The Victorian age was a period of development and prosperity. Under Victoria’s sovereignty, London became one of the wealthiest and most successful cities in the entire world. As the population of...
Kanali Ali Mahfoudh ni Mmoja wa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, JWTZ waliotajika sana kwa Miaka hii 50 ya Jeshi letu hili, viza Ushupavu, Ushujaa na Umahiri wake Vitani zikielezewa kwa...
Kuna hadithi tatu zinazozunguka juu ya kile kilichotokea kwa majivu ya Tupac, kama hautambui ni kwamba, Baada ya kifo cha Tupac alichomwa moto ikiwa kama destruri ya watu wengi. kupenda kufanyiwa...
Miaka kadhaa iliyopita nilisoma kitabu kimoja juu ya wafungwa wa kivita wakati wa WWII. Huyu jamaa alikuwa ni mmarekani aliyekuwa anaishi Ujerumani. Baada ya Warusi kuingia Berlin, wakambeba...
UZALENDO NA WAZALENDO KATIKA HISTORIA YA TANU: SAFINA YA MAARIFA IBN TV
Nimetembelewa na Mtangazaji wa IBN TV Hemed Lubumba kwa mahojiano kuhusu wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika...
FIKRA YA DOCUMENTARY: DAR ES SALAAM DOCKWORKERS' UNION (CHAMA CHA MAKULI WA DAR ES SALAAM) 1947
Leo nimetembelewa na mwandishi kijana Charles Michael kutoka Morogoro.
Charles ni muhitimu wa Chuo...
Je, Augustine Mahiga ndiye "Shahidi X" kwenye kesi maarufu ya uhaini ya mwaka 1983?
Yasemekana alikuwa na kumbukumbu mujarab zilizowezesha kuwasambaratisha washtakiwa.
Kitabu cha Kesi ya Uhaini...
JULIUS NYERERE, ZUBERI MTEMVU NA BI. MAIDA SPRINGER ZANZIBAR 1957
Nimekutana na Bi. Maida Springer katika nyaraka za Sykes miaka mingi iliyopita
Leo nimepokea makala kutoka watu mbalimbali zote...
Naangalia picha hiyo hapo chini ya Sheikh Ponda akiwa katika mkutano wa Vijana wa Kiislam uliofanyika Chuo Cha Biashara Dodoma (CBE) mwaka wa 1988 na naangalia video za Kampeni ya Uchaguzi 2020...
Pichani ni #Al-hajj Idi Amin Dada akiwa amebebwa na wazungu akizungushwa katika mitaa mbalimbli ya Jiji la kampala
nchini uganda. Hii picha inafichwa sana na wazungu kutokana na kitendo cha Iddi...
SOMALIA YAOKOA UGANDA NA TANZANIA KUTOKA KWENYE VITA
KWA UFUPI
Kukomesha mvutano. Kufuatia mvutano kati ya Uganda na Tanzania 1972, katibu mkuu wa OAU aliwasiliana na Kenya kupatanisha. Hata...
Chumvi ilikuwa na thamani kubwa sana katika utawala wa Warumi. Hakukua na umeme hivyo chumvi ilitumika kuhifadhia vyakula kama nyama na samaki. Kwa watu wa Pwani mnafahamu papa na ng’onda huu ni...
Juni 11, 2010, katika Uwanja wa FNB maarufu “Soccer City", kulikuwa na ufunguzi wa Kombe la Dunia. Siku hiyo, Desmond Mpilo Tutu, alikuwa kwenye kiwango bora cha furaha. Kwa Kiingereza unaweza...
Pembetatu ya Kionga ilikuwa eneo dogo la kilomita za mraba 395 kusini mwa Mto Rovuma kwenye Bahari ya Hindi, ambayo ilienea kaskazini mwa Rasi Delgado . Ndani ya eneo hilo kuna mji wa Kionga...
Ilikua ni Jan 25 mwaka 2009, ndege aina ya Airbus A320 mali ya Us Airways chini ya captain Chelsey Burnett (captain Sully) ikiwa na abiria 155 kwenye uwanja wa ndege wa laGuardia uliopo mji wa...
Sehemu ya kwanza.
Kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar,Tanzania ilikuwa ikujulikana kama Tanganyika.
Tanzania ni moja kati ya nchi kadhaa duniani zenye kuhifadhi wakimbizi na kundi kubwa...
BUKU LA BIUBWA AMOUR ZAHOR LIMEFUNUA CHANO HADHARANI
Jana Zanzibar kulikuwa na mambo matatu makubwa kwa aina yoyote ya kipimo.
Kulikuwa na kongamano la Maalim Seif Foundation, Maadhimisho ya...
Katika Kitabu cha Matendo ya mitume 13:6 tunasoma;
"Basi, Barnaba na Saulo walipokwisha tumwa na Roho Mtakatifu, walishuka hadi Seleukia, na kutoka huko walipanda meli hadi kisiwa cha Kupro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.