Tatizo la waafrika wanajisikia sifa kuwa walitawaliwa na wageni toka bara ulaya na bara arabu .
Mwaafrika amekuwa roboti na hata ubongo wake unakuwa kama una chipu ya ki eletroniki imepandwa ktk...
Jana tumesherehekea miaka 48 ya Uhuru wa Tanganyika (sorry, Tanzania Bara). Kwa sisi tuliozaliwa baada ya uhuru tuna mambo mengi ya kujifunza juu ya historia ya taifa letu.
Moja ya mambo ambayo...
Ndg km ilivo kivhwa cha nabari kwanini hii Dola Mesopotamia yenye nguvu kiuchumi, kijeshi, hivo, ilikuwa haina mpango wa kutwaa nchi za Africa kama sehemu ya Colon lake?
Sifa kubwa ya...
MAULID YA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA MIAKA YA 1940
Nimekumbuka wakati wa utoto wetu Maulid ya Mfungo Sita iliyokuwa ikisomwa Mnazi Mmoja.
Mchana wake kunakuwa na karamu mbele ya Jengo...
Mtaa wa Mvita
Hapo nilposimama kupiga picha hii ndipo unapoanza Mtaa wa Mvita ukikutana na Mtaa wa Amani.
Mbele ya mtaa huu na ndiyo mwisho wa mtaa, Mvita unakutana na Mtaa wa Msimbazi.
Miaka...
SOKO LA KARIAKOO KUANZIA UPYA WAKE MWANZONI MWA MIAKA YA 1900
Sisi tuliozaliwa miaka ya 1950 tumelikuta Soko la Kariakoo kama linavyoonekana katika picha ya tatu na ya nne.
Nikiangalia picha ya...
Alexander III wa Macedon (20/21 July 356BC-10/11 June 323BC), alijulikana kama Alexander the Great, alikuwa Mfalme wa Ugiriki falme ya Macedon na pia mmoja wa wanafamilia wa family ya Kifalme ya...
MASOUD MASOUD: NIMEMKOPESHA PIMA KANILIPA SHUBIRI
Nimetembelewa na Bi. Mboni wa "Mboni Show," kuna historia alikuwa anataka kuisikia kutoka kwangu kuhusu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage...
UWANJA HUU NA MPIRA HUU WA MAKARATASI UNAWEZA KUTOA WACHEZAJI NYOTA?
Nilipenda kucheza mpira toka udogoni na kwa hakika ndiyo mchezo watoto wote mtaani tukiupenda.
Miaka yangu ya utoto nilikulia...
I have on many occasions received an overwhelming number of repeated requests from friends and my readers who have requested me to provide an extensive summary of the so-called Jews, because they...
How powerful people brought down the once organised Nairobi city transport system and the mess that followed. Enock Sikolia reports.
Source : Kenyan Historian
Hizi ni sababu 9 zinazo fanya ndege hii iweze kuogopwa zaidi duniani-
1.Inaweza kuhimili mlipuko wa nyuklia!
Ndege hiyo ilioundwa kwa lengo la kivita ina uwezo wa kuhimili mshindo wa mlipuko wa...
SAID CHAMWENYEWE KAPEWA MTAA KEKO
Mzee Said Chamwenyewe amepewa mtaa Keko.
Mwanae mmoja bado yupo hai anaitwa Fatima Chamwenyewe.
Haya ni katika mpango wa makazi uliotoa fursa ya kubadili majina...
Zanzibar, Tanzania 🇹🇿 1907
A British sailor removes the leg chains off an enslaved African man who had worn them for three years, 1907.
The photos were taken by Joseph Chidwick who was...
Mwanamke mmoja wa miaka 40 wa huko marekani aliyekua akifanya kazi ya kupiga deki na kusafisha hotel moja ijulikanayo kama LAS VEGAS HOTEL
,aliibia kondom iliyotumiwa na bilionea mmoja...
Mwanamke mmoja wa miaka 40 wa huko marekani aliyekua akifanya kazi ya kupiga deki na kusafisha hotel moja ijulikanayo kama LAS VEGAS HOTEL,
Aliibia kondom iliyotumiwa na bilionea mmoja...
Siku hizi naandikiana sana na vijana na kwa kweli wakati mwingine nausudu staili zao za uandishi.
Nikawasahihisha kwa kuandika, ''nafikaga,'' wananijibu.
''Mzee hebu ''relaksi,'' kidogo kwani...
https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=pfbid021wQTsF7mr6phhY7W5EPrVDpeSTaVuJYrf7eFMVih2H5fyzN3qpFRdcLjp7oMiv2Hl&id=100022121633704
ALL WORK AND NO PLAY MAKES JACK A DULL BOY
Zamani kidogo...
Buhaya we should rule ourselves and live like the developed countries and there won't be shame like there is today.
Je, umewahi kusikia watu wakisema kanyigo ni ULAYA ndogo?
Utangulizi.
Mji...
MAULID YA SHARIFF IDARUS STAND YA MBOYA MOSHI USIKU HUU
Hivi punde nimepokea picha za kupendeza kutoka za Maulid ya Shariff Idarus kutoka kwa rafiki yangu.
Maulid haya yanayosomwa Moshi Stand ya...