Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu Wa Za Banga alikuwa kiongozi wa kijeshi dikteta huko Zaire. Mke wake wa kwanza Marie-Antoinette Mobutu, alifariki kwa ugonjwa wa moyo mwaka 22 October 1977...
NUR YA MASJID BADAWY HAIJAACHA KUNG'ARA NA KUANGAZA
Masjid Badawy ilifikia kilele cha mafanikio yake makubwa kabisa katika miaka ya 1960.
Vuta hisia zako ni Mfungo Sita katika miaka ya 1950...
MAZUNGUMZO YA BURIANI OCTOBER 1968
Hapo chini Aisha ''Daisy'' Sykes anaeleza mazungumzo ya buriani, mazungumzo ya kuagana kati ya baba yake Abdulwahid Kleist Sykes na Julius Kambarage Nyerere...
PETER COLMORE MZUNGU MSWAHILI WA KENYA NA TANGANYIKA
Nilipomaliza kuandika kitabu cha Abdul Sykes nikamwambia Bwana Ally tukae kitako anihadithie maisha yake tuandike kitabu.
Ally Sykes...
-Wilaya yenye wachapakazi wazuri.
-Wilaya ya kwanza kwa shule nyingi za sekondari. Kata inashule zaidi ya 1
-Wafanya biashara wakubwa nchini. Mf. Air Precision, rombo grean view,
- Barabara ya...
Makala yangu ya Mfungo wa Ramadhani inaelekea imependwa na wengi.
Jamaa wamenifata pembeni kutaka kunijua zaidi.
Jambo hili limenifanya nifikirie makala nyingine yenye mwelekeo huo huo...
MALKIA ELIZABETH NA VIONGOZI WA TAA 1953
Picha hiyo hapo chini ya Mwalimu Nyerere na Malkia Elizabeth imenirudisha nyuma sana hadi mwaka wa 1953.
Nimeitazama hiyo picha ya viongozi awa wawili...
WANAFUNZI WA MASJID BADAWY UKUBWANI
Tukisema tuandike historia za waliosoma Masjid Badawy kama wanafunzi itabidi tuandike kitabu kizima.
Muhimu ni kuwa wengi wa wanafunzi hawa walikuja kutoa...
MZEE MATIMBWA KIONGOZI WA KWAYA YA TANU 1954 ANAKUMBUSHA NYIMBO ZA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA CHAMA
Mzee Rajab MATIMBWA ni kati ya wanachama wa mwanzo kujiunga na TANU mwaka wa 1954...
An elongated head was an ideal of beauty among the Mangbetu people, 1930
The Mangbetu stood out to European explorers because of their elongated heads.
The Mangbetu people had a distinctive look...
Leo tujikumbushe tu majanga makubwa zaidi ya mafuriko katika historia duniani, ukiacha simulizi la gharika la Nuhu kwenye vitabu vitakatifu kabla ya kuzaliwa Kristo. China ilionekana kuongoza kwa...
Mkoa wa Mara unapatikana Kaskazini mashariki mwa nchi ya Tanzania. Kwa mujibu wa tovuti ya mkoa, kiutawala Mkoa umegawanyika katika Wilaya 6 ambazo ni; Musoma, Butiama, Bunda, Serengeti, Tarime na...
Hawa ndio waliochanganya udongo siku ya.muungano 1964 nao ni Bi. Khadija Abasi Rashid, Bw. Elisaeli Mrema, Bw. Hassan Omari Mzee na Bi. Sifael Mushi au mama Shuma kwa jina lingine
MGOGORO WA MACHAME NA KIBOSHO
Kwanza nipende kuwaarifu kuwa hapo Mwanzo kabla ya utawala wa Sina hapakuwepo na uhasama kati ya Mashami na Kiwoso. Watu walikuwa wanashirikiana na kuoana toka...
MSHUME KIYATE KATIKA KURASA DARASA TBC1
Katika mahojiano yangu na mtangazaji Maureen Minanago wa TBC1 mtayarishaji wa kipindi Kurasa Darasa tukizungumza kuhusu utunzaji wa kumbukumbu...
Yakubu Gowon
Nigeria : 1966 - 1975
Total kills : 1.1 Million
Mengistu Haile Mariam
Ethiopia : 1974 - 1991
Total kills : 1.5 million
Kim II Sung
North Korea : 1948 - 1994
Total killing : 1.6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.