Jukwaa la Historia

JF Prefixes:

SUNDERLAND FOOTBALL CLUB 1960s Picha hizi nikiziangalia leo zinanikumbusha udogo wangu nikienda Ilala Stadium kuangalia mpira. Wengi katika wachezaji hawa wametangulia mbele ya haki na baadhi...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
BILAL REHANI WAIKELA NA HISTORIA YA TANU WESTERN PROVINCE 1955 ‘’Juhudi za kuihuisha TANU zilikuja mwaka 1955 mwaka mmoja baadae kupitia Young New Strong Football Club - kilabu ya kandanda...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
MZEE BILAL REHANI WAIKELA AMELAZWA MOI GOROFA YA 2 CHUMBA NO 2 KITANDA NO. 5 Ndugu zangu leo asubuhi nimejaaliwa kwenda MOI kumjulia hali Mzee Waikela. Nimemkuta macho na namshukuru Allah kwa...
6 Reactions
8 Replies
3K Views
Kuna chembechembe ya damu zinazokonekti kwa Wana wa Israeli na Kabila la Wachaga ambalo linapatikana Mkoa wa Kilimanjaro, Kaskazini mwa Tanzania. Yapo madai kwamba, Wachaga asili yao ni Wafalasha...
14 Reactions
63 Replies
14K Views
Wakuu leo nimemkumbuka RPC wa Dar es Salaam miaka hiyo huyu mzee alikuwa machachari sana, akikamata silaha utafurahi anavyowasilisha. Dah! Anaitwa nani kwa anayemkumbuka?
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Muasisi wa TANU Western Province Mzee Bilal Rehani Waikela yumo katika gazeti la Uhuru la leo.
2 Reactions
9 Replies
1K Views
CHAGGA DAY TUIKUMBUKE SIKU HII KWA KUREJEA KATIKA MAISHA YA RAJABU IBRAHIM KIRAMA NA BABA YAKE MURO MBOYO KATIKA MIAKA YA 1800 Chagga Day ni siku iliyokuwa ikiadhimishwa kila mwaka ifikapo...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
I have before looked into ancient history of Tanzania and Arabic history of Tanzania, but I am very curious to what I can find out from people who are more adept in the subject. Does anyone know...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hotuba ya Martin Luther King ya "I have a dream", akitaka usawa kati ya jamii zote nchini Marekani, ni mojawapo ya hotuba za kutia moyo, zenye ushawishi na maarufu nyakati za kisasa. Lakini leo...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Unaposoma Bayographia ya Mwalimu iliyotayarishwa na wanazuoni watatu ukurasa wa 125 hadi 126 kuna simulizi fupi ifuatayo Mwanzoni mwa miaka ya 80 kulikuwa na tatizo la baadhi ya wamiliki wa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
MACHACHE KUHUSU BABU YANGU SALUM ABDALLAH Hiyo picha ya Loco Shed Tabora hapo chini ndipo akifanya kazi babu yangu Salum Abdallah maarufu Baba Popo kuanzia 1947 had 1964. Alihamia Tabora kutoka...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Majina mengi ya wangoni yanafanana na majina ya wanyama. Kwa mfano; Mapunda ni jina lenye "punda" Komba ni jina lenye "komba" Ngonyani ni jina lenye "nyani" Mapunda ni jina lenye "punda" Kuna...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Eleanor Lowthian Clay on her wedding day to Edsel Bryant Ford, son of Henry Ford. 1916.
11 Reactions
124 Replies
6K Views
Pichani ni aliyekuwa mshauri mkuu wa rais wa Zaire kwa sasa DRC MOBUTU SESESEKO. Wakati wa Utawala wa Mobutu huyu mzee alikuwa mtu wake wa karibu sana na alikuwa na kazi ya kumpa ushauri ambapo...
27 Reactions
78 Replies
13K Views
MOHAMED SHOMVI MLIMANI TV NA MOHAMED SAID: SIKUKUU ZA KUMBUKUMBU Leo asubuhi nilialikwa Mlimani TV kwa ajili ya mazungumzo kuhusu sikukuu za kumbukumbu na maadhimisho ya kitaifa. Mtangazaji...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Historia ya mapinduzi si historia nyepesi:
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Wazee wa Dar es Salaam katika Baraza la Wazee wa TANU na Mwalimu Julius Nyerere katika Uchaguzi Mkuu wa 1962. Masikitiko ni kuwa mashujaa hawa hadi leo nchi haijawatambua isipokuwa Nyerere peke...
4 Reactions
71 Replies
9K Views
Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Radio Tanzania Dar es salaam au kwa kifupi RTD kati ya miaka ya 70, 80 na 90 waliovuma katika Idhaa zake za Kiswahili na Kiingereza. Wakati huo radio...
5 Reactions
30 Replies
12K Views
Back
Top Bottom