Wengi ukiongolea Utumwa wanafikiri ni wale tu waliosafirishwa kwa meli mpaka Amerika, wanasahau kwamba Biashara ya utumwa ilifanyika hapa hapa pia, mfano wengi wanaojiita Wazanzibari leo hii...
Mnamo mwaka 1696 hadi 1698 utawala wa Unguja unatajwa kuwa uligawanyika ambapo aliyekuwa mtawala wa Zanzibar Kaskazini alikuwa ni Malkia Fatuma binti Yusuf al-Alawi.
Fatuma alikuwa mtoto wa...
MAZIKO YA KAKA YETU NUSURA FARAJ
Kama ingekuwa hakuna mvua labda umati uliojitokeza Makaburi ya Kisutu kumzika kaka yetu Nusura Faraj ungekuwa mara mbili ya watu waliofurika hapo Kisutu.
Miezi...
Nyerere alicheza Msondo, wewe nani usicheze?
Miaka 56 iliyopita, nazungumzia mwaka 1964, bendi mbili kubwa za Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, zilipiga dansi maalumu la kuchangia chama cha...
Saparmurat Niyazov
Kuanzia mwaka 1985-2005 Turkmenistan ilikuwa chini ya dikteta Saparmurat Niyazov. Alifanya maajabu haya.
- Alijenga sanamu yake kubwa sana. Sanamu hiyo ilikuwa inazunguka ili...
MTAA WA SHEIKH YUSUF BADI LINDI
Sheikh Yusuf Badi hakupenda kupigwa picha na hadi leo sijapata picha yake.
Sheikh Mohamed Yusuf Badi ni sheikh pekee katika masheikh waliopigania uhuru wa...
Je Wajua?
KABILA LA WAKURYA
Abakuria (au Wakurya) ni kabila la watu wanaoishi katika wilaya za Rorya, Tarime na Serengeti kwenye mkoa wa Mara, kaskazini mwa Tanzania, na katika wilaya za...
LUTHERAN PRIMARY SCHOOL MOSHI KAMA ILIVYOKUWA 1950s NA SASA
Nilianza darasa la kwanza mwaka wa 1958 kwenye jengo hilo hapo chini lililokuwa ni Kanisa la Kilutheri.
Baada ya miaka mingi nilifika...
Dkt, John Joseph Pombe Magufuli ni mwalimu na mtalaamu wa kemia akiwa na Shahada ya Uzamivu (PhD).
Kuzaliwa
Alizaliwa Oktoba 29 mwaka 1959 huko Katoma tarafa ya Bugando wilayani Geita jimbo la...
Miaka ya nyuma tuliona maandalizi ya hii siku kuanzia kwenye vyombo vya habari na hata viongozi wetu walikuwa wakilitaja hili jina kuanzia April mosi hadi siku kama ya leo kilele. Lakiini sasa...
Mwalimu Nyerere anabaki kuwa ALAMA ya baraka tele kwa taifa letu adhimu.
Komredi Manyerere Jackton anasema kuwa kila ukikutana na kuongea na Mwalimu Nyerere ulikuwa unaihisi nguvu ya ajabu na ya...
Ninawi ni mji mkongwe na uliokuwa maarufu zaidi miaka ya Yona, mji huu unapatikana katika nchi ya Syria karibu kabisa na mji unaoitwa Mosul uliopo Iraq.
Ninawi ulikuwa mji muhimu sana kwa sababu...
Kushoto ni Brian Wills kutoka Conservative Party ya Uingereza akisimamia uchaguzi wa UTP huyo pembeni yake ni Sheikh Hussein Juma aliyekuwa Makamu wa Rais wa UTP.
TANZANIA KUADHIMISHA MIAKA 100 YA MWALIMU NYERERE
WIZARA ya Maliasili na Utalii kwa kushirikiana na wadau imeandaa na kuzindua programu ya Maadhimisho ya miaka 100 ya kuzaliwa Baba wa Taifa...
Wanabodi,
Huu ni utambulisho wa kipindi maalum cha Kumbukumbu ya Kifo cha Hayati Abedi Amani Karume, uliofanywa na Mtangazaji Festos Makerubi wa TBC-1 akiwa mjini Zanzibar.
Kuna makosa ambayo...
Mganda kiongozi wa kikosi cha Mapinduzi ya Zanzibar. Wakati anampindua Mwarabu, Hayati Karume alikuwa Tanganyika amejificha. Okello aliongoza mapinduzi na akatangaza baraza la mapinduzi kisha...