SAL DAVIS 1963
One day Tom Mboya rang me and asked me to go and see him.
Tom Mboya came to England in 1957 to study at Ruskin College, Oxford the same year I came to England. Tom Mboya was...
Jina lake halisi ni Thomas Fuller, Mwafrika aliyezaliwa huko Benin mwaka 1710 na kuuzwa utumwani huko Alexandria,Virginia USA mwaka 1724 akiwa na mika 14.
Alipewa jina la "Virginia Calculator"...
MAZIKO YA BI SAFIA BINT JUMA MAKASARA MAMA YAKE BALOZI DR. RAMADHANI KITWANA DAU YAMEVUNJA REKODI YA MAZIKO YOTE
Mji wa Dar es Salaam una historia ndefu ya mazishi makubwa yaliyopata kutokea...
Mara baada ya Mtemi Mirambo kuvamia Wanyaturu na Wakimbu, mtemi Mirambo aliamua kuwavamia Wafipa. Historia inasema kuwa, kulikuwa na baadhi ya wafanyabishara kutoka katika ardhi ya Ufipa...
Misri ni maarufu kwa piramidi zake kubwa, miili iliyozikwa ndani yake na hazina zake za dhahabu. Lakini ni kiasi gani tunajua kuhusu Misri ya kale? Je, Piramidi Kuu ilijengwa na watumwa? Maiti...
Tom Mboya
Tom Mboya aliuawa tarehe July 5 1969
Mimi nilikuwa darasa la sita hapa Dar es salaam na siku hiyo kupitia vyombo vya habari, tukapata habari za kusikitisha Afrika Mashariki kuwa...
Historia inaonesha kuwa uwanja wa ndege wa kwanza wa jiji la Dar es Salaam uliojengwa wakati wa ukoloni ulikuwa pembezoni ya bahari kati ya eneo la Feri na ufuo karibu na Kanisa Kuu la Mtakatifu...
KUMBUKUMBU YA KESI YA SHEIKH PONDA MOROGORO 2015
''Allah ni Mjuzi Allah na ni Mbora wa kulipa.
Sheikh Ponda utayakuta malipo yako kwa Allah yakiwa makubwa kwa subra na ustahamilivu kwa ajili ya...
HATUA ZANGU CHACHE PEMBENI YA ABDILATIF ABDALLA, UINGEREZA, UJERUMANI NA KENYA
Utangulizi
Hii makala niliandika mwaka jana tarehe kama ya leo.
Naona kuna machache ningependa wasomaji wangu...
KUMBUKUMBU ZA UHURU: ABBAS MAX WA IRINGA (1918 - 1993)
Abbas Max ana historia ya kusisimua sana kama ilivyo kwa wazalendo wengi waliopigania uhuru wa Tanganyika lakini kwa bahati mbaya historia...
ZUHRA YUNUS, BBC, NA MAGOMENI MAPIPA
Ilikuwa Zuhra Yunus anaondoka BBC sasa ishakuwa Zuhra kaondoka.
Labda nianze kwa kusema kuwa nina ''sentiments,'' mapenzi na BBC Idhaa ya Kiswahili toka...
Na: Peter Mwaihola
Vijana Ni nguzo ya Taifa hivyo Taifa lolote halina budi kua na vijana wenye weledi wa Mambo pamoja na Utashi katika kufanya Mambo Jambo ambalo linaweza kuwapa historia kubwa...
Walter Elias Disney
Alizaliwa Chicago 1901, Disney alianza mapema sana kuvutiwa na maswala ya uchoraji. Aliingia kwenye madarasa ya sanaa ya michoro waksti wa utoto wake na alipotimiza miaka 18...
KARAGOSI KALEWA TEMBO
Naona kama jana vile.
Hata shule ya msingi bado.
Eid imefika na watoto wa mtaa mzima mchana baada ya kupiga pilau tunavishwa nguo zetu tayari kwa safari ya Mnazi Mmoja...