Juu ya meza iliyo kando ya kitanda utaona taa iliyotumia mafuta, bakuli na jagi la maji. Hivi vilikua ni vitu vya muhimu sana chumbani kwa mstaarabu.
Taa ya mafuta ilipunguza ajali za moto...
WATOTO WA KAZI KAZINI: DONDOO KATIKA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Karibuni mtaona video fupi fupi zikieleza historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
Fuatililia.
JENERALI ULIMWENGU KATIKA KUMWELEZA MAALIM SEIF
Konganano la Maalim Seif lilihudhuriwa na watu wengi ambao wanamchango mkubwa katika maendeleo ya fikra Tanzania.
Kuanzia wasomi maarufu kama...
Kutoka kushoto: Milton Obote(Uganda), Julius Kambarage Nyerere(Tanzania) na Jomo Kenyatta(Kenya) Tarehe 6 Juni,1967 huko Kampala, Uganda, viongozi hawa wa Uganda, Tanzania na Kenya walitia saini...
Huu ulikuwa ulimwengu wa Zamani Zamani. Wakati ulimwengu ulikuwa mchanga sana. Milima ilisimama ambapo sasa kuna bahari, na vituo vya kupendeza vya baharini sasa ni vilele vya milima. Hali ya...
Eduardo dos Santos: Rais Aliyeyafisidi Mapinduzi ya Angola
Ni nini Afrika kama bara inaweza kufanya kuiepusha na viongozi wa aina ya kina Dos Santos? Jibu linaweza kuwa gumu kuliko swali.
Mnamo...
Bilauri ya Mfalme Jehangir wa Mughal India. Inasadikika sumu ikiwekwa katika emerald ina react, hivyo Wafalme wa zamani walitumia vyombo vya emerald kama sehemu ya kujilinda. Vyombo hivyo...
TABORA HOTEL MAHALI ALIPOHOJIWA SHEIKH BILAL REHANI WAIKELA BAADA YA "MGOGORO" WA EAMWS 1969
''Kilichobakia baada ya kuvunjika kwa EAMWS ilikuwa ni kujaribu kuiweka BAKWATA katika mikoa kama...
Julia Gardiner Tyler, the second wife of John Tyler and First Lady of the United States from 1844 to 1845, was certainly no shrinking violet.
In fact, this strong-willed, opinionated woman played...
TUJIFUNZE YA CLEOPATRA, MALIKIA WA KEMET/EGYPT/MISIRI ANAYESADIKIKA KUWA MWANAMKE MZURI KATIKA HISTORIA YA DUNIA
Na Comred Mbwana Allyamtu .
Wednesday-11/10/2017.
Malkia Cleopatra ni maarufu...
[emoji117]Pichani anaitwa Martin Pistorious jina lake maarufu ni Ghost boy raia wa Africa kusini anaishi katika mji wa johanesburg.
[emoji116]Mnamo mwaka 1988 Martin ali ugua kwa ugonjwa wa T.B...
RISALA YA EAMWS KWA RAIS NYERERE ILOYOSOMWA NA BILAL REHANI WAIKELA UKUMBI WA SHULE YA WASICHANA YA AGA KHAN 1963
''Siku kabla ya mkutano wa EAMWS mwaka wa 1963, Nyerere aliwaalika wajumbe wa...
JAMII FORUMS NA MAKALA ZA MOHAMED SAID:UKIPENDA KUSOMA HISTORIA YA TANGANYIKA/TANZANIA
''HISTORIA YA UHURU ISIMULIWAVYO NA MOHAMMED SAID YAKOSOLEWA''
Mjadala huo hapo juu katika Jamii Forums...
HOFU HII INASABABISHWA NA NINI KWANINI HAIKUWAPO WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA?
KUSUPA HAPENDEZEWI NA KUSEMA KUWA CHIEF MKWAWA ALIKUWA MUISLAM ANASEMA:
‘’MOHAMED SAID USICHEZE NA...
Anaitwa Abdulrahman Amiri Shimbo.
Alikuwa katika kikosi cha JWTZ kilichotumwa Seychelles kufundisha Jeshi la visiwa hivyo.
Major Abdulrahman Shimbo alikwenda Seychelles mwaka 1978 kuwa katika...
Hii picha ilipigwa mwaka 1970 nchini Buligaria katika mji wa Varna. Ma archeologists walichimba kaburi hili linalosadikiwa kuwa ni la miaka 500BC. Ubora wa dhahabu waliyoikuta wanasema haujawahi...
UKIPENDA KUSOMA HISTORIA YA TANZANIA
Shk Mohammed Said...mimi hupenda (na nafaidika mno) na mazungumzo/maelezo ya historia ya Tanganyika..nina suali dogo tu...
Jee haya majadiliano na mahojiano...
Miaka hiyo umeme ulikuwa ni kwa wachache wenye uwezo na maji kulikuwa na visima vya mdundiko katikati ya miji.
Wakati wa baridi kulikuwa na gogo la moto linalotoa joto. Bill ya kulipa ilikua ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.