'Baba' yake na Obama ni kwamba alikuwa ni mmoja wa watu kadhaa waliotumiwa na CIA kwa ajili ya kusimamia mpango ambao utazuia siasa za ukomunisti kutoka China na Muungano wa Sovieti usiingie Kenya...
Mwaka 1951 mgogoro wa ardhi ya Wameru ulipoanza tawi la TAA mjini Tabora lilikabili changamoto hiyo kupitia juhudi binafsi za Saadan Abdu Kandoro.
Kandoro aliitisha mkutano wa matawi ya TAA ya...
SAKATA LA BARAKA SHAMTE: HATARI YA KUSEMA YASIYOTAKIWA KUSEMWA
Katika kila jamii kunakuwa na ''mwiko,'' yaani kitu kisichotakiwa kufanywa na kwa kawaida huwa watoto wanafunzwa toka udogoni...
INGEKUWAJE KAMA MANDELA ASINGEANDIKA TAWASIFU YAKE "LONG WALK TO FREEDOM?
Mimi ni mpenzi mkubwa wa vitabu vya tawasifu na wasifu hasa za watu maarufu awe mwanasiasa kama Nelson Mandeala au...
Wadau wa jf, nimeambatanisha picha husika
Rahel ni Binti wa Laban Betuel
Ni Mke wa Yakobo aliyeitwa baadaye Israel
Ni Mama was Yusuph na Benjamin
Ni eneo maalumu la kumbukizi kwa Wayahudi Hadi sasa.
"THE SAND PEBBLES": MCHINA KULI DHALILI ALIDHANI MMAREKA NI MBABE NI SIMBA KUMBE PANYA
''The Sand Pebbles,'' ni senema kati ya senema ninazozipenda hadi leo kwani ndani yake alikuwa Steve McQueen...
UHURU WA KUZUNGUMZA WA WENZETU
Filamu, ''JFK'' iliyotengenezwa na kuogozwa na Oliver Stone ilinikuta niko mji mmoja mdogo Uingereza.
Mwaka ni 1991.
Huyu Oliver Stone ni Mmarekani na sifa yake...
Miaka ya nyuma inasemekana lakini Kama NI kweli bwana mmoja alienda msumbiji kutafuta utajiri Sasa akaambiwa na mganga aende porini na mpwa wake wakapake madawa fulani na mambo mengine ila...
BARAKA SHAMTE...
Lugha ya Kiingereza inakuwa kila siku kwa kuja na maneno ambayo mimi sikupata kuyajua hapa zamani.
Siku hizi kuna neno ''trend.'' ambalo nadhani lina maana, ''lililopo sasa.''...
Wametumia American measures wanasema shela yake ilikua ya urefu wa yadi 50. Mkononi bibi harusi alivaa bracelet ya almasi iliyokuwa zawadi kutoka kwa John Kennedy
Ni wakati muafaka wa historia ya nchi yetu ikafanyiwa marejeo. Ukiwa na haraka unaweza kudhani watu wa mikoani hawakutoa mchango kwenye Uhuru, Nyerere, Rupia na baadhi ya wadau wa mikoani wakiwa...
Mapigano ya Tanga, ambayo wakati mwingine pia hujulikana kama Mapigano ya Nyuki kikosi "B", yalikuwa ni shambulio lisilofanikiwa la Jeshi la Uingereza chini ya Meja Jenerali A. E. Aitken...
Ramani ya Kijerumani ionyeshayo Zanzibar na pwani (mnamo Mwaka1888)
Sarafu ya rupia 1 iliyotolewa kwa jina la "Deutsch-Ostafrikanische Gesellschaft" (Kampuni ya Kijerumani ya Afrika ya...
Adolf Hitler (Braunau, Austria, 20 Aprili 1889; Berlin, Ujerumani, 30 Aprili 1945) alikuwa dikteta wa Ujerumani kuanzia mwaka 1933 hadi kifo chake.
Adolf Hitler akiwa mtoto mchanga
Alizaliwa...
Eti wandugu. Mfumo wa kichifu ulikuwa wa kinyonyaji au wa haki? Mgawanyo wa mali. Utoaji wa haki. Kodi, huduma za kijamii nk vilikuwaje? Ulifanana na mfumo wa kijamaa au wa kibepari?
SI ZAIDI KATIKA HISTORIA YA MUUNGANO BALI NI KATIKA WIMBO HUU WA WESTERN JAZZ BAND 1964
Ilikuwa nawasha gari langu usiku nikaliegeshe kwa walinzi mtaa wa pili.
Gari limewaka na radio inasema...
Wasafwa ni kabila toka jamii ya wabantu wanaozungumza lugha yenye uhusiano wa moja kwa moja na kibantu yaani lugha ya kisafwa.
Kwanza tuangalie nini au chanzo cha neno Safwa.
Neno safwa...
Tumainiel Kiwelu ni mmoja wa viongozi watakaokumbukwa daima katika Mkoa wa Rukwa, hasa mjini Sumbawanga. Ndiyo, Jenerali Kiwelu. Hakika ameacha alama zisizofutika.
Ninashindwa nianzie wapi katika...
Wakuu,
Kama filamu ya Royal tour itakuwa na part two basi haya maeneo yatakuwa ni mazuri mno kuunganishwa Kwa filamu hiyo. Itasaidia sana kuongeza utalii Na kuinua uchumi wa eneo la bagamoyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.