Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

KUMBUKUMBU: TEWA SAID TEWA (1924 - 1998) Tewa Said Tewa ni mtoto wa Dar es Salaam. Mimi nimekuwa nikimuona toka utoto wangu na kumbukumbu zangu za awali kabisa za Tewa Said Tewa ni kumuona Mtaa...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Mohamed Bouazizi, kijana mdogo, moambanaji alieamua kujichoma moto mbele ya ofisi za serikali baada ya kufanyiwa dhuluma kwa kutaifishiwa kibanda chake cha mbogamboga na polisi na kutukanwa...
0 Reactions
3 Replies
941 Views
DOME OKOCHI BUDOHI MZALENDO KUTOKA KENYA ALIYEPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Naamini umeona hiyo video ya ufunguzi wa kumbi 12 zinazohifadhi historia ya Wakenya katika kupigania uhuru wa nchi yao...
1 Reactions
1 Replies
628 Views
JULIUS KAMBARAGE NYERERE ALIPOKUWA MWALIMU WA SHULE 1953 Ilikuwa wakati huu kwa mara ya pili Abdul Sykes alimshauri Nyerere kujiuzulu kufundisha ili ashughulike na kazi za TAA. Wazo hili...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
SHEIKH SHABAN RASHID MSUYA MWANAFUNZI WA SHEIKH HASSAN BIN AMEIR 1950s "Nakumbuka safari ya kwanza ya Mwalimu Nyerere UNO mwaka wa 1955, Sheikh Hassan bin Ameir alinichukua mimi na wenzangu...
2 Reactions
0 Replies
863 Views
Milton Obote, Mzee Jomo Kenyatta na Mwalimu Julius Nyerere, Mwenyezi Mungu awapae pumziko lenye Kheri Kabla ya Uhuru nchi zao zote zolikua chini ya Jumuia ya Madola, na shughuli nyingi /...
3 Reactions
15 Replies
641 Views
TANZANIA INAYO ORODHA YA MASHUJAA WAKE? Ili Tanzania iweze kuwaenzi mashujaa wake inabidi kwanza kabla ya yote inahitajika iandike historia yake upya. Kutokana na historia hii ndipo itaweza...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ilikua mwaka 1958 Mfalme Hussein wa Jordan aliomba msaada wa kijeshi kutoka Iraq ili kukabiliana na mgogoro wa Lebanon. Mkuu wa majeshi wa Iraq, Colonel Abd al-Karim Qasim aliandaa jeshi. Cha...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
MASHUJAA WA TANU WATANO DODOMA MWAKA WA 1955: TUNAWAKUMBUKA SIKU YA MASHUJAA DODOMA 2022 Siku chache zilizopita nilipokea picha hiyo hapo chini ya kwanza kutoka Maktaba ya Ally Sykes. Picha hii...
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Huwezi kuzungumza siasa za Pemba bila kumtaja Masoud Abdulla Salim, mwamba katika uwanja huo kwa miaka kadhaa na mwanasiasa jabari na nguli. Aliingia kwenye siasa mara baada ya mfumo wa vyama...
1 Reactions
0 Replies
453 Views
Vita vya Uganda-Tanzania, vinavyojulikana nchini Tanzania kama Vita vya Kagera na nchini Uganda kama vita vya Ukombozi vilihusisha Uganda na Tanzania kati ya Oktoba 1978 hadi Juni 1979. Matokeo...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Sababu kubwa ni kuwa magari hayakua na heating system. Ukisikia baridi ndani ya gari ukiweza kutengeneza kikombe cha kahawa ili kuongeza joto la mwili. Hii technology ilikufa walipoweza kuweka...
5 Reactions
0 Replies
600 Views
Nyerere akiwa ziarani Netherlands in 1985 Nyerere akiwa na Onno Ruding, Waziri wa Fedha wa Uholanzi, 1985 Nyerere akiwa na Rais wa Marekani Jimmy Carter na Mke wa Rais Rosalynn Carter katika...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
''Peter Colmore signed Edouard Masengo the gifted guitarist from Elizabethville, Belgian Congo to promote Coca-Cola. Masengo had come to Nairobi with a group called Je-Co-Ke meaning, Jean...
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Katika picha hiyo hapo chini aliye hai kadri ya ufahamu wangu ni Mrs. Frank Humplink. Katika watu hawa saba mimi nimebahatika kukutana na wanne: Mrs. Humplink nimekuwa nikienda nyumbani kwake...
1 Reactions
1 Replies
998 Views
Picha hiyo hapo chini inatoka kwenye Maktaba ya marehemu Ally Sykes. Mimi picha hii nilikuwanayo lakini ilikuwa nakala iliyochoka kupita kiasi na ni hiyo iliyo hapo chini. Kulia ni Haruna Iddi...
1 Reactions
0 Replies
558 Views
Leo nimepokea picha kutoka Maktaba ya Picha ya Ally Sykes. Nimeona niiweke picha hiyo hapa pamoja na ukurasa mmoja kutoka mswada ambao mimi na marehemu mzee wangu tuliukamilisha wakati akiwa hai...
2 Reactions
2 Replies
823 Views
"The stong man in the world is the one with the best information" Hii ni kauli ya waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Benjamin Disarel ambaye aliwahi kutawala kipindi nchi hiyo wakati wa vuguvugu...
21 Reactions
308 Replies
80K Views
Waswahili tuna msemo, ''Fumbo mfumbie mjinga mwerevu atatambua.'' Mimi nimelitambua fumbo na wapi limeelekezwa. Tatizo ni historia ya uhuru wa Tanganyika. Msemaji kaandika anasema: UONGO...
2 Reactions
0 Replies
772 Views
GEREZANI DAY 2022: GEREZANI IMEBADILI MAJINA YA MITAA KUWAENZI WAZEE WAO WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Leo WanaGerezani wameadhimisha siku yao ya familia kwa kuwarehemu masheikh, wazee wao na...
5 Reactions
7 Replies
880 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…