Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

''Yupo lakini huisikii sauti yake. Hasemi lakini yuko wala huhisi kuwepo kwake. Lakini yupo ila wewe humuoni. Anasikiliza zaidi ya yeye kuzungumza. Huisikii sauti yake. Utamfahamu na kumtambua...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Huyu alikuwa kijana mdogo aliye zaliwa mnamo mwaka c. 1887 huko Congo (DRC ya leo)sehemu inaitwa Bondela wakati huo palijulikana Kama Congo Free state na kufariki 15 August 1909 huko...
11 Reactions
14 Replies
4K Views
Naomba kuelimishwa ili nipate kuelewa vizuri historia. Najua wakoloni walimpokonya uchifu mangi Kileo lakini juzikati mangi Kileo ( mtoto ) ametawazwa na kurejeshwa madarakani. Ndio nauliza...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
YALIYOPITIKA KIPATA NYUMBA NO. 69 WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Ndugu zangu WanaGerezani Siku ya Gerezani Day nilikuelezeni kwa muhtasari kuhusu makaratasi yaliyokuwa yakichapwa pale...
1 Reactions
0 Replies
630 Views
ᏙᏆͲᎪ ᏙᎽᎪ ͲᎪΝᏀᎪ - ᏙᏆͲᎪ ᏙᎽᎪ ΝᎽႮᏦᏆ 3–5 ⁿᵒᵛᵉᵐᵇᵉʳ 1914 BATTLE OF TANGA Au Mapigano ya Tanga, ambayo wakati mwingine pia hujulikana kama Mapiganoya Nyuki yalikuwa ni shambulio lisilofanikiwa la Jeshi...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
MAZUNGUMZO MAFUPI NA WANAGEREZANI - GEREZANI DAY Leo nimezungumza katika Gerezani Day. Hadhira yangu ndani kuna wajukuu wa wapigania uhuru. Nilizungumza kisa ambacho kiliwachukua sana...
1 Reactions
0 Replies
739 Views
TAPA: Ilianzishwa 1955,ingawa vuguvugu la kuanzishwa kwa TAPA kulitokana na TANU. Vilianzishwa vikundi vya muungano wa wazazi toka kanda ili kusimamia elimu katika shule za wazazi. 1. Mkoa wa Dar...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mfano wa nyumba hizi zilizojengwa na Wajerumani ziko Amani, Tanga. Hiki kijumba kidogo ni jiko, kwa wakati ule wengi walipikia kuni. Hili jiko lilikua na sehemu ya kuhifadhi meter moja ya kuni...
0 Reactions
4 Replies
909 Views
Rafael Caro Quintero 2 Enrique Camarena Salazar"Kiki" alikuwa askari kwenye kitengo cha kuzuia mihadarati "Drug Enforcement Agent" kwenye upelelezi wake akafanikiwa kufahamu mahala shamba hilo...
6 Reactions
8 Replies
4K Views
GEREZANI DAY 2022: GEREZANI IMEBADILI MAJINA YA MITAA KUWAENZI WAZEE WAO WALIOPIGANIA UHURU TANGANYIKA Leo WanaGerezani wameadhimisha siku yao ya familia kwa kuwarehemu masheikh, wazee wao na...
1 Reactions
0 Replies
494 Views
"Nlikuta bunduki na bastola yake haina risasi hata moja na alikua hajajiandaa kwa mapambano yoyote licha ya kusikia kishindo cha helikopta nje" Kauli hiyo anasema Mwanajeshi wa Seal 6 team Mark...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
BURIANI SHEIKH ABDALLAH MUHSIN BARWANI Leo jioni nimepokea taarifa ya kifo cha Shekh Abdallah Muhsin Barwani aliyekuwa akiishi Dubai. Sheikh Abdallah Muhsin ni mdogo wake Sheikh Ali Muhsin...
1 Reactions
1 Replies
849 Views
MARA YA MWISHO MZEE WAIKELA ALIPONITEMBELEA 2018 ''Kauliza mwenye kuuliza, ''Inaelekea unampenda sana Mzee Waikela.'' ''Hakika nampenda. Vipi nisimpende Bilal Rehani Waikela ilhali alipendwa na...
2 Reactions
2 Replies
675 Views
Vita vya majimaji ni vita vilivyopiganwa na wazee wa kiislam kupinga utawala wa kimabavu wa kijerumani, lakini kwa makusudi vita hivi historia yake imechafuliwa kwa makusudi kuonesha kuwa vilikuwa...
2 Reactions
202 Replies
55K Views
Kipindi hiki watu walihama kufuata kazi, miji ilifanyika na biashara zilishamiri. Ni katika kipinndi hiki walianza ustaarabu wa kusukuma maji na yalifika majumbani. Maji tiririka yalipunguza...
4 Reactions
6 Replies
740 Views
KATIKA KUTENGENEZA KIPINDI CHA MAISHA YA BILAL REHANI WAIKELA Mtangazaji wa IBN AFRICA TV Hemed Lubumba akinihoji kuhusu maisha ya Bilal Rehani Waikela. Kipindi In Shaa Allah kitawekwa hapa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Alipambana kwa kila namna ili mfumo wa vyama vingi uwepo nchini 👇 -- Ukikutana naye mitaa ya Mwananyamala wilayani Kinondoni au pembezoni mwa Barabara ya Ali Hassan Mwinyi hutajihangaisha...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom