Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

Neno ‘KARIAKOO‘, asili yake ni neno la Kiingereza la ‘Carrier Corps’, likiwa na maana ya kwamba mahala hapo ndipo inapomalizikia misafara iliyokuwa ikiwasili kutokea nje ya hapa mjini, wakati huo...
29 Reactions
134 Replies
22K Views
"BARA MTATESEKA SANA KWA SABABU HAMTAKI KUTUJUA WAZANZIBARI" Ilikuwa wiki ya pili tu baada ya uchaguzi wa Rais Zanzibar baina ya Maalim Seif na Dr. Ali Mohamed Shein. Mwaka ni 2010. Kumbukumbu...
4 Reactions
0 Replies
997 Views
Death of Mamadou: DRC’s warrior leader Colonel Mamadou Ndala, who led the fight against M23 rebels in DR Congo, was killed on January 2. Colonel Mamadou Ndala of the Congolese armed forces was...
5 Reactions
22 Replies
6K Views
Wamormoni ni kundi la watu wanaohusiana na dini ya Mormoni, iliyoanzishwa na Joseph Smith huko New York, Marekani, katika miaka ya 1820 akidai alipata njozi na kuonyeshwa kitabu kitakatifu. Baada...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Nimepata sehem research inayoonesha yafuatayo Shuleni 1. Kila darasa ambalo kuna mchanganyiko wa wahaya top three mmoja lazima awe muhaya, we we utakaye changia hapa utakuwa shahidi hata kama...
35 Reactions
963 Replies
108K Views
Historia ndio Uti wa mgongo wa kila Taifa. Bila kujua historia ya Taifa husika ni sawa na kutojua ulikotoka na hujui unakokwenda. Anayejua historia vizuri, pia anajua jana ilikuwaje, anajua leo...
0 Reactions
0 Replies
537 Views
AKILI KUBWA: KIBWANA HAMZA MWAPACHU (1913 - 1962) KATIKA KUUNDA TANU Katika kitabu cha Abdul Sykes nimemtaja Hamza Mwapachu mara 42. Katika kitabu cha historia ya Julius Nyerere kilichaondikwa na...
0 Reactions
2 Replies
753 Views
BURIANI RAFIKI YANGU WA UDOGONI IBRAHIM MUSSA PAZI Nimesoma taarifa ya kifo cha Ibrahim Mussa Pazi nikiwa katikati ya Bahari ya Hindi nikitokea Zanzibar kurejea Dar es Salaam. Ibrahim tumekuwa...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Historia ni kumbukumbu ya mambo au matukio yaliyopita haijalishi ni mema au mabaya. Mtu binafsi, familia, ukoo, kabila, kampuni, taasisi, dhehebu, shule, chuo, wilaya, mkoa, kijiji n.k...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
KUTOKA PHOTO ALBUM YENYE UMRI WA MIAKA 50 Asubuhi na baridi ni kali sana. Huenda ni haya mabadiliko ya tabia nchi. Lakini kwa kawida Dar es Salaam haijapata kuwa na baridi kali kama hii mwezi...
0 Reactions
3 Replies
610 Views
Natambua wengi wenu mtakuwa hammumfahamu huyu mwanfasihi wetu mkongwe kabisa ambaye kwa sasa hatunaye duniani, ni mwanafasihi ambaye katika historia ya fasihi nchini Tanzania hatokaa asahaulike...
3 Reactions
5 Replies
865 Views
Ni kweli inasadikiwa dunia ina MATAIFA fulani fulani kama unatambua tutajie na faida zake. Mimi naanza na Israel. Ni taifa la kwanza kwa kuingiza pesa za kitalii duniani. Na ni watu hatari ktk...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
RASHID ''AFISA'' SISSO Nimemfahamu Rashid Sisso toka udogo wangu na nikimjua kama mmoja kati ya wanachama wakubwa wa TANU. Nilipoanza utafiti wa historia ya TANU katika miaka ya 1980 ndipo...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
HARUNA IDDI TARATIBU: DODOMA IMEMPA MTAA? Rafiki yangu mmoja jana kanilietea picha bila ''caption,'' chini akaandika kuniuliza kama namtambua huyo aliyekuwa katika picha. Nikamjibu kuwa...
1 Reactions
1 Replies
835 Views
BI. MAUNDA PLANTAN NDIYE MWANAMKE WA KWANZA KUTANGAZA SAUTI YA DAR ES SALAAM Bi. Khadija Said ni mama yangu nafungua macho namuona akiishi Mtaa wa Narung'ombe na huku Swahili na huku Sikukuu na...
2 Reactions
0 Replies
818 Views
There was never a dull moment with Nabwa. When I first came into contact with him I knew him by one name only - Nabwa. I did not even know that was not his real name but a nick name. I came to...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
ASKARI WAZULU KATIKA JESHI LA WAJERUMANI 1890s - 1914 Kwa miaka mingi bila mafanikio nimekuwa nikitafuta picha ambayo inaonyesha askari mamluki waliokwenda kuchukuliwa Mozambique na Hermann von...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
JULIUS NYERERE ALISEMA TANU IMEUNDWA IMEWAKUTA NA FEDHA ZAO HAWAKUTAJIRIKA NDANI YA CHAMA Historia ya wafadhili wa TANU na harakati za kupigaia uhuru wa Tanganyika bado haijaandikwa. Mwalimu...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
MELABON MUUZA EMBE NA VITU VINGINE KIKAPUNI KWA WATOTO DAR ES SALAAM YA 1960 Alikuwa akiitwa Melabon na hadi leo sasa mimi ni mtu mzima sijaweza kulifahamu jina lake khasa. Melabon ilikuwa dawa...
3 Reactions
5 Replies
872 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…