Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Asili ya neno Morogoro ni Mluguru ili kujua zaidi twende pamoja. KAMA utairejea historia ya Morogoro ya miaka ya kati ya 1870 hadi 1888, kipindi ambacho Sultan wa Zanzibar alikuwa Sayyed...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Wanajamvi, Naamini si wengi wanaomfahamu Sheikh Ilunga Hassan Kapungu. Karibuni tuangalie Ilunga katokea wapi na nini kilimfanya awe vile alivyokuwa: Sheikh Ilunga Hassan Kapungu kaingia katika...
23 Reactions
497 Replies
69K Views
Papa John Paul II Mwaka 1990 alitembelea Tanzania na kukaribishwa na Rais Ali Hassan Mwinyi Kumualika Papa aketiye Kitini pake Mtume Petro ni jambo moja lakini Mwaliko wako kukubaliwa ni jambo...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
NINAVYOMKUMBUKA RAIS ALI HASSAN MWINYI (1925 - 2024) Toleo hili la March 1993 linalomwonyesha Rais Mwinyi yuko kwenye meli inayopigwa mabomu ilikuwa ni ''lead story'' yangu katika jarida la...
1 Reactions
6 Replies
924 Views
Hebu tafakari kama German East Africa ingepata uhuru pamoja bila Rwanda Na Burundi kumegwa na Belgium baada ya ujerumani kushindwa vita vya kwanza vya Dunia; Ingewezekana kama tungepata uhuru...
0 Reactions
1 Replies
334 Views
GUNDU LA ADDIS ABABA Nina bahati mbaya na Ethiopia. Hili la sanamu halinishangazi Mara ya kwanza kufika Addis Ababa ilikuwa mwaka wa 1989 mwezi December kuelekea Christmas. Mwaliko wangu...
0 Reactions
7 Replies
651 Views
"MAALIM SEIF, MAALIM SEIF, MAALIM SEIF" Naangalia matangazo haya mubashara kutoka Bungeni, Dodoma. Hakika lilikuwa jambo la fedheha kwani kibwagizo kile cha jina la Maalim kilikuwa kinasema mengi...
3 Reactions
5 Replies
715 Views
Moja kwa moja kwenye mada. Wakosoaji wameng'ang'ania 'oh watu walilazimishwa kuhama' wengine wanadai 'oh Walikufa raia wengi sana wakati wa vijiji vya ujamaa' "Vijiji vya ujamaa lilikuwa...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
SANAMU YA ABRAHAM LINCOLN, LINCOLN MEMORIAL WASHINGTON DC NA SANAMU YA JULIUS NYERERE DODOMA Abraham Lincoln sijapatapo kumuona hata siku moja ila katika picha. Lakini huwezi kuniwekea sanamu...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
NAMKUMBUKA RAFIKI YANGU ALI ABDALLAH KAZUA Mwaka wa 2021. Utasema jana. Nilikuwa nikikaa na Kazua tunakumbushana mengi sana ya zamani. Kazua siku moja kanipa kisa cha Mzee Mangara Tabu na Ayubu...
1 Reactions
0 Replies
446 Views
SHAJARA YANGU UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR MPAMBANO WA MAALIM NA KOMANDO 1995 Miaka 29 sasa imetimu toka uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 baada ya mapinduzi na muungano mwaka wa 1964. Niko...
0 Reactions
2 Replies
588 Views
MAALIM SEIF SHARIFF NA VIJANA WA TANZANIA BARA UCHAGUZI MKUU 1995 SEHEMU YA PILI Katika mazungumzo yetu Starlight Hotel, Maalim Seif ni kama vile hakuweza kujiaminisha kuwa kweli Tanzania Bara...
0 Reactions
1 Replies
531 Views
MAALIM SEIF SHARIFF NA VIJANA WA TANZANIA BARA UCHAGUZI MKUU 1995 SEHEMU YA KWANZA Miongo mitatu imepita, yaani miaka 30. Huwa napita Barabara ya Titi Mohamed nikitokea Mnazi Mmoja nakwenda...
3 Reactions
1 Replies
432 Views
Hage Geingob (Full interview) (Namibia Documentary Series) https://m.youtube.com/watch?v=zfNQ1MqEBVc We had the pleasure to sit down with Namibian Prime Minister and former anti-apartheid...
1 Reactions
0 Replies
327 Views
Wanaukumbi, Nadhani itapatikana faida kwa kumkumbuka Dr. Vedasto Kyaruzi daktari mpigania uhuru. Tumsome Dk. Kyaruzi tuwajue mashujaa wetu waliosahaulika. DK. VEDASTO KYARUZI DAKTARI...
7 Reactions
185 Replies
17K Views
Wasalaam wadau wa jukwaa,Naomba kutajiwa majina mazuri ya asili ya Wakinga ili niweze kumpa mtoto. Napenda majina ya kiasili kama njia mojawapo kuenzi utamaduni wetu Thank you in advance for your help
0 Reactions
39 Replies
11K Views
Wakati huo radio zilizotumika alimaarufu kama redio za phillps, national, panasonic naNationalpanasonic au maarufu kwa jina la dudu proof Orodha ya Majina haya hapa: Abdallah Iddrissa...
6 Reactions
16 Replies
6K Views
INAKUWAJE MWANAHISTORIA ANAPOKUTANA NJIANI NA KIZAZI CHA CHIEF MAREALLE NA CHIEF MARUMA WOTE KWA WAKATI MMOJA? Kuna mengi yasiyofahamika katika historia ya uhusiano waliokuwanao machifu wa...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukisoma kitabu Desturi za Wachagga utaelewa kwa nini Wachagga wako mbele kuliko makabila mengi ya Tz. Kwanza kitu kikubwa sana kilichowatoa ni kupanda kahawa na kuwa na hiki chama Kilimanjaro...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
WANYATURU ambao awali walijulikana kwa jina la Warimi ni watu wanaoishi karibu wilaya zote za mkoa wa Singida yenye tarafa saba. Kwa Mujibu wa Patrick Mdachi katika kitabu cha Wanyaturu wa...
9 Reactions
130 Replies
23K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…