Imekuwa kawaida sana siku hizi vijana katika media kunipigia simu na kuniombawanifanyie mahojiano kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.
Siku moja kijana Masekepa Asangama alinipigia simu na...
Gen.Tito Okello Lutwa alizaliwa katika kijiji cha Nam Okora wilaya ya Kitgum wakati wa vita vya kwanza vya Dunia mwaka 1914,Kuhusu elimu yake mengi hayajulikani mengi hata hivyo alijiunga na Kings...
HOFU HII INAYOPELEKEA KUFUTA HISTORIA YA KWELI NINI SABABU YAKE?
KITENDAWILI: KUNA HISTORIA YA TANU ILIYOASISIWA MISHENI YA TOSAMAGANGA NA KUNA HISTORIA YA TANU ILIYOASISIWA NA ABBAS MAX IRINGA...
25 June 2022
Former president of South Africa, Thabo Mbeki recalls an encounter with president Idi Amin of Uganda during the struggles against apartheid in South Africa.
He also recalls how...
ILIPOKUWA NYUMBA YA ABBAS MAX MUASISI WA TANU IRINGA
Hapa ni Iringa sehemu nayojulikana kama Makorongoni.
Mtaa huu ni Mtaa wa Pangani.
Hapa ndipo ilipokuwa nyumba ya Abbas Max (1918 - 1993)...
KUKU "MAKANGE RECIPE" (MAKANGE CHICKEN) IRINGA
Wakati ni wa chakula cha mchana na niko katika mgahawa mmoja katikati ya mji wa Iringa jina lake Coffee Shop.
Mwanangu anatoa "order," anaomba kuku...
NYUMBA YA SHEIKH HUSSEIN JUMA VICE PRESIDENT WA UNITED TANGANYIKA PARTY (UTP)
Rafiki yangu mmoja kaniletea maelezo hayo hapo chini kuhusu picha ya Mtaa wa Mafia na Nyamwezi:
''BRO, HIYO NYUMBA...
ALLY SYKES KATUNUKIWA BARABARA
Rafiki yangu mmoja hapa FB kaniletea ujumbe jana usiku akinifahamisha kuwa kaona kibao cha Ally Sykes alichotunikiwa katika barabara mojawapo jijini Dar es Salaam...
RUAHA MTO ULIOLIPIZA KISASI CHA KIFO CHA MTWA MKWAWA 1898
Katika askari mamluki walitoka Mozambique kuja German Ostafrika kuja kupigana katika jeshi la Wajerumani dhidi ya Mtwa Mkwawa na Abushiri...
Na:Abdull Najad Faiq
Tunapoizungumzia nchi ya England kijografia ni taifa la kisiwa lililozungukwa na bahari pamoja na mito mingi ama sehem kubwa ila mbali na aina hii yake ya geographia haikua...
Wazito wa JF nawasalimia,
Carlos The Jackal, kwa jina la kuzaliwa anaitwa Ilich Ramirez Sanchez,alizaliwa mwaka 1949 huko Venezuela.
Carlos alizaliwa katika familia inayojiweza kiuchumi,ambapo...
MTAA WA MAFIA NA NYAMWEZI ZAMANI
Hii picha ya kwanza ni Mtaa wa Mafia na Nyamwezi na mbele ni Barabara ya Msimbazi.
Nyuma ni Mtaa wa Nyamwezi.
Nyumba ya Mzee Mussa Pazi iko mkono wa kulia...
Kwa wale wahenga na wajuvi wa hizi mambo huyu mwamba aliyeitawala Zaire kwa mkono wa chuma alipitishia bandari gani zana zake za kijeshi?
Nakumbuka huyu mwamba zilikuwa haziivi kabisa na mzee...
OFISI YA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA 1930s/SASA OFISI YA BAKWATA SHEIKH WA WILAYA NDANI YA OFISI YA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA
Picha hiyo ya kwanza ingawa imepigwa miaka ya 1930s...
JENGO LA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA (UMOJA WA WAISLAM WA TANGANYIKA)
Historia ya Al Jamiatul Islamiyya Fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) ni historia ya pekee sana.
Jana...
Kitabu cha Khamis Abdulla Ameir kimezinduliwa leo asubuhi.
Hapo chini ni sehemu ya kwanza ya pitio la kitabu hicho:
PITIO LA KITABU CHA KHAMIS ABDULLA AMEIR: ‘’MAISHA YANGU MIAKA MINANE NDANI...
PITIO LA KITABU CHA KHAMIS ABDULLA AMEIR: ‘’MAISHA YANGU MIAKA MINANE NDANI YA BARAZA LA MAPINDUZI KHAINI AU MHANGA WA MAPINDUZI?’’
SEHEMU YA TATU NA YA MWISHO
Kila msomaji atachokisoma katika...
Mwaka huu wa 2022 unatuingiza mwaka wa 61 toka Tanganyika tupate Uhuru.
Kwanza na "declare interest", binafsi nimezaliwa Tanganyika, kwa maana nimezaliwa kabla ya Uhuru na kabla ya muungano...
Filamu, ''JFK'' iliyotengenezwa na kuogozwa na Oliver Stone ilinikuta niko mji mmoja mdogo Uingereza.
Mwaka ni 1991.
Huyu Oliver Stone ni Mmarekani na sifa yake yeye ni kule kutengeneza senema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.