waliwekeana dau wakiwa Bar na mlevi mwenzake kuwa anaweza kuiba ndege na kwenda kutua...
Oscar Kambona.
Kuna wakati ukitaka kumwangamiza mtu basi muhusishe na Kambona.
Hii ilikuwa baada ya Kambona kukimbilia Uingereza kufafuta hifadhi.
Namweleza Oscar Kambona:
MASAHIHISHO
Katika...
Kwa hakika kipindi cha utawala wa Mwinyi hakupungukiwa na watu waliokuwa wanaona raha kumshambulia.
Ilisikitisha kuwa kulikuwa na magazeti yalimpa nafasi Reverend Mtikila kumshambulia Rais.
Kuna...
KARIBU SANA MWANA JAMIIFORUM TUJIFUNZE na ruksa kukosoa chapisho.
FERRUCCIO LAMBORGHINI
Zamani nilinunua magari mashuhuli sana ya gran Turismo na katika kila hizi gari nililinunua niliona zina...
MWALIMU NYERERE NA SHEIKH THABIT KOMBO
Rais Ali Hassan Mwinyi anaeleza katika kitabu chake kuwa Sheikh Thabit Kombo ndiye aliyependekeza jina lake kwa Mwalimu Nyerere awe Rais wa Zanzibar...
HIP HOP IN ZANZIBAR...
MUziki wa Rap ni Muziki pekee ambao hutoa Elimu kwa jamii kutokana na aina ya Tungo au Mashairi wanayoimba wasanii wanaofanya Muziki Huo ..
Kwa Hapa Tanzania tuna list ya...
Hapo chini kuna "Memories" post niliyoandika baada ya kutoka kumbukumbu za Rais Ali Hassan Mwinyi.
Ukiwa umesoma kitabu cha Mzee Mwinyi na ukawa umesoma kitabu cha Abdul Sykes (1998) utaona kuna...
SIKU YA MWANAMKE DUNIANI
Gazeti la Mwananchi la leo limechapa makala ambayo walinitembelea Maktaba nami nikawazungusha katika mitaa ambayo wanawawake wa Tanganyika walikuwa hawapunguia katika...
Wakuu Habari za uzima?
Natumai harakati zinaendelea za kulijenga Taifa.
Napenda kuuliza vita ya MAJIMAJI iliyoongozwa na babu yetu kinjekitilingwale, je walikuwa mashujaa wa kutumia maji kama...
Erasto Bartholomeo Mpemba (1944 - 2023) alikuwa mwanasayansi kutoka nchi ya Tanzania aliyegundua tabia ya pekee ya maji inayojulikana leo kwa jina la athari ya Mpemba (kwa Kiingereza Mpemba...
Mwanaume mmoja alipanda ndege ya Shirika la ndege la Northwestern Airlines akiwa peke yake, akibeba bomu kwenye mkoba kwa urahisi kama ameshika faili la nyaraka za ofisi. Aliteka ndege hiyo na...
RAIS ALI HASSAN YALIYOMFIKA NA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI
''Tanzania Press Club hosted Reverend Christopher Mtikila, secretary of Full Salvation Church.
In that press luncheon Mtikila attacked...
KUTOKA UWANJA WA MKAPA HADI UWANJA WA MWALIMU NYERERE NYOTA WA YANGA
Mwanangu Taufik ni mpenzi mkubwa wa Yanga na mimi ni Mnyama.
Kwa kweli nateseka sana maana baada ya zile hamsa yeye ni...
JUMA DUNI HAJI
Nilikutana na Juma Duni Haji kwa mara ya kwanza chumbani kwa Maalim Seif Starlight Hotel mwaka wa 1995 CUF ikiwa katika harakati za Uchaguzi Mkuu wa kwanza baada ya kurejeshwa...
GEORGE ARNAUTOGLU
Ukumbi wa Arnautoglu ulikuwa ukumbi maarufu sana Dar es Salaam katika miaka ya 1950 na shughuli nyingi za kijamii na za kiasi zimefanyika pale.
Jambo la kusikitisha sana ni...
Kama kuna kitu kizuri mzee wetu Ruksa alikifanya ilikuwa kumgomea mwalimu Nyerere kuondoa jina lake kwenye mchakato wa Urais 1985.
Ilikuwa hivi:
Mwalimu alikuwa na marafiki watatu kule zanzibar...
Mnamo Mwaka 1991 Pepe Kalle na bendi yake ya Empire Bakuba walikuja Tanzania kufanya onesho katika jiji la Arusha. Walipowasili Arusha, walikodi taksi iliyokuwa inaendeshwa na mwanamama Hidaya...
TAAZIA
Leo usiku saa tatu In Shaa Allah nitakuwa TV Africa Channel 2 Mubashara Kipindi Maalum cha Rais Mwinyi.
Wako King'amuzi cha AZAM Ingia Others.
Picha hapo chini Ukumbi wa Korea...
MLANGO UNAOJIFUNGUA KATIKA KITABU CHA MZEE MWINYI
Mzee Mwinyi Mashaallah hodari wa kuchekesha.
Katika kitabu chake, "Mzee Rukhsa..." anahadithia alivyokuwa mwanafunzi Uingereza alivyoshtuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.