SUNDERLAND FOOTBALL CLUB 1960s
Picha hizi nikiziangalia leo zinanikumbusha udogo wangu nikienda Ilala Stadium kuangalia mpira.
Wengi katika wachezaji hawa wametangulia mbele ya haki na baadhi...
BILAL REHANI WAIKELA NA HISTORIA YA TANU WESTERN PROVINCE 1955
‘’Juhudi za kuihuisha TANU zilikuja mwaka 1955 mwaka mmoja baadae kupitia Young New Strong Football Club - kilabu ya kandanda...
MZEE BILAL REHANI WAIKELA AMELAZWA MOI GOROFA YA 2 CHUMBA NO 2 KITANDA NO. 5
Ndugu zangu leo asubuhi nimejaaliwa kwenda MOI kumjulia hali Mzee Waikela.
Nimemkuta macho na namshukuru Allah kwa...
Kuna chembechembe ya damu
zinazokonekti kwa Wana wa Israeli na Kabila la Wachaga ambalo linapatikana Mkoa wa Kilimanjaro, Kaskazini mwa Tanzania. Yapo madai kwamba, Wachaga asili yao ni Wafalasha...
Wakuu leo nimemkumbuka RPC wa Dar es Salaam miaka hiyo huyu mzee alikuwa machachari sana, akikamata silaha utafurahi anavyowasilisha. Dah!
Anaitwa nani kwa anayemkumbuka?
CHAGGA DAY
TUIKUMBUKE SIKU HII KWA KUREJEA KATIKA MAISHA YA RAJABU IBRAHIM KIRAMA NA BABA YAKE MURO MBOYO KATIKA MIAKA YA 1800
Chagga Day ni siku iliyokuwa ikiadhimishwa kila mwaka ifikapo...
I have before looked into ancient history of Tanzania and Arabic history of Tanzania, but I am very curious to what I can find out from people who are more adept in the subject.
Does anyone know...
Hotuba ya Martin Luther King ya "I have a dream", akitaka usawa kati ya jamii zote nchini Marekani, ni mojawapo ya hotuba za kutia moyo, zenye ushawishi na maarufu nyakati za kisasa. Lakini leo...
Unaposoma Bayographia ya Mwalimu iliyotayarishwa na wanazuoni watatu ukurasa wa 125 hadi 126 kuna simulizi fupi ifuatayo
Mwanzoni mwa miaka ya 80 kulikuwa na tatizo la baadhi ya wamiliki wa...
MACHACHE KUHUSU BABU YANGU SALUM ABDALLAH
Hiyo picha ya Loco Shed Tabora hapo chini ndipo akifanya kazi babu yangu Salum Abdallah maarufu Baba Popo kuanzia 1947 had 1964.
Alihamia Tabora kutoka...
Majina mengi ya wangoni yanafanana na majina ya wanyama. Kwa mfano;
Mapunda ni jina lenye "punda"
Komba ni jina lenye "komba"
Ngonyani ni jina lenye "nyani"
Mapunda ni jina lenye "punda"
Kuna...
Pichani ni aliyekuwa mshauri mkuu wa rais wa Zaire kwa sasa DRC MOBUTU SESESEKO.
Wakati wa Utawala wa Mobutu huyu mzee alikuwa mtu wake wa karibu sana na alikuwa na kazi ya kumpa ushauri ambapo...
MOHAMED SHOMVI MLIMANI TV NA MOHAMED SAID: SIKUKUU ZA KUMBUKUMBU
Leo asubuhi nilialikwa Mlimani TV kwa ajili ya mazungumzo kuhusu sikukuu za kumbukumbu na maadhimisho ya kitaifa.
Mtangazaji...
Wazee wa Dar es Salaam katika Baraza la Wazee wa TANU na Mwalimu Julius Nyerere katika Uchaguzi Mkuu wa 1962.
Masikitiko ni kuwa mashujaa hawa hadi leo nchi haijawatambua isipokuwa Nyerere peke...
Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Radio Tanzania Dar es salaam au kwa kifupi RTD kati ya miaka ya 70, 80 na 90 waliovuma katika Idhaa zake za Kiswahili na Kiingereza. Wakati huo radio...