Babaji ni Himalayan yogi ambaye ameishi kwa muda mrefu sana.
Kila mtu anapaswa kumfahamu Babaji ni nani. Inasemekana Babaji amezaliwa Madras, India, AD 200.
Mpaka leo yuko hai.
Nilitamani...
Makala hii nimeiandika miaka michache nyuma kwa ajili ya gazeti moja Ulaya na ndiyo sababu iko kwa Kiingereza.
RAMADHANI IN DAR ES SALAAM THROUGHOUT THE YEARS
Observation of the holy month of...
MAONYESHO YA MWAMI TEREZA NTARE II JUMBA LA MAKUMBUSHO YA TAIFA
Ukiingia lango kuu la Makumbusho ya Taifa sasa unaelekea kwenye ukumbi wa Maonyesho ya Mwami Tereza Ntare imewekwa picha kubwa...
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko kwa kushirikiana na wakuu wa wilaya zote zilizopo ndani ya mkoa wa Katavi wameeleza mafanikio yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Mfahamu Sokoine Moringe
Edward Sokoine Moringe (Agosti 1, 1938 - Aprili 12, 1984).
Alikuwa mwanasiasa maarufu wa Tanzania ambaye alihudumu kama Waziri Mkuu wa Tanzania kwa vipindi viwili kutoka...
Historia ya Tanganyika imemficha mwanamama huyu ambaye alipingana na viongozi wa Tanu wakiongozwa na Mwalimu Nyerere na wazo la UN kuwa Tanganyika ipewe Uhuru mwaka 1971 na kushinikiza uhuru wa...
RAMADHANI ILE HAIPO TENA NCHI HII
Kuna watu waliohai hivi sasa walioshuhudia katika nchi hii Mwezi Mtukufu wa Ramadhani hapakuwa kunachezwa mpira wa mashindano viwanjani wala dansi kupigwa...
Kumbukizi ya miaka 40 ya kifo cha Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine imenikumbusha historia ya rafiki wa Sokoine Mzee Ali Mohamed Mead.
Mzee Ali Mohamed Mead alikuwa mfanyabiashara mkubwa na...
NDUGU WAWILI KATIKA HISTORIA YA TANU: STEVEN MHANDO NA PETER MHANDO
Imenichukua muda mrefu sana kuitafuta na kupata picha ya Steven Mhando na mdogo wake Peter.
Niliipata picha ya Peter Mhando na...
Utangulizi
Kuna wako wanaomtazama Dr. Dau kama ''Lecturer'' Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam.
Kuna wengine wanamtazama Dr. Dau kama Mkurugenzi wa Masoko Tanzania Ports Authority (TPA) na wengine...
Mwandishi William L. Shirer amefanya kazi ya kutukuka sana katika kitabu hiki.
Ni kitabu kirefu kidogo ila hebu fuatana na Mimi na nikuhakikishie, hautajua kimeishaje.. hisia na taarifa +...
MWANANGU MWANASITI KIJINO KAMA CHIKICHI...
Laiti kama kuta zingekuwa na masikio.
Picha hiyo ya kwanza hapo ni Muthaiga Country Club, Nairobi mwaka wa 1989 niko na Ally Sykes (1926 - 2013)...
HAPO ZAMANI ZA KALE
''Hadithi, hadithi.''
Msimuliaji atanadi kama vile anauza kitu.
Wasikilizaji wataitika ''Hadithi njoo, utamu kolea.''
Msimuliaji atajibu, '' Hapo zamani za kale...''
Simulizi...
KALAMU YANGU, RAIS ALI HASSAN MWINYI NA KITABU: ''MZEE RUKHSA: SAFARI YA MAISHA YANGU''
Makala hii fupi niliandika May 2021 baada ya kutoka kitabu cha maisha ya Rais Ali Hassan Mwinyi.
''Leo...
KUMBUKUMBU ZA RAMADHANI: FUTARI NYUMBANI KWA MAYOR KITWANA SELEMANI KONDO OYSTER BAY NA UPANGA
Katika makala fikra zangu zinarudi nyuma miaka mingi sana Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kama huu...
Historia ya kazi na shughuli za ulinzi na usalama hapa Tanzania zilianza tangu zama za mababu zetu. Jamii nyingi zilizoishi katika maeneo mbalimbali hapa nchini zilikuwa na ulinzi wa jadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.