Kwa kifupi wakati mimi niko shule ya msingi katika miaka ya arobaini, Tanganyika ilikuwa imegawanywa katika majimbo (provinces) 8, ambayo ni: Lake, Northern, Tanga, Eastern, Southern, Central...
Kwa mujibu wa Kamusi ya Karne ya 21 iliyoandikwa na kuchapishwa na LONGHORN, Maana ya Maandamano ni "msururu wa watu wanaotembea kuelekea mahali Fulani kwa lengo maalum."
Kwa umri wangu huu...
NYONGEZA: Huyu ndiye Earle Edward Seaton kama anavyoelezwa na Abdul Sykes:
"Uingereza ilikuwa ikitawala Tanganyika chini ya kifungu 76 na 77 cha Mkataba wa Umoja wa Mataifa.
Kama mamlaka tawala...
Mzee Mshume Kiyate akimvisha Mwalimu Nyerere kitambi kumfariji baada ya maasi ya 1964
Aliyemshika Nyerere mkono kulia ni Mshume Kiyate, Max Mbwana na Mwinjuma Mwinyikambi Uchaguzi wa Rais 1962...
Most of the main players in the Nazi regime, probably including
Hitler, escaped. He and his lady Eva Braun did not die in the bunker,as history urges us to believe.
At least some of them went to...
Hii ni picha juu ni ya jamaa yetu (mwafrika) mwanaume anayenyongwa kwa kutumia kifaa cha kunyongea kiitwacho garrote.
Picha chini ni garrote inavyoonekana kwa karibu sana, usigukilie kifaa...
KAULIZA MUULIZAJI: ‘’KWA NINI MAJINA YA WAASISI WA TANU 1954 YAPO KATIKA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA LAKINI WAASISI WA AFRICAN ASSOCIATION 1929 HAYAONEKANI POPOTE?’’
Kijana alichonitafutia ni...
1. Reli ya Kwanza Tanzania Bara - Tanga 1893.
2. Shule ya kwanza ya Sekondari- Tanga 1890 (Tanga Old School).
3. Shule ya Kwanza (Anglikana) Tanzania 1848 - Tanga Magila Muheza.
4. Taasisi ya...
Nilikuwa Mwanza na nilitembelea wilaya za Magu na Sengerema. Huko nilikutana na ngoma za kina Ng'wana Ituli,wanacheza MBINA. Hii ni ngoma inayochezwa kipindi cha kiangazi baada ya mavuno...
Huyu Bwana yuko zake Kimara Bucha kwenye kasri au tuite hekalu lake mithili ya ikulu ndogo ya Singida, anakula bata huku akilea wajukuu, ameshazeeka sasa.
Yeye na kizazi chake walipigwa ban...
Mshikamano wa kijamii unapobomoka, kabila linakuwa halina tena uwezo wa kujihami, mbali ya kuweza kutanguliza madai yoyote. Lifikapo hapo litamezwa na mataifa mingine. —Ibn Khaldun
Mahojiano...
Habari Wanajamvi,
kuna taarifa/story ambayo mimi sijaipata vizuri na napenda wanye uelewa watuhadithie.
Ni kwamba Malcom X alifundishwa Uislam na Elijah Mohamed lakini inaonekana Malcom...
Ignoring warnings from the government and his family.
---
Of all the legendary wins in Muhammad Ali’s life, few are as little known as the one he pulled off exactly 25 years ago today: Defying the...
Anayejua historia ya baba yake Hayati Mwinyi atuambie
Mara nyingi tunaambiwa mengi kuhusu Mwinyi lakini hatujui mengi kuhusu baba yake
Na je ni nani aliyemuibua winyi kwenye siasa?
Nimekuwa naangalia jengo la iliyokuwa Embassy Hotel kwa muda mrefu sana sasa imefungwa na hakuna hata dalili yoyote ya kufufuliwa au kutumika kwa shughuli nyingine ya kibiashara.
Jengo lipo...
17 Mar 2011
21. The Tuskegee Experiment
Study of Epidemics in Western Society Since 1600 The Tuskegee Syphilis Study, carried out in Macon, Alabama, from 1932 to 1972, is a notorious episode...
Kabla hawajafika Wamasai katika nchi yetu, walikuwa wakikaa upande wa Afrika ya Mashariki unaoitwa sasa Kenya kwa miaka mingi, wakahama taratibu wakiingia nchi hii kutafuta malisho kwa wanyama...
HISTORIA YA UONGOZI YA ALI HASSAN MWINYI KAMA RAIS HAIKO WAZI
UTANGULIZI
Makala hii nimeiandika baada ya kuulizwa maswali baada ya kufanya kipindi cha Maisha ya Rais Ali Hassan Mwinyi na Afrika...
DARSA LA TAFSIR YA QUR'AN LA SHEIKH ABDALLAH IDDI CHAREMBO MWEZI WA RAMADHANI MSIKITI WA MTORO MIAKA YA 1970
Hukaa nikaangalia nyuma na ''nostalgia'' yaani simanzi.
Naangalia ujana wangu...
habari wadau.
naonaga lawama nyingi za waislamu wakimlaumu Rais wa awamu ya kwanza Nyerere aliwabania kuwapa madaraka na fursa nzuri serikalini baada ya uhuru.
Mzee wetu kipenzi Mohamed Said...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.